Gwajima ni mjumbe asiye sahihi mwenye ujumbe sahihi

Matongee

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
1,234
Reaction score
3,192
Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na mzinzi mwandamizi linalojipatia hela za wajinga kwa kufanya ufufuo feki. Ikumbukwe alishindwa kumfufua mama yake. Lakini pamoja na ushenzi alio nao kwenye siasa hadi nje ya siasa bado kwa ujumbe alioutoa tunaweza sema ni "WRONG MESSENGER WITH A RIGHT MESSAGE".

Ujumbe wake kuhusu utekaji ni sahihi kwa wakati tuliopo. Hakuna mtu asiyejua au kusikia upoteaji wa watu kiholela. Mimi binafsi ninapinga kuteka au kupoteza mtu yeyote. Awe mtanzania au sio mtanzania. Hakuna sheria ya nchi au ya Mungu inayoruhusu hilo. Kama waliopotea walikuwa na tuhuma za makosa wangefikishwa mahakamani na sio kuwapora haki yao ya kuishi. Naunga mkono 100% ujumbe wa Gwajima kuwa hili sio suala la kukalia kimya.

Niikumbushe CCM kuwa hili suala la Gwajima ni la kuchukulia serious maana limetoka miongoni mwao. Gwajima ni mtu wa ndani hivyo hatuwezi kumpuuza kama tunavyowapuuza kina Erythrocyte na wafuasi wengine wa CHADEMA. Mimi nitasikiliza ujumbe wa mlevi akiniambia usinywe pombe kuliko mchungaji kwa sababu mlevi anajua kiundani madhara ya pombe. Gwajima tunamzingatia kwa sababu ndo mwenye access ya mambo mengi ya nchi kuliko hawa wanaharakati uchwara wa CHADEMA.

Kinachosikitisha ni kuwa wenye akili waliopo CCM wamekaa tu kimya huku chawa wakijibu ushuzi mtupu kuhusu tamko la Gwajima. Kawaida, Tarimba na Muro ni miongoni mwa akili ndogo zilizoongea upuuzi. Hapa JF kuna chawa Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, Shotocan, MamaSamia2025 na wengine wamejibu utumbo. Kimsingi chawa wameegemea kumtaja Mama na kukwepa kabisa kutamka kishujaa kuwa Gwajima anadanganya na kama ana ushahidi auweke hadharani. Chawa wana akili ila wanazitumia kulinda ulaji wao.

Tafadhali akili kubwa za CCM zikae chini zishughulikie suala la utekaji na kukomesha mara moja badala ya kuhangaika na tapeli la madhabahuni Gwajima.
 
KUSIMAMA NA SAUTI YA WANANCHI

Katika mazingira yoyote ya kidemokrasia, sauti ya mwananchi inabaki kuwa msingi wa utawala wa haki. Leo, tumeshuhudia matamshi na mwelekeo wa kisiasa unaolenga kumshambulia na hata kumtenga Mbunge wa Kawe, Mhe. Josephat Gwajima, kwa sababu ya ujasiri wake wa kusimama na kuwasemea wananchi juu ya masuala yanayogusa usalama wao na hali zao za maisha kwa ujumla.

MBUNGE NI NANI?
Ni muhimu kukumbusha kuwa mbunge ni mwakilishi wa wananchi si msemaji wa chama tu. Mhe. Gwajima ametumia nafasi yake kama kiongozi wa kuchaguliwa kutekeleza wajibu huo kwa uaminifu na uthubutu. Hali ya kumnyoshea kidole mtu anapotekeleza wajibu wake wa msingi ni dalili ya mfumo unaokwepa kuwajibika mbele ya wananchi.

Tunapaswa kujiuliza: Kama kiongozi anayetetea wanyonge anapigwa vita, je, kweli tunasimamia maslahi ya Taifa au maslahi ya kundi dogo la watu wenye mamlaka? Ikiwa chama kinaamua kumtenga mtu kwa sababu ya kusimamia ukweli na kuwakilisha sauti ya watu, basi ni wazi kuwa chama hicho kinajiondoa kwenye misingi ya uwakilishi wa kidemokrasia.

GWAJIMA KAFANYA NINI?
Mhe. Gwajima amesimama kama raia kabla ya kuwa mbunge. Ametumia jukwaa lake si kwa faida binafsi, bali kuzungumzia hofu, matumaini, na changamoto za Watanzania waliomchagua. Hili ni jambo la kupongezwa, si kulaaniwa.

Katika nyakati ambapo viongozi wa kweli wanaadhibiwa kwa kusema ukweli, historia huwaandikia kuwa mashujaa wa kesho. Leo tunashuhudia ujasiri wa mtu mmoja, lakini kesho historia itamkumbuka kama aliyechagua kusimama upande wa wananchi badala ya mfumo wa hofu na kimya.

