Gwajima: Mbele yetu sisi kama CCM kuna hatari, Mungu ataingilia kati ili awatetea watu wake

Kwa wale wabobevu wa nature wasioamini Mungu, wanasema nature inaingilia kwa kurestore pale mambo yanapoharibika hadi kufikia viwango vya kukosekana kuwili.... Nimesema tu lakini mimi naamini Mungu yupo

Asante
 
Muongo huyu wala hajui haki yoyote haki nikuwafanya watu misukule.mbona siku jizi utoi misukule au wamekwisha huko kwenye mapango yako.Nachukia sana watu waongo na wanafiki.
 
Kwahiyo KIFO ni adhabu MTU ana miaka 60s hata akifa anakuwa amekufa muda sahihi
1.Kama kifo siyo adhabu, kwanini kuna hukumu ya kunyongwa hadi kufa?

2.Lakini pia hukusoma kwamba "mshahara (malipo/adhabu )wa dhambi ni mauti"?
 
Tatizo mnakalilishwa nabii za watafuta followers Mitandaon na nyie mnakazana
Mungu hajahi kufangamana na wapumbavu Hadi pale mtakapoamua kutumia akili na maharifa aliyokwisha kuyaweka ndani yenu tangu uumbaji
 
Hawa watu wanaoitwa wnasiasa kuna wakati wanatusemea Raia wa kawaida katika mtazamo hasi sana. Hivi ni kipimo gani anatumia kusema wananchi hawana nguvu?....Anaongea na wananchi wasio na nguvu ili nini haswa?..

Kama Wananchi (Watanzania) ni dhaifu kama wanasiasa wengi wanavyodai Je wanapofanya press conference huwa wanawajulisha Wananchi wanaowaita dhaifu mambo mazito ili kitokee nini haswa.

WANASIASA ACHENI DHARAU NGUVU YA UMMA NI NGUVU YA MUNGU, NGUVU YA MUNGU HUTENDA KWA BUSARA, KUSUDI NA WAKATI.
 
Tatizo mnakalilishwa nabii za watafuta followers Mitandaon na nyie mnakazana
Mungu hajahi kufangamana na wapumbavu Hadi pale mtakapoamua kutumia akili na maharifa aliyokwisha kuyaweka ndani yenu tangu uumbaji
Brother,
Ungeona nyuma ya ulichoandika ungetulia kwanza.
 
Hiyo ni code ngumu sana kwamba wanadamu wasipoweza Mungu huingilia kati

Ogopa sana,Tena kauli yenyewe inatamkwa na mchungaji

Hapo ameshanusa kuwa kuna majitu yatakufa
Yap
Imebidi nikasikilize Tena
Nimemuelewa vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…