Uchaguzi 2020 Gwajima moto wa kuotea mbali, aisimamisha Bunju

Hawa watu hata mgombea wa Urais wa Chadema alipofika Kawe hakupata watu wengi kama hawa.

Wakuu Kawe imepata mtu sahihi, leo bunju A imesimama. Hizi picha za asubuhi wakati mkutano haujaanza Bunju A imetapika.

Kwa wale upande wa pili wanaopenda kuedit picha, CCM hatuna kuedit. Pita shule ya msingi Bunju A ujione balaa watu wametapika

Mama lishe wanamlilia Gwajima
Bodaboda wanamtaka Gwajima
Madereva wanamtaka Gwajima,
Wastaafu wanamtaka Gwajima,
Wavuvi wanamtaka Gwajima
Wafanyabiashara wanamtaka Gwajima

WanaCCM tumeamua kuungana pamoja na kuondoa maslahi Binafsi ili kuhakikisha Gwajima anashinda kwa kishindo

Yule mama mwenye lugha ya matusi watu hata hawataki kumsikia.
Kawe kwa bishop. Gwajima
 
Hakuna watu masikini kama wafuasi wa Gwajima; na bado li ligwajima linawakamua sadaka kila Jumapili.

Huko Birmingham Marekani sijui Japan sijui utopolo wa Boat za uvuvi , sijui treni na chuo cha uvuvi angeanza na waumini wake.

Gwajima Tapeli huyo hata kanisa ameshindwa kujenga huku anatembelea Hammer kwa sadaka za mazuzu wake.
 
Back
Top Bottom