Gwajima haijui Tanzania kabisa kuna siri nyingi mno za Tanzania ambazo hazijui mfano unaambiwa binadamu wa kwanza waliishi Tanzania mamillioni ya miaka mabaki ya vifaa vyao vya kale na mafuvu yanapatikana Olduvai Gorge huko mikoa kaskazini na Isimila Iringa na michoro ya mamilioni ya miaka yanapatikana kwenye Miamba TanzaniaGwajima ameongea mambo mazito mno, na nashindwa kuendelea kuandika, kwani amesema Mungu ataua Waminya haki, siku si nyingi, akimaanisha watu wataanza kufa, kwamimi nilivyomuelewa je ni vita vya makundi ya ndani ya CCM vinaelekea kwenda kwenye mauaji ya wao kwa wao , je tutegemee mambo ya kina kolimba , sokoine kutokea. Maana maneno ya gwajima yanatisha, na mpasuko uliopo CCM tusishangae yajayo
Ajiulize hao watu wa kale Wa Tanzania wa olduvai Gorge na Isimila walioishi mamilioni ya miaka iliyopita walienda wapi na nini kilitokea hadi Tanzania hawako leo? Waliiishia wapi ? Nini ilikuwa siri ya wao kupotea zikabaki tu zana zao za mawe walitumia? Na mabaki ya mafuvu tu?
Gwajima anacheza na Tanzania sio saizi yake akae mbali nayon
Bwege mkubwa.Yeye na Polepole na hivyo vipuuzi vinajitia vimitume na vinabii koko shenzi type
Ni watoto wadogo mno hopeless
Tanzania hawaijui kabisa
Kuna washika siri za Tanzania