Msukuma_De_Great
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 1,185
- 975
Mimi kama mkristo, na uelewa wangu mdogo juu ya biblia
Sisi kama binadamu tunapaswa kusamehe 7×70
Na yeyote yule akufanyiae mabaya
Sasa napata shida sana
Ninapoona mtumishi wa Mungu
Anapoendeleza vita na yule anayeamini akumtendea vyema
Kuna haja kwa serikali kuingilia na kuyachunguza haya makanisa na viongozi wake
Baadhi yao wanatia shaka sana
Kama kweli wapo kwa kazi ya Mungu au ni njia ya kujitengenezea kipato
Kupitia watanzania
Ambao kiukweli wengi wao wanaishi katika lindi la matatizo na umaskini mkubwa
Wajanja utumia imani katika kuwaadaa na kuwaibia rasilimali zao ndogo walizonazo
sio kwa tanzania hii mkuu, inambidi aishi kama watanzania walivyo.Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Yeye kasema tu kuna mgeni toka Koromije nyie mchecheto wa nini si msubiri?
Ndugu kwani yeye anapinga mapambano dhidi ya madawa ya kulevya??? Be thoughtful niggaAisee, Gwajima anakosea sana kwa kuitunishia serikali misuli kwa mwamvuli wa Kanisa, Biblia na U-askofu wake.
Unaelewa, huwa naandika hapa JF kwa kifupi sana wakati mwingine wenye akili wanaelewa ila waliokwisha jazwa upupu wa dini za kigeni zote huwa hawaelewi.
Mfano, Manji aliitunishia sana misuli serikali siku nyingi sana mfano, mwaka 2005 katika serikali ya awamu ya nne (4) juu ya NSSF deal na Ufukwe na kila mtanzania mwenye nia safi kwa Watanzania alielewa kabisa kuwa Manji anaelekea kukwaa jabali sasa hivi habari yake kwisha kabisa.
Sasa, Gwajima naye anaelekea uelekeo ule ule wa Manji.
"No matter he is a bishop or he calls himself as a Bishop, Dr. or whoever he calls himself!
A state will never accept 'the opium of people' to distabilize the fight against drugs and drug lords" The interests of the state always will prevail no matter what it cost to be attained!
For further details refer: Carl Max and Realism Theory By David.
"Time is a Good' Teacher"
Inatafutwa haki kwa maslahi ya nchiDr.Josephat Gwajima unawapanini waumini wako umewashika kotekote (Pande zote) wakibinuka unao! Ama kweli dini ni kitu cha Ajabu sana tena sana.
"Mpende Adui yako(Wapendeni Adui zenu)"
Mkuu amezamishwa in public na Makonda hakuna hatua yo yote ya serikali kuliweka sawa. Ni kibinadamu kujitetea pamoja na kufa na mtu.Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Ungekua wewe ndo RC mwenye division 0 na unatumia jina la mtu ungemfanya nini gwajima?Gwajima una bahat sana mi sio Makonda. Upuuzi unaofanya ningekuwa RC na serkali ndo ungejua maana ya utawala. Unajarib kushika sharubu za simba kisa amelala. Kuna uwezekano ndo unajipoteza mazma na mirija ya kupatia za mkate wa kila siku ikakatwa kwa njia ambayo hutaamini milele. Rudi nyuma kidogo upate kuishi vizuri katika up ishu aji wa kikanisa.
Mkuu hili ni suala la kijamii,akikaa kimya ni sawa na kuficha uovu ambayo ni dhambi pia..Gwajima kama angeamua kukaa kimya katika hili basi angepata thawabu kubwa kwa Mungu, yeye kama mtumishi wa Mungu hapaswi kufanya hizi show off
Gwajima na Makonda ni watu tofauti kabisa kiroho, hakuna sababu ya Gwajima kufanya hili.
Linampunguzia baraka, alitakiwa kusamehe na kumuombea Makonda kwa nguvu zote
Alieandika philemoni akimaanisha Freeman mnapoteza muda wenu bure majibu yapo wazi tuu ila kazi anayo kwa kweli kosa alifanya ni la Mzee Kabwe haya mengine yanajitokeza ili kumuumbua karma ipo Duniani nikivuta kumbukumbu Mzee Kabwe alivyopokea ile simu ya Mwandishi wa habari nilimwonea Iman sana.
Kuna wanaostahili msamaha siyo waovu wa awamu hii. Tayari Mungu kesha anza kuidhibu nchi.Baba gwajimaaaa samehe saba mara sabini
Hadharani.......Kwa nini Daudi asitoe vyeti vyake hatharani mambo yakaisha?
Mkuu kwani Kakobe amekiwajee??Gwajima,waumini wake na walimu pamoja na wanakijiji wa kolomije watakao kwenda ni mafyatu...
Gwajima sio muda atakuwa kama kakobe!!