...samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?.
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Dini zingine bwana...!!Naona anawashika pabaya...
Usitusemee wengine mkuu hatujachokaWaumini wa gwajima nao ni mafyatu tu!!
Unapeleka siasa kanisani,unahubiri siasa kanisani kwa zaidi ya wiki mbili,kiongozi wa dini unakuwa na hasira na mambo ya ajabu ajabu!
Sasa tumechoka!
Huduma yake ndio kwanza inazidi kuchanua...Nadhani huyu mtumishi wa Mungu ni mnafiki sana. Nadhani hata huduma yake iko ukingoni.
Amsamehe nani aliyemkosea?Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Asante sana Mkuu kwa kumpa za uso.Usitusemee wengine mkuu hatujachoka
Ila mungu makonda pamoaja na madawa ya kuevya ndio yatawapeleka mbinguni mkuuHao waumini wake wakapimwe akili maana sio bure, mtu unakua unalipa nauli kwenda kufuata umbea na sio neno la kukujenga kiroho? sasa vyeti vya Mkuu wa mkoa ndio vitawapeleka Mbinguni? Kwa hizi akili maendeleo yatachelewa sana kuja!
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
rosemarie, hayajakufika! mtu akijitokeza hadharani akasema (samahani, najaribu kukupa mfano kuwa kuna vitu vinakera) kuwa umezaa na baba yako, au unafanya biashara ya sodomy anayetaka aje kwako- utamsamehe kuwa ngoja yapite, Yesu alisamehe? (Narudia samahani natoa mfano tu kuonyesha uhalisia). Atakuwa amekuharibia usichana wako na inawezekana usiolewe tena maishani....Kuambiwa kuwa unavuta unga, ni kuwa mtu amekumaliza! Kuna watakao baki na wasiwasi kuwa ni kweli serikali iliamua kufunika kombe mwanaharamu apite.. kuna watakaobaki na kuamini kuwa Gwajima ni mvuta cocaine, bangi and the like! na mfanya biashara ndio utajiri alio nao!...... (narudia samahani tena, ni mfano tu)Najua Mchungaji Josephat Gwajima upo hapa JF
Tumepata taarifa jumapili ijayo kuna wageni watatoka Kolomije village kuja kuongea na familiya ya wana Ufufuo,tumesikia wengine ni waalimu waliomfundisha Mh makonda na wengine ni wanakijiji.
Naomba nikuombe neno moja,samehe na kusahau kwa kuwa ndio tulioitiwa,waendao katika mwili hawawezi kumpendeza Mungu,wewe ni MTU mkubwa katika jamii na unaheshimika,hivi unaweza kufundisha somo LA kumsamehe adui yako?
Naomba uwe mfano wa kuigwa ili usipoteze kondoo unao waongoza,kumbuka maneno ya Yesu,akulazimishae kutembea maili moja tembea nae mbili,na akuny,ang,anyae koti mwachie na shati.
Usisahau kumkumbusa gwajima kumrudishia mb..sha mke wakeYa Gwajima mwachie Gwajima mwenyewe! Yeye ndie aliyelala lockup, sio wewe, tumuache aamue njia sahihi ya kudeal na masahibu yake, Gwajima is an adult, na badala yake mpe nasaha Bashite ajifunze kuwa na kiasi, madaraka yanapita tu lakini maisha yataendelea!
to mention him in a list of drug dealer and he is not among, is it fair?His behavior has been very unseemly.
A man of the cloth comporting himself like a drama queen.
Shame shame shame.
Hujakosea..This is war,Gwajima alishasema hamuachii Mungu as far as Mungu alitupa uwezo wa akili katika kudeal na mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu
Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!
Yaani we Nyani kwa unavyojinadi kuwa ni mdiaspora tena mkongwe, nilifikiri fikira na mtizamo wako utakuwa umebadilika kidogo na kujitofautisha na fikira na mitazamo ya kijima inayotawala sehemu kubwa ya waTz! Yaani Bashite alivyomlaza lupango Baba Askofu na kumchafulia jina (kumharibia 'brand') kwa tuhuma kubwa za kujihusisha na madawa ya kulevya ambazo hata leo hii hawezi kuonesha kichembe cha ushahidi, ulitaka au kutarajia Baba askofu amwimbie nyimbo za mapambio? Mhe Nape amelieleza vizuri suala la 'brand'. Anachofanya Baba Askofu ni kujaribu kwa resources hizo alizo nazo kurejesha 'brand' yake iliyochafuliwa na mweu.Kama ni kweli, mbona huyo mchungaji yupo dramatic namna hiyo?
Kiongozi wa dini ana behave kama wadada wanaotukanana kwenye Instgram?
Na watu mnashangilia tu huo ushenzi shenzi.
A man of the cloth sinking all the way down to the gutter.
Lawwd hammercy!!