Gwajima: Mbele yetu sisi kama CCM kuna hatari, Mungu ataingilia kati ili awatetea watu wake

Gwajima: Mbele yetu sisi kama CCM kuna hatari, Mungu ataingilia kati ili awatetea watu wake

Ngoja nimtajie izraili mtoa roho watu wa kuanza nao awamu ya kwanza aanze li Kikwete,Samia, Makalla, Abdul,Makamba, Riz one, na watu wa msoga wote lisibaki salia hata moja. Asisahau Mulliro na cheusi Tulia
 
Inaonekana hapa kazi tayari ishafanyika na atasingiziwa Mungu , hii chess ya kikachero ni ngumu mno
Ushauri wamepewa kazi kwao...
Chukua hii, tunza...

Atakaepitishwa sio atakaechaguliwa
Atakaechaguliwa sie atakaeshinda
Na atakaeshinda sie atakaetawala......

Chukua hii mkuu
 
Umetia chumvi ndugu...

Hajatamka neno "WATAULIWA" au "MUNGU ATAUA"...

Amesema, mamlaka za kibinadamu zinapoacha kutenda haki, kusikiliza malalamiko na shida za wananchi, MUNGU huingilia kati, kutoa hukumu yake kwa haki...

Hukumu gani ya haki anaweza kuitoa Mungu..?

Bila shaka yaweza hata kuua (kama walivyouwawa wafalme wenye kiburi kadhaa mfano Farao, Sauli, John Pombe Magufuli, Iddi Amini, Mobutu Seseseko, Saddam Hussein, Bashar Al Asad nk)

Aidha yaweza kuwa kupigwa stroke kwa viongozi, kupigwa wazimu, kunyang'anywa madaraka na kutupwa porini na kula nyasi kama mnyama pori kama ilivyotokea kwa mfalme Nebukadneza nk...

Alimalizia kusema, kwa jeuri na kiburi hiki cha serikali hii chini ya CCM, basi haina shaka yoyote kuwa mwisho wa CCM ni mbaya na aibu na tayari umeshafika...!
Kwahy huyu Mungu hawaoni wale Waganda wanavyoteseka?
Kwann ameamua kunyamaza kwa majiran zetu
 
Gwajima ameongea mambo mazito mno, na nashindwa kuendelea kuandika, kwani amesema Mungu ataingialia kati Waminya haki, siku si nyingi, Mbele yetu sisi kama CCM kuna hatari mbele kwa sababu Mungu ataiingilia kati, atajua afanye nini, ili haki itawale

Ukweli ni kwamba tayari kwa wa umini tumeshaona kwenye rada za kinabii Gwajima kaogopa kusema zaidi lakini kuna mabaya yanakuja kwa viongozi
 
Huu utabiri itakuwa wa pili.wa kwanza ni ule wa sheikh ambaye alitabiri kuwa Kuna mwanamama atakuja kuongoza Tz lakini ataongoza vibaya na Kwa muda mfupi tu na kung'atuka Kwa aibu na atapatikana mzalendo ambaye atainyoosha nchi kutokana na uharibifu wa huyo mwanamama
Nabii ziko km za watu zaidi ya 6 hivi ndani na nje ya nchi

Same msj
SS kuweni makini pia na tar 28 ,msipende pia mikusanyiko
 
Gwajima haijui Tanzania kabisa kuna siri nyingi mno za Tanzania ambazo hazijui mfano unaambiwa binadamu wa kwanza waliishi Tanzania mamillioni ya miaka mabaki ya vifaa vyao vya kale na mafuvu yanapatikana Olduvai Gorge huko mikoa kaskazini na Isimila Iringa na michoro ya mamilioni ya miaka yanapatikana kwenye Miamba Tanzania

Ajiulize hao watu wa kale Wa Tanzania wa olduvai Gorge na Isimila walioishi mamilioni ya miaka iliyopita walienda wapi na nini kilitokea hadi Tanzania hawako leo? Waliiishia wapi ? Nini ilikuwa siri ya wao kupotea zikabaki tu zana zao za mawe walitumia? Na mabaki ya mafuvu tu?

Gwajima anacheza na Tanzania sio saizi yake akae mbali nayon

Bwege mkubwa.Yeye na Polepole na hivyo vipuuzi vinajitia vimitume na vinabii koko shenzi type

Ni watoto wadogo mno hopeless

Tanzania hawaijui kabisa

Kuna washika siri za Tanzania
Matusi na povu la nini wewe
Tulia daawa ikuingie
 
Naona anamwaga code tu , kuna mtu wanataka wamuangushe anatoa Green-light 🚦
🤣🤣Mtu hutaki ushauri tukusaidiaje SS
Ila Gwajima ana maneno
Eti "Heri kiwembe kikali Cha Dr kinachoponya kuliko pain killer zinazojuua taratibu....sijui km nimedaka vzr
 
Ukweli ni kwamba tayari kwa wa umini tumeshaona kwenye rada za kinabii Gwajima kaogopa kusema zaidi lakini kuna mabaya yanakuja kwa viongozi
Ewaaaa we umemsoma
Katumia code kajitahidi kujizima kusema ...ila wengine tumemuelewa

NAchojua Kuna watu hawatatoboa mpk October,hawafiki .....
 
Gwajima ameongea mambo mazito mno, na nashindwa kuendelea kuandika, kwani amesema Mungu ataingialia kati Waminya haki, siku si nyingi, Mbele yetu sisi kama CCM kuna hatari mbele kwa sababu Mungu ataiingilia kati, atajua afanye nini, ili haki itawale

Leo alikuwa anaongea machozi yakimlenga, pole sana Gwajima ulidhani unaweza kutupa siku kumi? Nawaza tu nawaza tu sadaka zinapotea kiasi gani
 
Ewaaaa we umemsoma
Katumia code kajitahidi kujizima kusema ...ila wengine tumemuelewa

NAchojua Kuna watu hawatatoboa mpk October,hawafiki .....
Hiyo ni code ngumu sana kwamba wanadamu wasipoweza Mungu huingilia kati

Ogopa sana,Tena kauli yenyewe inatamkwa na mchungaji

Hapo ameshanusa kuwa kuna majitu yatakufa
 
Waafrica dini hizi zilitumika hivi hivi tukatawaliwa, mambo ya siasa yawe ya siasa. Nani kawaambia kwamba Mungu hapendi mambo yanavyoenda?
 
Kwahy huyu Mungu hawaoni wale Waganda wanavyoteseka?
Kwann ameamua kunyamaza kwa majiran zetu
Very stupid and foolish argument...

Je, una maana kuwa na kwa Watanzania Mungu Yehova ajifanye haoni kama ambavyo "wewe unadhani" haoni Waganda wanavyoteswa na utawala wa Yoweri Museveni, au siyo..?

Rudia tena kuisoma hiyo statement yako uione ilivyojaa na kubeba ujinga mtupu...!!
 
Back
Top Bottom