Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Hivi Mkuu upo upande gani? naona siku baada ya siku kapovu kameaanza kukutoka taratibu.
 
Kolomije= call me J.
 
Kwani kubadili jina nayo ni jinai Mkuu?

Mtu anaweza kubadili jina wakati wowote kwa kiapo na hii ipo kisheria na wala haimaanishi kila aliyebadili jina kafoji cheti cha mwingine.

Gwajima alisema anavyo vyeti vya Makonda feki na original,sasa hizi blah blah za wazee za nini?

Wewe utathibitisha vipi kama huyo mzee kweli ni mwalimu wa Makonda na anachokisema ni cha kweli?
 
Ukipanda magugu huwezi vuna mahindi kila mtu uvuna alichopanda,
 
Hata ningekuwa mimi paroko sisamehi ng'ooo madawa ya kulevya hapana hata Yesu alipo ona ule mti hautoi matunda na siyo msimu wake hakuusamehe
 
Wewe ficha upumbav wako! Yule ni mtumishi WA Mungu na anasimamia anachokiamini. Sio mtu wa kupelekeshwa hovyo
 
Kwani sheria zinasemaje mtu anapotoa ushahidi wa uongo (in case mgeni from koromije atasema uongo).

Karibuni kwetu Koromije.
 
mamlaka yenye vyeti feki hiyo ni mamlaka hewa
 
sasa unabwabwaja nini kama hao wageni watakuwa waongo si wafunguliwe mashitaka kwa kumchafulia jina daud?Hivi kwa akili zako unadhani issue hii ingekuwa ya uongo gwajima si angekuwa ananyea debe sasa,
pia daud ni member humu anashindwaje kuleta evidence juu ya tuhuma zinazomkabili?
 
kosa la huyu bwana sio kubadili jina kosa lake ni forgery ya kutumia matokeo ya mwingine kusomea elimu ya juu hivi hapo huoni kosa kama hulioni utakuwa miongoni mwa ule utafiti wa 1:4
 
Jpili kanisa litafurika sana huyu jamaa anajua pia kucheza na mind za watu..ila Bashite aliingia choo cha kike kwa huyu Gwajima
umesahau na kitu kimoja, Sadaka zitaongezeka mara dufu, tena nafikiri atasema mtu wa chini achangie shilingi elfu kumi tu.
 
Kwani sheria zinasemaje mtu anapotoa ushahidi wa uongo (in case mgeni from koromije atasema uongo).

Karibuni kwetu Koromije.

Kwa kuwa hicho kinachoitwa ushahidi kitatolewa kanisani na siyo mahakamani,sijui sheria inasemaje akidanganya kanisa.
 
Mtumishi wa Mungu anamfundisha Daudi adabu kidogo, anamkumbusha ulevi wa madaraka Sio mzuri, pia uongozi unahitaji busara Sio mhemko, Huyu mtu alijisahau sana akajiona Mungu mdogo nyambafff!!! Hata Kama hatatumbuliwa Ila Chamoto amekiona na wananchi tumemjua who he really is!! Nasubiri bunge April Tena naomba Tulia asiwepo bungeni!!
 
Usiwe unakurupuka ku-quote watu hovyo hovyo.

Kamsome tena niliyemjibu.

Get off ma dick!!
 
Huyu Gwajima aache kutumia Kanisa kufanya siasa...Haya matamko yake ni bora angetafuta press conference na kufanya kulikoni kutumia mimbari ya Kanisa
 
Huyu Gwajima aache kutumia Kanisa kufanya siasa...Haya matamko yake ni bora angetafuta press conference na kufanya kulikoni kutumia mimbari ya Kanisa
Mbona Bashite anapotumia dola kufanya siasa hamumuonyi? Tusiwe wanafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…