ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Ushawishi wake labda huko Biharamhulo lakini si kwa watu wanaojitambua wa Kawe!Huyu jamaa ni mtu mmoja mwenye ushawishi mkubwa hapa Tanzania.
Uwezo wake wa kupanga hoja na kupangua mashambulizi ni wa kiwango cha juu.
Ni asset kubwa katika nchi hii
Mkuu unasema kweli? Ebu toa hoja zako za msingi.GWAJIMA ATAANGUSHWA NA MDEE ASUBUHI NA MAPEMA,UTAKUJA KUNIAMBIA
Yani hizo fikra za mwenzio ndio umezishadidia hadi kuharibu kukikosoa Kingereza chake badala ya kumpinga Kwa hoja mantiki, kweli kuna jambo nyinyi watu mnataka kuliforce.Heh una attendance list ya kanisani kwake au unahusika na kurekodi takwimu pale? Waumini wakifika wanaripoti kwako au?
Unabisha tu bure nani hamjui mzee wa kuamsha dude? Elimu ya bashite ulipewa wapi wewe kama sio unabisha bure?
He is the course of embarrassment 😂😂 are you happy with your English ipeleke huko village kwenu.
Amemtapeli nani? Ungeanza kuwa-attack hao wanaouza maji, chumvi na mafuta. Akutapeli kwa lipi you uncultured shwine
Hayo aliyasema Gwajiboy mwenyewe Mkuu...Usiichafue ccm kwa uwezo wako finyu wa kufikiria. Huu unaoufanya ni uchochezi na unaweza ukafungwa n serikali io io inayoongozwa n ccm.
Staki unafki, kama ninavyojua na kutamani magu arudi mjengoni, basi ningependa mdee arudi tena mjengoni. Allah bless
Kila MwanaCCM?Mkuu unasema kweli? Ebu toa hoja zako za msingi.
Mimi Gwajima simkubali sana, lkn ukiangalia kukubalika kwake, amempita sana Mdee. Mdee kwa miaka 10 watu wengi wanalalamika. Wanasema amekuwa mbunge wa kuhudhuria tu vikao vya bunge na kuongoza migomo lkn jimboni hawamuoni.
Ukipita kwa wazee wa Kawe, wameishaamua kabisa kumnyanganya jimbo mdee.
Yaani sijui Gwajima amewapa nini watu wa Kawe. Mimi nina rafiki zangu wanakaa Boko na Bunju wanasema kule kila mwanaCCM anasema Gwajima ndio chaguo lao.
Naona mnajianzishia nyuzi halafu mnajaza comments wenyewe [emoji1787][emoji1787]
Ila hawezi jibu hoja yeyote kuhusu CCMHuyu jamaa ni mtu mmoja mwenye ushawishi mkubwa hapa Tanzania.
Uwezo wake wa kupanga hoja na kupangua mashambulizi ni wa kiwango cha juu.
Ni asset kubwa katika nchi hii
Ni kweli ana ushawishi sana hasa kwa mahouse girl na wanaofanana naoHuyu jamaa ni mtu mmoja mwenye ushawishi mkubwa hapa Tanzania.
Uwezo wake wa kupanga hoja na kupangua mashambulizi ni wa kiwango cha juu.
Ni asset kubwa katika nchi hii