Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

Toka mwezi February 2017 hadi leo mchungaji ngwajima na mange kimambi wame nufaika sana Kwa kuongeza idadi ya mashabiki na wapenzi wa Kazi zao

Na kizuri ni kwamba kila wanachokisema kina 99.999% ya ukweli. Mbona hata Wewe Mkuu ukiamua tuanze kukushabikia kwa uwingi wetu inawezekana tu! Halafu siyo lazima wote tuimbe mziki bali wengine tunaweza tukawa wachezaji au washangiliaji tu na maisha yakaenda. Katika Wazalendo wa Kweli wa Tanzania kwa sasa ambao pengine wanastahili kupewa hata Tuzo ya Heshima ya ngazi ya juu kabisa basi ni Mange Kimambi na Mchungaji Josephat Gwajima.
 
Kanisa la Gwajima limekuwa kama uwanja wa taifa, mashabiki wa simba na yanga wanaenda kishabikia timu zao...

Baadhi ya sisi watanzania ni wajinga beyond repair!!

Na huwezi kuwajua wenzako ni Wajinga kama na Wewe mgunduzi siyo Mjinga uliyetukuka.
 
Anajifanya nina vyeti vyake !!! mkinichokoza nitatoa !!! kumbe kajaza magazeti ya udaku kanisani ndio anawasomea hao wafuasi wake anaowaita watoto. Punde wale wate waliotuhumiwa na kushtakiwa na kesi za madawa watakuwa waumini wake kwenda kanisani kusikiliza UBUYU !! USHILAWADU
Kwahiyo unamtukana Rais kwa kupenda kufuatilia ubuyu wa shirika LA wambeya duniani? Hebu kuwa na adabu shubhaamet in kipanya voice
 
Yaani sijalala nacheka tu mwenyewe yaani hawa akina kaoge wasipoomba msamaha mapema asubuhi kabla yule.mama wa kipare hajaamka itakula.kwao bosi wao na mkulu pia
 
View attachment 483089
Kapost muda huu kwenye page yake Instagram
Jamani Gwajima keshatoa warning,kesho kinanuka, last week alisema kafunga mjadala unless achokozwe apige double manifestation sasa naona Bashite kamchokoza,asilie tu maana wakizidiwa utasikia oooh mtumishi gani wa Mungu hajui kusamehe
Nan nyie kina soudy brown na kwisa kesho nawaonea huruma kwenye page ya Mange maana story zenu za kula Cocaine kule mbezi zitawekwa hadharani plus michezo yenu ya ushoga
Mbaya zaidi Mama Trump naye ataanika michepuko ya ma boss wenu hapo clouds
Hongera Bashite kwa kukoroga kinyesi,movie linazidi kunoga


Kabisa gani linaendeshwa kwa style kama hii?
 
Back
Top Bottom