Gwajima na mikutano ya kimkakati kuelekea 2025: Je, itazaa matunda?

The fact ya kwamba jitu tapeli kama Gwajima linaamini linaweza kuwa Rais ...inaonesha jinsi wanasiasa uchwara wanavyo dharau wananchi

Tangu Yule jamaa awe Rais ...Sasa Kila mmoja anahisi anaweza.Ngoja utashangaa na wengine wengi ambao hata familia zao tu wameshindwa ziongoza
 
Tangu Yule jamaa awe Rais ...Sasa Kila mmoja anahisi anaweza.Ngoja utashangaa na wengine wengi ambao hata familia zao tu wameshindwa ziongoza
Tangu umalize la nne upe unahisi unweza kuwa mchambuzi wa siasa
 
Inahitaji akili za mwendawazimu kumuamini Gwajima. Alidanganya kanuanua treni hadi kimya,alidanganya kumfufua Amina Chifupa hadi hajafanya hivyo.
 
Kumbuka yuko jikoni kamati kuu ya Chama usiongee sana!
Jamaa anapesa kibao. sadaka na mafungu ya kumi ya waomini, mpaka anamiliki helkopta! Sema ubunge mwisho 2025. kupata tena labda Magu afufuke
 
Watu wanaosema hatoshinda ubunge Kawa ndo hao hao wanamuhofia urais,

Punguzeni HOFU, uchaguzi Bado sana.
2020 alishinda kwa ubabe wa JPM ila 2025 maana alikua watatu kura za maoni ila waka force kumpa ubunge sababu JPM alilazimisha. Sasa chama kimerudi kwa Kikwete mtu ambaye haziivi na Gwajima kabisa so hakuna namna atapitishwa na Samia kugombea ubunge 2025.

Na hata akipitishwa, Akipambanishwa na yeyote kutoka upinzani basi Jimbo atalipoteza maana hamna alichofanya mpaka Sasa zaidi ya kuzurura tu kwenye mikutano feki ya injili.

Na ndio maana tunamshauri aanzishe chama otherwise his political career is facing an imminent capitulation into eternal oblivion.
 
Kumbuka yuko jikoni kamati kuu ya Chama usiongee sana!
Kamati kuu ipi? Mwenyekiti wa CCM ndio Kila kitu hao wengine ni washereheshaji tu. Jerry Slaa alikua kamati kuu ila Bado aliangushwa ubunge.
 
Kamati kuu ipi? Mwenyekiti wa CCM ndio Kila kitu hao wengine ni washereheshaji tu. Jerry Slaa alikua kamati kuu ila Bado aliangushwa ubunge.
Gwajima kukatwa jina sahau tena unajidanganya! Gwajima undani ya CCM ananguvu kuliko Mwigulu na Makamba Jr! Kamati kuu imkate member wakati wakiwa wanajadili majina yumo?
 
Siasa ni upuuzi sana! Mchungaji akisubiri Injili anaitwa siasa?
 
Yule mwenye waraka wa kuwashughulikia wote wale watakaombeza JPM
 
Mwache Gwaji Boy, yeye anahubiri injili😎
 
Duh, Mkuu 'zitto junior', sasa ni wazi kwamba mama Samia kakuchota akili yote kabisa!

Imebaki tu kutamka siku moja bayana hapa kwamba CHADEMA hawana sababu tena ya kuweka mgombea wao kushindana na huyo mama, au ikibidi wasionekane kuwa wamejisalimisha moja kwa moja kwa mama, basi waweke tu kama ushahidi, mtu mpuuzi puuzi hivi asiyeweza kushindana na huyo mama.

Mimi napendekeza uwasihi CHADEMA waungane na hii CCM anayoitengeneza sasa hivi Samia, kwa maana haina tofauti yoyote na CHADEMA yenyewe. Hatua hii itarahisisha kuyadhibiti masalia ya Magufuli ndani ya CCM/CHADEMA.

Kuhusu huyo Askofu feki, sina hata haja ya kumzungumzia hapa kwa sasa. Kama huyu naye anaonekana kuwa tishio kwa Samia sasa hivi, basi Samia atakuwa ni mtu wa ajabu sana kuwahi kuwa rais wa nchi hii.

Naona waTanzania hadhi yetu imekuwa ya chini sana siku hizi.
 
Atayeshawishika na lolote kutoka kwa Gwajima atakuwa mtu wa ajabu sana !
Hata akiwarahisishia kazi CHADEMA kufanya aliyofanya 'Hichilema', au ninakusoma visivyo!

mada iliyopo ukumbini inaonyesha hofu ya mleta mada kuhusu Samia, sasa sielewi hilo linakuwa baya vipi kwa CHADEMA?
Nielewavyo, wewe hujageuka kuwa "jiwe la chumvi" kama baadhi ya tulioamini kwamba wapo ndani ya CHADEMA kwa miguu yote, kumbe siyo kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…