Uchaguzi 2020 GWAJIMA: Mgombea wa CCM anayeumiza vichwa vya Wapinzani

Uchaguzi 2020 GWAJIMA: Mgombea wa CCM anayeumiza vichwa vya Wapinzani

kudamademede,

Umekula maharage ya wapi!
Tangu lini Nabii kawa mtaji wa CCM au kwasababu atageuza misikiti yote kuwa Sunday school
 
kudamademede,

Kati ya watu wote waliochukua form kawe Gwajima ndie anaongoza kuwa mtu asie mwadilifu.

Kama kawe watakubali kuongozwa na tapeli, kanjanja, mwasherati/ mzinzi na mwasi katika dini Gwaji,
Basi utakua ni muujiza.

Muujiza ni jambo lisilokuwa la kawaida sii kwamba haliwezi kutoke bali hata hivyo laweza tokea na kuacha historia.
 
Sijui future ya kanisa la “Ufufuo na Uzima” itakuwaje kama Gwajima atabebwa kuzunguka Nchi nzima kusaidia kampeni.

Mathayo 22:22: Hapo Yesu akawaambia, “Basi, ya Kaisari mpeni Kaisari na ya Mungu mpeni Mungu.”
 
Tapeli na mhuni hawezi kuumiza vichwa vya wanaojitambua labda vya MAZWAZWA tu. Njaa kali imemkimbiza kanisani baada ya sadaka kukata.
Ww ndiyo muhesabu sadaka hadi umejua sadaka zimekata au unaongea tu?
Muda bado tutajua Zwazwa ni nani.
 
Huyu hata kwenye kura za maoni hatumpitishi!

Aache tamaa! Mungu amempa kazi ya kuchunga kondoo inamtosha!
 
Sijawahi kuuona umaarufu wa Gwajima.

Huku kwenye kanisa lake, waumini wanazidi kupungua. Wengi wanazidi kuzinduka kutoka usingizi na kutambua kuwa Gwajina ni alama nyingine ya utumishi wa ibilisi.

Uongo wa ufufuaji wa misukule kila mmoja sasa anautambua. Utapeli kwa kutumia neno la Mungu wetu, nao dhahiri. Hata kwenye siasa, nako Gwajima ataumbuka. Aibu ya video za ngono anazofanya na baadhi ya waumini wake ikaja kuthibitisha Gwajima anamtumikia nani.

Huwezi kutapeli kwa kutumia jina la Mwenyezi Mungu, halafu akuache uendelee. Gwajima is in the course of great embarassment.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiyo unadaftari la majina ya waumini wote hadi ujue wamepunguwa?
Kweli kununuliwa ni tatizo kubwa sana jiangalie utaishia sehemu mbaya
 
Sijawahi kuuona umaarufu wa Gwajima.

Huku kwenye kanisa lake, waumini wanazidi kupungua. Wengi wanazidi kuzinduka kutoka usingizi na kutambua kuwa Gwajina ni alama nyingine ya utumishi wa ibilisi.

Uongo wa ufufuaji wa misukule kila mmoja sasa anautambua. Utapeli kwa kutumia neno la Mungu wetu, nao dhahiri. Hata kwenye siasa, nako Gwajima ataumbuka. Aibu ya video za ngono anazofanya na baadhi ya waumini wake ikaja kuthibitisha Gwajima anamtumikia nani.

Huwezi kutapeli kwa kutumia jina la Mwenyezi Mungu, halafu akuache uendelee. Gwajima is in the course of great embarassment.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anamfuta mzee wa upako kwisha habari yake, utapeli una mwisho
 
Oh uko Sahihi KABISA Mkuu, Gwajima anapambaa Moto ,Nchi nzima imezizima ,KILA blogs za mtandao Ni Gwajima TU ,Yule jamaa Ni hatari aisee
Eti ni hatari CCM mumebakia vilaza tu, AMFIFIRO anashindwa kujibu maswali ya wanahabari anabakia itoshe.. Itoshe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimeanza kuamini kuna watu huwa wanaandika post na kuanza kujicomment kwa IDs tofauti tofauti
 
Daa zinduka nikuibie siri toka haraka kuwaza ivyo ,Gwajima ajawahi kuangushwaga na mtu wakati wowote,,mimi nshashutukia mchezo.
Aliwahi kuangusha na maofisa upelelezi wakati wa mahojiano, akapoteza fahamu? Na kuwahishwa hospital
 
Back
Top Bottom