Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tuwekee hapa, wengine hatupo hukoBashite Wafwaaa! ingieni instagram ya Mange pia mchungulie alichopost Hata kusoma ukakasi Bashite ataleta makubwa Jamani.
kwa nini wananmchokoza jamani? last week alisema kafunga mjadala labda wamchokoze na leo wamefanya hivyo mnataka anyamaze??? bashite asije akalia tuKanisa la Gwajima limekuwa kama uwanja wa taifa, mashabiki wa simba na yanga wanaenda kishabikia timu zao...
Baadhi ya sisi watanzania ni wajinga beyond repair!!
Hapo ndo ukakasi ulipokuna swali la msingi Mange kauliza, 'kama huyo mama anachosema ni cha kweli kwanini clouds wamesambaza tu video clip badala ya kurusha kwenye vipindi vyao'?
Nigae porpcorn nkae vzr mana huu ubuyu noma thana
haa haa hadi shule wanazosoma watoto wa michepuko zitaanikwa....mange sio mzima haki vilenimecheka sana kuna kibamia cha mtu kitawekwa hadharani eti kina shepu ya ajabu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nimecheka sana kuna kibamia cha mtu kitawekwa hadharani eti kina shepu ya ajabu
Was this posted before, Paul saga or what ? If an answer is yes then we may conclude that 'they were not lying, he is one of them!'
ahaaa hujasikia hyo najiuliza hicho kibamia kina nini hadi kimewekwa kwenye hifadhi?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We sisy ni balaa sana
Ulitaka akasome la utumwa!? Aaaaaah sorry, la uhuru!?Siku hizi ameweka biblia pembeni analihubiri kwa kulisoma gazeti la mwanahalasi mwanzo mwisho, nafikiri toleo la wiki hii limeshatoka na kama kawaida lazima lizinduliwe kanisani kabla ya kusambaza ni hii imekuja baada ya boss wa gazeti hilo kutembelea kanisa hilo sasa ni kila jumapili lazima lisomwe
Mike soko mbuvi gidion kiokoWas this posted before, Paul saga or what ? If an answer is yes then we may conclude that 'they were not lying, he is one of them!'
mimi nimetoka kufungua, nikaanza kumfollow Mange KimambiNajiona nikifungua akaunti ya Instagram