Uchaguzi 2020 GWAJIMA: Mgombea wa CCM anayeumiza vichwa vya Wapinzani

Uchaguzi 2020 GWAJIMA: Mgombea wa CCM anayeumiza vichwa vya Wapinzani

Tapeli na mhuni hawezi kuumiza vichwa vya wanaojitambua labda vya MAZWAZWA tu. Njaa kali imemkimbiza kanisani baada ya sadaka kukata.
 
Sijawahi kuuona umaarufu wa Gwajima.

Huku kwenye kanisa lake, waumini wanazidi kupungua. Wengi wanazidi kuzinduka kutoka usingizi na kutambua kuwa Gwajina ni alama nyingine ya utumishi wa ibilisi.

Uongo wa ufufuaji wa misukule kila mmoja sasa anautambua. Utapeli kwa kutumia neno la Mungu wetu, nao dhahiri. Hata kwenye siasa, nako Gwajima ataumbuka. Aibu ya video za ngono anazofanya na baadhi ya waumini wake ikaja kuthibitisha Gwajima anamtumikia nani.

Huwezi kutapeli kwa kutumia jina la Mwenyezi Mungu, halafu akuache uendelee. Gwajima is in the course of great embarassment.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila Gwajima akumbuke kazi ya Kuwashawishi watu wakupe kura sio sawa na kazi ya kuwadanganya kondoo wakupe sadaka
Kwenye Kanisa kama lile la Gwajima, kwa kiasi kikubwa una watu wa aiana moja. Watu walio wajinga wa neno la Mungu, watu waliokosa maarifa. Hao unaweza kuwaswaga kama unavyopenda. Kwenye jimbo una mvhanganyiko wa watu wa aina zote, werevu, wenye akili, wajinga, wachambuzi na wapembuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi kuuona umaarufu wa Gwajima.

Huku kwenye kanisa lake, waumini wanazidi kupungua. Wengi wanazidi kuzinduka kutoka usingizi na kutambua kuwa Gwajina ni alama nyingine ya utumishi wa ibilisi.

Uongo wa ufufuaji wa misukule kila mmoja sasa anautambua. Utapeli kwa kutumia neno la Mungu wetu, nao dhahiri. Hata kwenye siasa, nako Gwajima ataumbuka. Aibu ya video za ngono anazofanya na baadhi ya waumini wake ikaja kuthibitisha Gwajima anamtumikia nani.

Huwezi kutapeli kwa kutumia jina la Mwenyezi Mungu, halafu akuache uendelee. Gwajima is in the course of great embarassment.

Sent using Jamii Forums mobile app
Heh una attendance list ya kanisani kwake au unahusika na kurekodi takwimu pale? Waumini wakifika wanaripoti kwako au?
Unabisha tu bure nani hamjui mzee wa kuamsha dude? Elimu ya bashite ulipewa wapi wewe kama sio unabisha bure?
He is the course of embarrassment 😂😂 are you happy with your English ipeleke huko village kwenu.

Amemtapeli nani? Ungeanza kuwa-attack hao wanaouza maji, chumvi na mafuta. Akutapeli kwa lipi
 
Kama mutatumia bunduki na mabomu ya machozi na kumwambia mkuu wa kituo cha tume ageuze matokeo gwajima atashinda na kama hamutaingilia maamuzi ya kituo cha kupigia kura gwajima analia SAA moja asubuhi
 
Mbona mnaongelea sana saa Za asubuhi ndo maagizo mlopewa kwa mganga wenu kule bagamoyo?
 
Daa zinduka nikuibie siri toka haraka kuwaza ivyo, Gwajima ajawahi kuangushwaga na mtu wakati wowote, mimi nshashutukia mchezo.
Mbona aliangushwa na yule kondoo wa zizini mwake akawa anagugumia taratibu huku mkono kaukunja kama baunsa? Au unataka clip?
 
Heh una attendance list ya kanisani kwake au unahusika na kurekodi takwimu pale? Waumini wakifika wanaripoti kwako au?

Unabisha tu bure nani hamjui mzee wa kuamsha dude? Elimu ya bashite ulipewa wapi wewe kama sio unabisha bure?
He is the course of embarrassment [emoji23][emoji23] are you happy with your English ipeleke huko village kwenu.

Amemtapeli nani? Ungeanza kuwa-attack hao wanaouza maji, chumvi na mafuta. Akutapeli kwa lipi you uncultured shwine
Nimesema, he is in the course na siyo kama ulivyoandika.

Tafuta kamusi ya Kiswahili ufahamu maana ya tapeli. Tuna matapeli wa siasa, tuna matapeli wa fedha na tuna matapeli wa dini. Gwajima ni tapeli wa imani ya dini. Lazima uwe mjinga sana kuamini kuwa Gwajima ni kiongozi wa imani ya Kikristo.

Unaweza kubisha au hata kutukana lakini haitabadilisha kuwa watu wanaoamini mafundisho yake na kuendelea kuwa watumwa wa utapeli wake, wanazidi kupungua kika siku.

Siamini kama CCM wanaweza kumpitisha Gwajima kuwa mgombea kupitia CCM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tapeli na mhuni hawezi kuumiza vichwa vya wanaojitambua labda vya MAZWAZWA tu. Njaa kali imemkimbiza kanisani baada ya sadaka kukata.
Hata alipokuwa mshenga wa kumleta Lowasa chadema ulikuwa na ukiwahi kupata ujasiri wa kusema haya?
 
Back
Top Bottom