Tulinagwe venance
Member
- Apr 16, 2025
- 11
- 11
Gwajima anastahili ulinziGwajima kasema Press ijayo ya pili, akiita, atasema vitu mpaka MTU atanuka.
Wakuu hivinajua Gwajima Licha ya kua Jasusi la Mbinguni, Ujasusi' wake anaufanyia pia hapa hapa Duniani.
Gwajima anaorodha ya watekaji wote na Kiongozi wao.
Tuliza mshono hakutajwa mtu jina paleSasa hapa kabila ya mtu au rangi yake inaingiaje? Tena kwanini kutumia neno la kukejeli jamii ya Kitanzania badala ya kumsema mtu mmoja tu aliyehusika? Leo ukabila, kesho udini keshokutwa ujimbo na kadhalika
Elimu ya ponjoro UDSM ni kitukoGwajima kasema amemshangaa Ponjoro wa Kinondoni ambaye amemg'aka kwa mtoto wa mtu mmoja akitolewa mfano kwenye utekaji.
Anasema yeye alitolea mfano kwa watoto wa wote, sababu anawajali wote, kwanini yeye aje amsemee mtoto mmoja tu? Sababu wengine hawana thamani?
Kamwambia atulize mshono la sivyo atambaragaza😂😂
Mahubiri ya leo ni moto, mimi Kenge nimebarikiwa sana.
View attachment 3352782
Babaako ana akili?Ponjoro apigwe kombora zito akae kimya jinga sana
Nini hii🙂Halafu ponjoro anafanana na ponjoro kweli😀,halafu sijui hata ponjoro ni kitu gani ila wanafanana🙂
😂😂😂😂Bila kusahau Maponjoro wa Jf
Watu mashombe-shombe wa kihindi au wa kiarabuHii Ponjoro ni nani?
Na ngada nasikia anauzaPonjoro anachezesha kamari ambayo hata Allah hapendi 😂😂
Au na wewe ni ponjolo? Mbona yeye amemuona mtoto wa rais bora kuliko watoto wengine Tanzania nzima?Sasa hapa kabila ya mtu au rangi yake inaingiaje? Tena kwanini kutumia neno la kukejeli jamii ya Kitanzania badala ya kumsema mtu mmoja tu aliyehusika? Leo ukabila, kesho udini keshokutwa ujimbo na kadhalika
Piga 🔧Gwajima kasema amemshangaa Ponjoro wa Kinondoni ambaye amemg'aka kwa mtoto wa mtu mmoja akitolewa mfano kwenye utekaji.
Anasema yeye alitolea mfano kwa watoto wa wote, sababu anawajali wote, kwanini yeye aje amsemee mtoto mmoja tu? Sababu wengine hawana thamani?
Kamwambia atulize mshono la sivyo atambaragaza😂😂
Mahubiri ya leo ni moto, mimi Kenge nimebarikiwa sana.
View attachment 3352782
Hivi Ponjoro wa Kinondoni si ni Tarimba au?Gwajima kasema amemshangaa Ponjoro wa Kinondoni ambaye amemg'aka kwa mtoto wa mtu mmoja akitolewa mfano kwenye utekaji.
Anasema yeye alitolea mfano kwa watoto wa wote, sababu anawajali wote, kwanini yeye aje amsemee mtoto mmoja tu? Sababu wengine hawana thamani?
Kamwambia atulize mshono la sivyo atambaragaza😂😂
Mahubiri ya leo ni moto, mimi Kenge nimebarikiwa sana.
View attachment 3352782
YesHivi Ponjoro wa Kinondoni si ni Tarimba au?
Pia upo uwezekano ameshatoa nakala za watekaji kwa watu wengine incase waki deal nae basi mzigo utamwaga wote.Wakati anaita press ya kwanza Gwajima alikua amejiandaa, na ninaamini kuna mengi anayajua yenye ushaidi ndio maana anajiamini na anaendelea kujibizana hata na mkuu wake wa chama
Ponjoro atanuka maviCV Ya Kubumba Ile Ya Ponjoro Wa Kinondoni Itamvua Nguo