Kwa msingi huo, tunamtia moyo Mhe. Gwajima kuendelea kuwa sauti ya wananchi, na tunatoa wito kwa taasisi za kisiasa kuheshimu nafasi ya wabunge kama wawakilishi huru wa wananchi si watumwa wa itikadi.
 
Kunitaja mimi ulilenga kutuma ujumbe gani kwa nani ili iweje?
 
Nilitenga muda wangu kufatilia ulichokiandika sasahivi najilaumu kuutumia muda wangu vibaya najuta ni afadhali ningeutumia muda huo kulala kuliko kusoma utumbo, na ujinga uliouandika hapa.
Hoja yako ya kwanza: wrong messenger right messege,kwa sababu wewe ni mpuuzi nianze kwa kukubalia kua mtoa ujumbe sio mtu sahihi ili usijione mjinga sana. Ikiwa ni hivo shida ipo wapi kwa sasa watanzania tunahitaji mtu mwenye sauti ya kutetea uma wa watanzania kwenye hili swala la utekaji maana kila mtu amenyamaza ukiwepo wewe hapo umekaa unanyonyesha makalio unasubiri mwanaume aseme ndio upate cha kuongea ulikua wapi kuongea kabla gwajima hajaongea utetee wananchi?
Pili si kweli kwamba gwajima si mtu sahihi ni wewe unamuona si mtu sahihi kwa sababu umeanza kumjua jana watu wanaomjua gwajima toka zamani wanatambua ni mtu ASIYEPINDA AMENYOOKA KUZIDI RULA. MAGUFULI AMEMPENDA NA KUMPA NAFASI YA KUGOMBEA UBUNGE KWA SABABU NI MKWELI KUPITILIZA NA AMENYOOKA SANA ALIMNYOOSHA MAGUFULI MWENYEWE NA BASHITE WAKE NA HIO NDIO SABABU YA MAGUFULI KUMKUBALI. SIO GWAJIMA ALIEMFATA MAGUFULI BALI NI MAGUFULI NDIE ALIEMUHITAJI GWAJIMA. KAA KWA KUTULIA WEWE PONJORO WA JF.
 
Ni mjumbe mzuri na tunu ya chama kama watamuelewa mapema na kusikiliza kile anachokisema.

CCM ni chama kilicho jaa mafisadi,wabinafsi,wenye fitina kwa hali kama hii ni ngumu kupata mtu atakae mkemea mwingine bila woga na kulinda msimamo wake kwa masirahi mapana ya taifa

Na hili ndio tunalotaka watanzania kuona mtu anainuka na kusema hapana utekaji,hapana ufisadi ili kuipeleka nchi mahali sahihi inapotakiwa kwenda
 
KUSIMAMA NA SAUTI YA WANANCHI

Katika mazingira yoyote ya kidemokrasia, sauti ya mwananchi inabaki kuwa msingi wa utawala wa haki. Leo, tumeshuhudia matamshi na mwelekeo wa kisiasa unaolenga kumshambulia na hata kumtenga Mbunge wa Kawe, Mhe. Josephat Gwajima, kwa sababu ya ujasiri wake wa kusimama na kuwasemea wananchi juu ya masuala yanayogusa usalama wao na hali zao za maisha kwa ujumla.

MBUNGE NI NANI?
Ni muhimu kukumbusha kuwa mbunge ni mwakilishi wa wananchi si msemaji wa chama tu. Mhe. Gwajima ametumia nafasi yake kama kiongozi wa kuchaguliwa kutekeleza wajibu huo kwa uaminifu na uthubutu. Hali ya kumnyoshea kidole mtu anapotekeleza wajibu wake wa msingi ni dalili ya mfumo unaokwepa kuwajibika mbele ya wananchi.

Tunapaswa kujiuliza: Kama kiongozi anayetetea wanyonge anapigwa vita, je, kweli tunasimamia maslahi ya Taifa au maslahi ya kundi dogo la watu wenye mamlaka? Ikiwa chama kinaamua kumtenga mtu kwa sababu ya kusimamia ukweli na kuwakilisha sauti ya watu, basi ni wazi kuwa chama hicho kinajiondoa kwenye misingi ya uwakilishi wa kidemokrasia.

GWAJIMA KAFANYA NINI?
Mhe. Gwajima amesimama kama raia kabla ya kuwa

JamiiForums

Gwajima ni mjumbe asiye sahihi mwenye ujumbe sahihi​

Jump to newSubscribe
•••
M

Matongee​

JF-Expert Member​

Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na mzinzi mwandamizi linalojipatia hela za wajinga kwa kufanya ufufuo feki. Ikumbukwe alishindwa kumfufua mama yake. Lakini pamoja na ushenzi alio nao kwenye siasa hadi nje ya siasa bado kwa ujumbe alioutoa tunaweza sema ni "WRONG MESSENGER WITH A RIGHT MESSAGE".

