Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

Hao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Wewe acha kabisa hii inaitwa mwaga mboga nimwage ugali.
Mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mnaona mchunguuu eeeeh..na bado
 
Anachokifanya GWAJIMA ni sawa.

BASHITE alishajiona yeye ni sawa na FARAO, kwamba anaweza kuwafanya atakavyo wana wa Tanzania.
 
Naona anawashika pabaya...

Kwani watu wanaangaika na hicho kizee kwa nini...ningekuwa mimi napita pale ubungo na semi la mafta nachoma waumini wote mule maana sioni mwenye akili...badala ya kuomba wanaanza masengenyo?....kizee kitakuwa na mtindio wa ubongo sio buree.
 
His behavior has been very unseemly.

A man of the cloth comporting himself like a drama queen.

Shame shame shame.
we kila siku uko busy kuwatetea wasukuma wenzio.. kuanzia yule wa magogoni mpaka huyu Bashite.
 
mkuu achana nae huyo ni kawaida yake uyo kuwatetea wasukuma wenzie hata yule wa magogoni hua anamtetea
 
Tena endapo Gwajima asipotimiza alichokiahidi ategemee kuzolewa na kuonekana muongo hivyo dawa ni kusibitisha ukweli wa kile alichokisema leo na wiki iliyopita
 
Kwani watu wanaangaika na hicho kizee kwa nini...ningekuwa mimi napita pale ubungo na semi la mafta nachoma waumini wote mule maana sioni mwenye akili...badala ya kuomba wanaanza masengenyo?....kizee kitakuwa na mtindio wa ubongo sio buree.
Ingekua wewe nani?si upite tu hata saivi ukawatie hayo mafuta kama unaweza???nyoko wewe?eti hamna mwenye akili hata mmoja..we mwenye nazo umeisaidiaje Tanzania kuondokana na hao wasio na akili....kakojoe ulale huko
 
Heri wewe umeliona hilo, ninapinga vikali kwa Gwajima kujiita mtumishi huku akipigana vita vya meilini, uu wapi wokovu wake!
Uu wapi utumishi wake!
Au Mungu wake amwaminiye na kumtumikia ni yupi?
 
Mimi nilipinga sana ile clips yake ya j2, watu walitoaje povu hapa!
Huu ni zaidi ya utoto
 
Kuna Uhuru wa Kuabudu, usisahau.
 
Kanisa la Gwajima lipo sehemu gan wakuu?? Ni pale jiran na TANESCO Ubungo???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…