Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

Gwajima apiga mkwara, kinanuka kesho

Hapana.Afanye kazi aliyosajili taasisi yake kufanya NO MORE,akianza kutoka nje tutamfungia leseni yake.Dola inamumulika kwa jicho kali.Dola iko imara
 
Kanisa la Gwajima limekuwa kama uwanja wa taifa, mashabiki wa simba na yanga wanaenda kishabikia timu zao...

Baadhi ya sisi watanzania ni wajinga beyond repair!!
kwa nini wananmchokoza jamani? last week alisema kafunga mjadala labda wamchokoze na leo wamefanya hivyo mnataka anyamaze??? bashite asije akalia tu
 
Screenshot_2017-03-18-13-19-20.png

Jamaa wako KOLOMIJE HAHAHA KESHO WATAUMBUKA.LEMUTUZ NI NDUMILA KUWILI YAANI ANAKULA HUKU NA KULE



SWISSME
 
Show ya kesho sio ya kukosa[emoji23][emoji23]
 
Siku hizi ameweka biblia pembeni analihubiri kwa kulisoma gazeti la mwanahalasi mwanzo mwisho, nafikiri toleo la wiki hii limeshatoka na kama kawaida lazima lizinduliwe kanisani kabla ya kusambaza ni hii imekuja baada ya boss wa gazeti hilo kutembelea kanisa hilo sasa ni kila jumapili lazima lisomwe
Ulitaka akasome la utumwa!? Aaaaaah sorry, la uhuru!?
 
Back
Top Bottom