Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Hawa watu hata mgombea wa Urais wa CHADEMA alipofika Kawe hakupata watu wengi kama hawa.
Wakuu Kawe imepata mtu sahihi, leo Bunju A imesimama. Hizi picha za asubuhi wakati mkutano haujaanza Bunju A imetapika.
Kwa wale upande wa pili wanaopenda kuedit picha, CCM hatuna kuedit. Pita shule ya msingi Bunju A ujione balaa watu wametapika.
Mama lishe wanamlilia Gwajima
Bodaboda wanamtaka Gwajima
Madereva wanamtaka Gwajima,
Wastaafu wanamtaka Gwajima,
Wavuvi wanamtaka Gwajima
Wafanyabiashara wanamtaka Gwajima
WanaCCM tumeamua kuungana pamoja na kuondoa maslahi Binafsi ili kuhakikisha Gwajima anashinda kwa kishindo
Yule mama mwenye lugha ya matusi watu hata hawataki kumsikia.