Gwajima haijui Tanzania kabisa kuna siri nyingi mno za Tanzania ambazo hazijui mfano unaambiwa binadamu wa kwanza waliishi Tanzania mamillioni ya miaka mabaki ya vifaa vyao vya kale na mafuvu yanapatikana Olduvai Gorge huko mikoa kaskazini na Isimila Iringa na michoro ya mamilioni ya miaka yanapatikana kwenye Miamba TanzaniaGwajima ameongea mambo mazito mno, na nashindwa kuendelea kuandika, kwani amesema Mungu ataua Waminya haki, siku si nyingi, akimaanisha watu wataanza kufa, kwamimi nilivyomuelewa je ni vita vya makundi ya ndani ya CCM vinaelekea kwenda kwenye mauaji ya wao kwa wao , je tutegemee mambo ya kina kolimba , sokoine kutokea. Maana maneno ya gwajima yanatisha, na mpasuko uliopo CCM tusishangae yajayo
Matusi ili yanoge mpaka usiku hapa Polepole ukileta mada usiku naona CCM wanachanganyikiwaUmetia chumvi ndugu...
Hajatamka neno "WATAULIWA" au "MUNGU ATAUA"...
Amesema, mamlaka za kibinadamu zinapoacha kutenda haki, kusikiliza malalamiko na shida za wananchi, MUNGU huingilia kati, kutoa hukumu yake kwa haki...
Hukumu gani ya haki anaweza kuitoa Mungu..?
Bila shaka yaweza hata kuua (kama walivyouwawa wafalme wenye kiburi kadhaa mfano Farao, Sauli, John Pombe Magufuli, Iddi Amini, Mobutu Seseseko, Saddam Hussein, Bashar Al Asad nk)
Aidha yaweza kuwa kupigwa stroke kwa viongozi, kupigwa wazimu, kunyang'anywa madaraka na kutupwa porini na kula nyasi kama mnyama pori kama ilivyotokea kwa mfalme Nebukadneza nk...
Alimalizia kusema, kwa jeuri na kiburi hiki cha serikali hii chini ya CCM, basi haina shaka yoyote kuwa mwisho wa CCM ni mbaya na aibu na tayari umeshafika...!
Matusi ili yanoge mpaka usiku hapa Polepole ukileta mada usiku naona CCM wanachanganyikiwaYaani yeye anawasiliana na Mungu kujua nani,atakufa lini kwa ajili ya nini,haya na ninyamaze nisubiri kuona
code codeUmetia chumvi ndugu...
Hajatamka neno "WATAULIWA" au "MUNGU ATAUA"...
Amesema, mamlaka za kibinadamu zinapoacha kutenda haki, kusikiliza malalamiko na shida za wananchi, MUNGU huingilia kati, kutoa hukumu yake kwa haki...
Hukumu gani ya haki anaweza kuitoa Mungu..?
Bila shaka yaweza hata kuua (kama walivyouwawa wafalme wenye kiburi kadhaa mfano Farao, Sauli, John Pombe Magufuli, Iddi Amini, Mobutu Seseseko, Saddam Hussein, Bashar Al Asad nk)
Aidha yaweza kuwa kupigwa stroke kwa viongozi, kupigwa wazimu, kunyang'anywa madaraka na kutupwa porini na kula nyasi kama mnyama pori kama ilivyotokea kwa mfalme Nebukadneza nk...
Alimalizia kusema, kwa jeuri na kiburi hiki cha serikali hii chini ya CCM, basi haina shaka yoyote kuwa mwisho wa CCM ni mbaya na aibu na tayari umeshafika...!
Gwajima hajui Tanzania huko mafichoni yeye na Polepole watapotelea huko mafichoni na hakutakuwa na ushahidi sababu hawajulikani walikoInaonekana hapa kazi tayari ishafanyika na atasingiziwa Mungu , hii chess ya kikachero ni ngumu mno
we utakuwa sAMIA, HUWEZI KUSOMA CODE KILAZAUmetia chumvi ndugu...
Hajatamka neno "WATAULIWA" au "MUNGU ATAUA"...
Amesema, mamlaka za kibinadamu zinapoacha kutenda haki, kusikiliza malalamiko na shida za wananchi, MUNGU huingilia kati, kutoa hukumu yake kwa haki...
Hukumu gani ya haki anaweza kuitoa Mungu..?
Bila shaka yaweza hata kuua (kama walivyouwawa wafalme wenye kiburi kadhaa mfano Farao, Sauli, John Pombe Magufuli, Iddi Amini, Mobutu Seseseko, Saddam Hussein, Bashar Al Asad nk)
Aidha yaweza kuwa kupigwa stroke kwa viongozi, kupigwa wazimu, kunyang'anywa madaraka na kutupwa porini na kula nyasi kama mnyama pori kama ilivyotokea kwa mfalme Nebukadneza nk...
