Utaula wa chuya
JF-Expert Member
- Sep 19, 2022
- 607
- 1,784
Ushauri wamepewa kazi kwao...Inaonekana hapa kazi tayari ishafanyika na atasingiziwa Mungu , hii chess ya kikachero ni ngumu mno
Kwahy huyu Mungu hawaoni wale Waganda wanavyoteseka?Umetia chumvi ndugu...
Hajatamka neno "WATAULIWA" au "MUNGU ATAUA"...
Amesema, mamlaka za kibinadamu zinapoacha kutenda haki, kusikiliza malalamiko na shida za wananchi, MUNGU huingilia kati, kutoa hukumu yake kwa haki...
Hukumu gani ya haki anaweza kuitoa Mungu..?
Bila shaka yaweza hata kuua (kama walivyouwawa wafalme wenye kiburi kadhaa mfano Farao, Sauli, John Pombe Magufuli, Iddi Amini, Mobutu Seseseko, Saddam Hussein, Bashar Al Asad nk)
Aidha yaweza kuwa kupigwa stroke kwa viongozi, kupigwa wazimu, kunyang'anywa madaraka na kutupwa porini na kula nyasi kama mnyama pori kama ilivyotokea kwa mfalme Nebukadneza nk...
Alimalizia kusema, kwa jeuri na kiburi hiki cha serikali hii chini ya CCM, basi haina shaka yoyote kuwa mwisho wa CCM ni mbaya na aibu na tayari umeshafika...!
Ukweli ni kwamba tayari kwa wa umini tumeshaona kwenye rada za kinabii Gwajima kaogopa kusema zaidi lakini kuna mabaya yanakuja kwa viongoziGwajima ameongea mambo mazito mno, na nashindwa kuendelea kuandika, kwani amesema Mungu ataingialia kati Waminya haki, siku si nyingi, Mbele yetu sisi kama CCM kuna hatari mbele kwa sababu Mungu ataiingilia kati, atajua afanye nini, ili haki itawale
Nabii ziko km za watu zaidi ya 6 hivi ndani na nje ya nchiHuu utabiri itakuwa wa pili.wa kwanza ni ule wa sheikh ambaye alitabiri kuwa Kuna mwanamama atakuja kuongoza Tz lakini ataongoza vibaya na Kwa muda mfupi tu na kung'atuka Kwa aibu na atapatikana mzalendo ambaye atainyoosha nchi kutokana na uharibifu wa huyo mwanamama
Naona anamwaga code tu , kuna mtu wanataka wamuangushe anatoa Green-light 🚦Inaonekana hapa kazi tayari ishafanyika na atasingiziwa Mungu , hii chess ya kikachero ni ngumu mno
Matusi na povu la nini weweGwajima haijui Tanzania kabisa kuna siri nyingi mno za Tanzania ambazo hazijui mfano unaambiwa binadamu wa kwanza waliishi Tanzania mamillioni ya miaka mabaki ya vifaa vyao vya kale na mafuvu yanapatikana Olduvai Gorge huko mikoa kaskazini na Isimila Iringa na michoro ya mamilioni ya miaka yanapatikana kwenye Miamba Tanzania
Ajiulize hao watu wa kale Wa Tanzania wa olduvai Gorge na Isimila walioishi mamilioni ya miaka iliyopita walienda wapi na nini kilitokea hadi Tanzania hawako leo? Waliiishia wapi ? Nini ilikuwa siri ya wao kupotea zikabaki tu zana zao za mawe walitumia? Na mabaki ya mafuvu tu?
Gwajima anacheza na Tanzania sio saizi yake akae mbali nayon
Bwege mkubwa.Yeye na Polepole na hivyo vipuuzi vinajitia vimitume na vinabii koko shenzi type
Ni watoto wadogo mno hopeless
Tanzania hawaijui kabisa
Kuna washika siri za Tanzania
Ukimuachia Mungu huna haja ya kutangaza, aseme anawaambia nini wenzieKwa hiyo kamuachia Mungu!!😁
🤣🤣Mtu hutaki ushauri tukusaidiaje SSNaona anamwaga code tu , kuna mtu wanataka wamuangushe anatoa Green-light 🚦
Ewaaaa we umemsomaUkweli ni kwamba tayari kwa wa umini tumeshaona kwenye rada za kinabii Gwajima kaogopa kusema zaidi lakini kuna mabaya yanakuja kwa viongozi
Leo alikuwa anaongea machozi yakimlenga, pole sana Gwajima ulidhani unaweza kutupa siku kumi? Nawaza tu nawaza tu sadaka zinapotea kiasi ganiGwajima ameongea mambo mazito mno, na nashindwa kuendelea kuandika, kwani amesema Mungu ataingialia kati Waminya haki, siku si nyingi, Mbele yetu sisi kama CCM kuna hatari mbele kwa sababu Mungu ataiingilia kati, atajua afanye nini, ili haki itawale
Hiyo ni code ngumu sana kwamba wanadamu wasipoweza Mungu huingilia katiEwaaaa we umemsoma
Katumia code kajitahidi kujizima kusema ...ila wengine tumemuelewa
NAchojua Kuna watu hawatatoboa mpk October,hawafiki .....
Gwajima bwege tu anatishia nyau naniAmeshakata tamaa huyo ntakuja kuongea kitu kigumu kikoo wapi
Very stupid and foolish argument...Kwahy huyu Mungu hawaoni wale Waganda wanavyoteseka?
Kwann ameamua kunyamaza kwa majiran zetu