Hahaa! Polee mkuuNajiona nikifungua akaunti ya Instagram
Hahaha! Mkuu upo?Let us wait
Unaanzisha wewe halafu unaomba msaada wa Mkuu wa nchi!?Hii nchi hii inabidi tuendeshwe kidikteta, Mh.Rais JPM, nakuomba komesha huu mchezo wa kigasho gasho unaondelea baina ya hawa 'watoto' wawili, tumechooooookaaaaaaa!!!! Please baba, stop this madness!!!!!
Toka mwezi February 2017 hadi leo mchungaji ngwajima na mange kimambi wame nufaika sana Kwa kuongeza idadi ya mashabiki na wapenzi wa Kazi zao
Kwakweli Umenibamba....Hahaa! Polee mkuu
Nakuona ukiingia playstore kabisa
Ngajima anasema wakati makonda anaita press kutaja awamu ya tatu..yeye alikuwa hata hajamjibu makonda kwa awamu moja..[emoji41][emoji41]stay tuned
Kanisa la Gwajima limekuwa kama uwanja wa taifa, mashabiki wa simba na yanga wanaenda kishabikia timu zao...
Baadhi ya sisi watanzania ni wajinga beyond repair!!
Mkuu angalia bwana yule sio wa mchezo mchezo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]kesho nawahi mapema pamoja mimi Muslim.kumsikiliza Gwajma
Hii sinema sijui itaisha lini?
Kazi kwako! Ama vipi uwe unasubiri screenshot tuuKwakweli Umenibamba....
Naingia jikoni huko huko nipate vitu bado vya moto.Kazi kwako! Ama vipi uwe unasubiri screenshot tuu
View attachment 483108
Jamaa wako KOLOMIJE HAHAHA KESHO WATAUMBUKA.LEMUTUZ NI NDUMILA KUWILI YAANI ANAKULA HUKU NA KULE
SWISSME
Kwahiyo unamtukana Rais kwa kupenda kufuatilia ubuyu wa shirika LA wambeya duniani? Hebu kuwa na adabu shubhaamet in kipanya voiceAnajifanya nina vyeti vyake !!! mkinichokoza nitatoa !!! kumbe kajaza magazeti ya udaku kanisani ndio anawasomea hao wafuasi wake anaowaita watoto. Punde wale wate waliotuhumiwa na kushtakiwa na kesi za madawa watakuwa waumini wake kwenda kanisani kusikiliza UBUYU !! USHILAWADU
Chezea gwajima wewe nataman kesho ifike haraka
Kama anajielewa Bashite angeresign mwenyewe kustiri kale ka-duchu ka heshima kalikobaki.
kwamba leo umekesha muraa hata mie nawaza sijui nije niende mana nakaa hapa jirani nayeJamani hivi sasa hivi ni SAA ngapi? Nimeshaoga na kuvaa SUTI kuelekea ubungo kwa gwajima
View attachment 483089
Kapost muda huu kwenye page yake Instagram
Jamani Gwajima keshatoa warning,kesho kinanuka, last week alisema kafunga mjadala unless achokozwe apige double manifestation sasa naona Bashite kamchokoza,asilie tu maana wakizidiwa utasikia oooh mtumishi gani wa Mungu hajui kusamehe
Nan nyie kina soudy brown na kwisa kesho nawaonea huruma kwenye page ya Mange maana story zenu za kula Cocaine kule mbezi zitawekwa hadharani plus michezo yenu ya ushoga
Mbaya zaidi Mama Trump naye ataanika michepuko ya ma boss wenu hapo clouds
Hongera Bashite kwa kukoroga kinyesi,movie linazidi kunoga
Nipo mkuu natazama ya duniaHahaha! Mkuu upo?