Alimalizia kusema, kwa jeuri na kiburi hiki cha serikali hii chini ya CCM, basi haina shaka yoyote kuwa mwisho wa CCM ni mbaya na aibu na tayari umeshafika...!
atakufa yeyeInaonekana hapa kazi tayari ishafanyika na atasingiziwa Mungu , hii chess ya kikachero ni ngumu mno
😂😂😂😂Mange kasema yupo Uturuki , leo ameanza kunywa uji
keehakifa akatwe ulimi
Gwajima ni nani mbele ya Mwenyezi Mungu, au ndiyo kwa vile amepewa ule uwezo wa kufufua watu? AstaghfirullahGwajima ameongea mambo mazito mno, na nashindwa kuendelea kuandika, kwani amesema Mungu ataingialia kati Waminya haki, siku si nyingi, Mbele yetu sisi kama CCM kuna hatari mbele kwa sababu Mungu ataiingilia kati, atajua afanye nini, ili haki itawale
Na wewe ni mtanzania kweli?Gwajima haijui Tanzania kabisa kuna siri nyingi mno za Tanzania ambazo hazijui mfano unaambiwa binadamu wa kwanza waliishi Tanzania mamillioni ya miaka mabaki ya vifaa vyao vya kale na mafuvu yanapatikana Olduvai Gorge huko mikoa kaskazini na Isimila Iringa na michoro ya mamilioni ya miaka yanapatikana kwenye Miamba Tanzania
Ajiulize hao watu wa kale Wa Tanzania wa olduvai Gorge na Isimila walioishi mamilioni ya miaka iliyopita walienda wapi na nini kilitokea hadi Tanzania hawako leo? Waliiishia wapi ? Nini ilikuwa siri ya wao kupotea zikabaki tu zana zao za mawe walitumia? Na mabaki ya mafuvu tu?
Gwajima anacheza na Tanzania sio saizi yake akae mbali nayon
Bwege mkubwa.Yeye na Polepole na hivyo vipuuzi vinajitia vimitume na vinabii koko shenzi type
Ni watoto wadogo mno hopeless
Tanzania hawaijui kabisa
Kuna washika siri za Tanzania
Alimfufua naniGwajima ni nani mbele ya Mwenyezi Mungu, au ndiyo kwa vile amepewa ule uwezo wa kufufua watu? Astaghfirullah
Yaani yeye anawasiliana na Mungu kujua nani,atakufa lini kwa ajili ya nini,haya na ninyamaze nisubiri kuona
Gwajima huko sirini aliko atapotelea huko huko sirini na hatasikika tena yeye na Polepole na wataiacha Tanzania salama itapita uchaguzi sirini bila wao kuwepo sababu watakuwa wamepotea mazima huko sirini kimya kimya na hakuna atakayejua kuwa ukimya wao wako hai au walikufa .Itabaki kitendawili kuwa je Gwajima na Polepole walikufa au la au waliamua kunyamazaNa wewe ni mtanzania kweli?
Unataka kumaanisha nini?Gwajima haijui Tanzania kabisa kuna siri nyingi mno za Tanzania ambazo hazijui mfano unaambiwa binadamu wa kwanza waliishi Tanzania mamillioni ya miaka mabaki ya vifaa vyao vya kale na mafuvu yanapatikana Olduvai Gorge huko mikoa kaskazini na Isimila Iringa na michoro ya mamilioni ya miaka yanapatikana kwenye Miamba Tanzania
Ajiulize hao watu wa kale Wa Tanzania wa olduvai Gorge na Isimila walioishi mamilioni ya miaka iliyopita walienda wapi na nini kilitokea hadi Tanzania hawako leo? Waliiishia wapi ? Nini ilikuwa siri ya wao kupotea zikabaki tu zana zao za mawe walitumia? Na mabaki ya mafuvu tu?
Gwajima anacheza na Tanzania sio saizi yake akae mbali nayon
Bwege mkubwa.Yeye na Polepole na hivyo vipuuzi vinajitia vimitume na vinabii koko shenzi type
Ni watoto wadogo mno hopeless
Tanzania hawaijui kabisa
Kuna washika siri za Tanzania
Nyie mmesoma soma history hivi dola gani ilipinduliwa kwa watu kukaa tu na kusubiri Mungu ?.Umetia chumvi ndugu...
Hajatamka neno "WATAULIWA" au "MUNGU ATAUA"...
Amesema, mamlaka za kibinadamu zinapoacha kutenda haki, kusikiliza malalamiko na shida za wananchi, MUNGU huingilia kati, kutoa hukumu yake kwa haki...
Hukumu gani ya haki anaweza kuitoa Mungu..?
Bila shaka yaweza hata kuua (kama walivyouwawa wafalme wenye kiburi kadhaa mfano Farao, Sauli, John Pombe Magufuli, Iddi Amini, Mobutu Seseseko, Saddam Hussein, Bashar Al Asad nk)
Aidha yaweza kuwa kupigwa stroke kwa viongozi, kupigwa wazimu, kunyang'anywa madaraka na kutupwa porini na kula nyasi kama mnyama pori kama ilivyotokea kwa mfalme Nebukadneza nk...
Alimalizia kusema, kwa jeuri na kiburi hiki cha serikali hii chini ya CCM, basi haina shaka yoyote kuwa mwisho wa CCM ni mbaya na aibu na tayari umeshafika...!
Yaani yeye anawasiliana na Mungu kujua nani,atakufa lini kwa ajili ya nini,haya na ninyamaze nisubiri kuona
Baada ya mange kuongea kuhusu haki yakeBoss wa Tiss yuko wapi?