SEMARK2020
Senior Member
- Feb 7, 2015
- 171
- 123
Uhusiano uliopo ni kudhihirisha kuwa huyu Paul Makonda a.k.a Daudi Bashite ni muhalifu wa taaluma ambaye anajificha nyuma ya kichaka cha" madawa ya kulevya "
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Basi twende kanisani kwake kabisa
Ukikutwa nayo hakuna dhamana unashikiliwa,yeye yuko huru aliemtuhumu kathibitisha hilo ndo maana yuko huru,sasa tuhuma zimemgeukia ni jukumu lake kuthibitishia umma sasa kuhusu vyeti,Raha ya draft linachezwa kotekote.
Hahahaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hii issue ya Bashite nahisi hata Mchungaji inampa faida kubwa kwa njia ya Sadaka. Maana Jumapili watu wanajazana ili kusikia atasema nini juu ya Bashite.
Hiyo kazi ya kuthibitisha tuhuma za kuhusika ama kutokuhusika kwa Gwajima na madawa ya kulevya ni huyo aliyemtuhumu.
Sasa twambie wewe huyo mtu ambaye wewe unadai Gwajima amlete ili kuthibitisha kutokuhusika kwake na madawa ya kulevya ni nani na atoke wapi labda.
Kuna tofauti kubwa katika ya michambo na kusema ukweli,labda iwe ni kosa kusema ukweli Jamaa sio mnafiki anasema kweli kuhusu chanzo cha chuki dhidi yake.Kwaiyo unaunga mkono kiongozi wa dini kuleta michambo Kanisani sehemu takatifu?[emoji38] sijakataa kumzungumzia kanisani but kwa michambo ya bwana Gwajima utadhani maneno kaandikiwa na Mange kimambi duuuh ni balaa! Jamani wakati tunamtetea Gwajima kwa anayo yafanya tusisahau kuwa huyu ni kiongozi wa dini so tumshauri pia asijifananishe na wanasiasa hizi drama zitamharibia zaidi
Tafadhali kuwa mjanja kama avatar yako inavyoashiria.Najaribu kkuelewa mkuu japo swala la Zero ya Bw.Daudi haihusiani hapa! Maana tunao wabunge wengi tu wa darasa la saba vinginevyo Gwajima asimame kutueleza waumini wake yakuwa ile zero ya form 4 inamfanya Bw. Daudi kutokuwa na akili timamu hivyo kashfa juu yake imetolewa na mwenda wazimu! Wote tunafaham a leader is born not made ! Si mnaona Hata Lipumba uozo anao fanya na shule yake nzur tu.
Tafadhali kuwa mjanja kama avatar yako inavyoashiria.
Elewa kuwa hoja iliyopo mezani ni kughushi ( forgery & impersonation)
Baada ya kupata sifuri mtihani wa form IV DAUDI BASHITE akaamua kutumia vyeti vya PAUL MAKONDA
aliyefaulu kidato cha IV
Tafadhali kuwa mjanja kama avatar yako inavyoashiria.
Elewa kuwa hoja iliyopo mezani ni kughushi ( forgery & impersonation)
Baada ya kupata sifuri mtihani wa form IV DAUDI BASHITE akaamua kutumia vyeti vya PAUL MAKONDA
aliyefaulu kidato cha IV
Yaani nyinyi mnataka mtumishi wa bwana awe mnafiki na mficha ukweli?Asante nami nimeliona hili naamini Pastor GWAJIMA atazingatia hii......nikweli kijana amekosea Mkubwa aonyeshe Mfano wa Kusamehe.....
Kisasi sijuu yetu....
Kwani wote tuliofaulu kidato cha 4 tuliendelea na high level? Usijikaririshe, sababu zipo nyingi na sio kazi yetu. Mwacheni mtumishi ang'oe mapepoWengi wenye mawazo kama yako ni walevi wa viroba ambavyo vina athari kwenye afya ya mtumiaji ikiwemo matatizo ya akili, kama wewe. Km umeandika "akaamua kutumiavyeti vya ... aliyefaulu kidato cha nne". Je, huyo aliyefaulu kidato cha nne hakupenda kuendelea na masomo hadi atoe cheti chake kwa mtu mwingine? Kama aliendelea na masomo, ametumia majina gani?
Huwezi kujibu hayo maswali kwa kuwa tayari una matatizo ya akili.
Ujana utakuponza na unaweza kuyaandika hayo tu nyuma ya kryboard na ID fake. Nakushauru ujimuvuzishe mapema kwake mchungaji utolewe mapepo.Kwani wote tuliofaulu kidato cha 4 tuliendelea na high level? Usijikaririshe, sababu zipo nyingi na sio kazi yetu. Mwacheni mtumishi ang'oe mapepo
Unavyopayuka hovyo nakufananisha na mariam muuza K wa pale kona bar