Uchaguzi 2020 Gwajima moto wa kuotea mbali, aisimamisha Bunju

Uchaguzi 2020 Gwajima moto wa kuotea mbali, aisimamisha Bunju

Pamoja na kumchafua lakini haisadii Gwajima hazuiliki!
Walioitengeneza ile kashifa wameshaona kuwa Gwajima hazuiliki.
Walioitenegeneza kashfa ipi??
ILa ya ngono ya kumla muumini wake??
 
Kawe hatutaki tena matusi ya yule bibi
Wewe ndumi la kuwili post moja umemnanga '.....eti wamuangalie vizuri inaonekana ......' hapa unamsifia
Punguza porojo na kujaza server ya wenyewe
buku 7 zimerudi kwa speed ya tumbili
Amua kuwa moto au baridi sio vuguvugu
 
Kama ni kashifa hata bidada mbona amekuwa akihusishwa na Lesbians related issues?!

Kila mtu analake cha maana tunataka mabadiliko na Gwajima hazuiliki!
Kashfa na mengine hizo n personal issues kila mtu ana mapungufu..kawe tunaenda na ngwajima ..ikiwezekana mtu awe na kilema na awe tu
 
Hawa watu hata mgombea wa Urais wa Chadema alipofika Kawe hakupata watu wengi kama hawa.

Wakuu Kawe imepata mtu sahihi, leo bunju A imesimama. Hizi picha za asubuhi wakati mkutano haujaanza Bunju A imetapika.

Kwa wale upande wa pili wanaopenda kuedit picha, CCM hatuna kuedit. Pita shule ya msingi Bunju A ujione balaa watu wametapika

Mama lishe wanamlilia Gwajima
Bodaboda wanamtaka Gwajima
Madereva wanamtaka Gwajima,
Wastaafu wanamtaka Gwajima,
Wavuvi wanamtaka Gwajima
Wafanyabiashara wanamtaka Gwajima

WanaCCM tumeamua kuungana pamoja na kuondoa maslahi Binafsi ili kuhakikisha Gwajima anashinda kwa kishindo

Yule mama mwenye lugha ya matusi watu hata hawataki kumsikia.
upuuzi mtupu,watu gani sasa hawa
 
Tapeli tuu huyo, hivi ni kwa nini anafanya kampeni si akae tu asubiri miujiza ya Yesu? au kanisani alikuwa anasema uongo?
 
Walioitenegeneza kashfa ipi??
ILa ya ngono ya kumla muumini wake??

Ile ilishaelezwa kuwa ni ya kutengeneza ili kumchafua!
Uzuri ni kuwa dhahabu hata ipakwe kinyesi itabaki kuwa dhahabu!
Kwani wangapi wanazini na kufanya uasherati?!

Twendeni na Gwajima kwa maendeleo ya wana Kawe na Taifa kwa ujumla!
 
Hawa watu hata mgombea wa Urais wa Chadema alipofika Kawe hakupata watu wengi kama hawa.

Wakuu Kawe imepata mtu sahihi, leo bunju A imesimama. Hizi picha za asubuhi wakati mkutano haujaanza Bunju A imetapika.

Kwa wale upande wa pili wanaopenda kuedit picha, CCM hatuna kuedit. Pita shule ya msingi Bunju A ujione balaa watu wametapika

Mama lishe wanamlilia Gwajima
Bodaboda wanamtaka Gwajima
Madereva wanamtaka Gwajima,
Wastaafu wanamtaka Gwajima,
Wavuvi wanamtaka Gwajima
Wafanyabiashara wanamtaka Gwajima

WanaCCM tumeamua kuungana pamoja na kuondoa maslahi Binafsi ili kuhakikisha Gwajima anashinda kwa kishindo

Yule mama mwenye lugha ya matusi watu hata hawataki kumsikia.
kuna nini sasa hapa mbona ni moto wakuotea karibu
 
Nilipishana nao makongo wamejaa kwenye DCM sijui kawatoa wapi
 
Back
Top Bottom