Muongo huyu wala hajui haki yoyote haki nikuwafanya watu misukule.mbona siku jizi utoi misukule au wamekwisha huko kwenye mapango yako.Nachukia sana watu waongo na wanafiki.Gwajima ameongea mambo mazito mno, na nashindwa kuendelea kuandika, kwani amesema Mungu ataingialia kati Waminya haki, siku si nyingi, Mbele yetu sisi kama CCM kuna hatari mbele kwa sababu Mungu ataiingilia kati, atajua afanye nini, ili haki itawale
1.Kama kifo siyo adhabu, kwanini kuna hukumu ya kunyongwa hadi kufa?Kwahiyo KIFO ni adhabu MTU ana miaka 60s hata akifa anakuwa amekufa muda sahihi
Tatizo mnakalilishwa nabii za watafuta followers Mitandaon na nyie mnakazanaVery stupid and foolish argument...
Je, una maana kuwa na kwa Watanzania Mungu Yehova ajifanye haoni kama ambavyo "wewe unadhani" haoni Waganda wanavyoteswa na utawala wa Yoweri Museveni, au siyo..?
Rudia tena kuisoma hiyo statement yako uione ilivyojaa na kubeba ujinga mtupu...!!
Brother,Tatizo mnakalilishwa nabii za watafuta followers Mitandaon na nyie mnakazana
Mungu hajahi kufangamana na wapumbavu Hadi pale mtakapoamua kutumia akili na maharifa aliyokwisha kuyaweka ndani yenu tangu uumbaji
YapHiyo ni code ngumu sana kwamba wanadamu wasipoweza Mungu huingilia kati
Ogopa sana,Tena kauli yenyewe inatamkwa na mchungaji
Hapo ameshanusa kuwa kuna majitu yatakufa
Nimesikiliza TenaPascal Mayalla njoo mzee wa psychoanalysis utuambie anamaanisha au vitisho tu
Kahaba atoboi mwisho wake ni mbaya sana na mashekh wengi wanaoshabikia upumbavu watajuta sana na kusaga meno😂😂 Jasusi wa mbinguni anatapatapa
Wambie hata wasukuma siku hz wanaume wanakata viuno so anunue dera tu asambaze umbeaPlanned death