Gwajima: Kutakuwa na Ugeni wa mzee kutoka kijiji cha KOROMIJE

inaelekea serikali itamsamehe bashite kwa kughushi nyaraka
 
Makonda alitaka watu wahakiki silaha, ikawa! sasa yeye ana kigugumizi gani kuhakiki vyeti vyake? mbona hiyo ni nyepesi zaidi?
 
[emoji1]
 

Attachments

  • IMG_20170303_095958_367.JPG
    37 KB · Views: 45
Nyinyi jamaa mnatumia nguvu nyingi sana kukwepesha hili suala la RC kutumia cheti cha mtu.

Mwambie ili amalize huu mjadala aweke cheti cha form four tujue kasoma shule gani?

 
kesho asubuhi saa 10:00 tukutane kanisani tutayajua yote mbivu na mbichi
 
Bashite acha kupiga Mayowe lete vyeti Mkuu
 
Nchi yetu haiwezi kuwa na laana hata chembe! Naona ni wewe maana kimtokacho mtu ndiyo alivyo
 

form four aliombea kazi? na jina lile lile??
 
form four aliombea kazi? na jina lile lile??
Audio Magufuli
 
Angekuwa navyo angevionyesha ili apate wahumini zaidi na zaidi kanisani kwake. Ila anatumia maneno watu waende, si unajua kwenda na sadaka mtu atabeba.
 
Awezaje kupata cheti cha Daudi Baťìshe na ili hali daudi alipata ziro na baraza halitowi vyeti kwa waliozingusha.
Ni mashaka ýañgu kuwa laana ya kadinali askofu wa katoliki inamuandamaa
 
Go away Weasel!
 
Vyeti vya kidato cha nne Div 0 vinatolewa na taasisi gani?
 
Anaakili kama za huyu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…