ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,860
Huyo sio kiongozi wa dini ...wenye akili wanaona ....fata upepo wanamsifia ..ni msanii flani aliyejifanyiza kuwa mwanadini...kauli zake zimejaa chuki pia ni mjivuni...the guy likes pomposity!Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Wafuasi wa Bashite mwambieni aombe msamaha hii ngoma siyo ya kitoto.Hawa wafuasi wa Gwajima ni wazito mno kuelewa.
Hahahaaa....
Dini kazi yake ni kukemea maovu ukiwemo udanganyifu wa vyeti.Ila kumbuka dini kaz yake ni kutangaza neno co siasa
Mnafiki kuliko Bashite [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Pole sana! Nyumbu mnaakili ndogo sana!Wafuasi wa Bashite mwambieni aombe msamaha hii ngoma siyo ya kitoto.
Habari za wakati wakuu...
Hiyo ni kwa mujibu wa Mch Gwajima kupitia ukurusa wake wa Facebook. Katika kanisa lake la ufufuo na uzima kutakuwa na ugeni mkubwa siku ya Jpili wa mzee aliyemfundisha "kiumbe " nyakati hizo.
Mambo ndio kwaaaanza yanaanza!!
Nipeni popcorn nitafune mimi...[emoji489]
Kama dadakoKama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Kama wale waliokuwa kwenye mkutano wa bashite wakipiga upatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji451]Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
WE mapengo... acha huyu dogojanja asulubiwe tu ili ajifunze adabu maana hachaguagi nani wa kumpaka mitope yake.Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Je kwa akili za kuiba majina ya watu na kutukana wataalamu wako kuwa ni vichaa ndo maendeleo yatawahi ee? CCM ina miaka zaidi ya 50 ikitawala na bado wanaombaomba madawati. Naona ndo maendeleo unayojivunia hayo.Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Dini ni lazima ikemee maovu pale inapobidi. Yeye Bashitw alipoamua kupayuka bila ushahidi huku akidai amewafuatilia kwa miaka kadhaa kiko wapi?Ila kumbuka dini kaz yake ni kutangaza neno co siasa