Ujumbe wake kuhusu utekaji ni sahihi kwa wakati tuliopo. Hakuna mtu asiyejua au kusikia upoteaji wa watu kiholela. Mimi binafsi ninapinga kuteka au kupoteza mtu yeyote. Awe mtanzania au sio mtanzania. Hakuna sheria ya nchi au ya Mungu inayoruhusu hilo. Kama waliopotea walikuwa na tuhuma za makosa wangefikishwa mahakamani na sio kuwapora haki yao ya kuishi. Naunga mkono 100% ujumbe wa Gwajima kuwa hili sio suala la kukalia kimya.

Niikumbushe CCM kuwa hili suala la Gwajima ni la kuchukulia serious maana limetoka miongoni mwao. Gwajima ni mtu wa ndani hivyo hatuwezi kumpuuza kama tunavyowapuuza kina @Erythrocyte na wafuasi wengine wa CHADEMA. Mimi nitasikiliza ujumbe wa mlevi akiniambia usinywe pombe kuliko mchungaji kwa sababu mlevi anajua kiundani madhara ya pombe. Gwajima tunamzingatia kwa sababu ndo mwenye access ya mambo mengi ya nchi kuliko hawa wanaharakati uchwara wa CHADEMA.

Kinachosikitisha ni kuwa wenye akili waliopo CCM wamekaa tu kimya huku chawa wakijibu ushuzi mtupu kuhusu tamko la Gwajima. Kawaida, Tarimba na Muro ni miongoni mwa akili ndogo zilizoongea upuuzi. Hapa JF kuna chawa @Tlaatlaah, @Lucas Mwashambwa, @Shotocan, @MamaSamia2025 na wengine wamejibu utumbo. Kimsingi chawa wameegemea kumtaja Mama na kukwepa kabisa kutamka kishujaa kuwa Gwajima anadanganya na kama ana ushahidi auweke hadharani. Chawa wana akili ila wanazitumia kulinda ulaji wao.

Tafadhali akili kubwa za CCM zikae chini zishughulikie suala la utekaji na kukomesha mara moja badala ya kuhangaika na tapeli la madhabahuni Gwajima.

Thanks Quote Reply
Report
0

004​

JF-Expert Member​

makubwa

CCM wajishughulikie kuhusu utekaji!

Thanks Quote Reply
Report
A

Ashura muddy​

New Member​

Click to expand...
KUSIMAMA NA SAUTI YA WANANCHI

Katika mazingira yoyote ya kidemokrasia, sauti ya mwananchi inabaki kuwa msingi wa utawala wa haki. Leo, tumeshuhudia matamshi na mwelekeo wa kisiasa unaolenga kumshambulia na hata kumtenga Mbunge wa Kawe, Mhe. Josephat Gwajima, kwa sababu ya ujasiri wake wa kusimama na kuwasemea wananchi juu ya masuala yanayogusa usalama wao na hali zao za maisha kwa ujumla.

MBUNGE NI NANI?
Ni muhimu kukumbusha kuwa mbunge ni mwakilishi wa wananchi si msemaji wa chama tu. Mhe. Gwajima ametumia nafasi yake kama kiongozi wa kuchaguliwa kutekeleza wajibu huo kwa uaminifu na uthubutu. Hali ya kumnyoshea kidole mtu anapotekeleza wajibu wake wa msingi ni dalili ya mfumo unaokwepa kuwajibika mbele ya wananchi.

Tunapaswa kujiuliza: Kama kiongozi anayetetea wanyonge anapigwa vita, je, kweli tunasimamia maslahi ya Taifa au maslahi ya kundi dogo la watu wenye mamlaka? Ikiwa chama kinaamua kumtenga mtu kwa sababu ya kusimamia ukweli na kuwakilisha sauti ya watu, basi ni wazi kuwa chama hicho kinajiondoa kwenye misingi ya uwakilishi wa kidemokrasia.

GWAJIMA KAFANYA NINI?
Mhe. Gwajima amesimama kama raia kabla ya kuwa mbunge. Ametumia jukwaa lake si kwa faida binafsi, bali kuzungumzia hofu, matumaini, na changamoto za Watanzania waliomchagua. Hili ni jambo la kupongezwa, si kulaaniwa.

Katika nyakati ambapo viongozi wa kweli wanaadhibiwa kwa kusema ukweli, historia huwaandikia kuwa mashujaa wa kesho. Leo tunashuhudia ujasiri wa mtu mmoja, lakini kesho historia itamkumbuka kama aliyechagua kusimama upande wa wananchi badala ya mfumo wa hofu na kimya.

Kwa msingi huo, tunamtia moyo Mhe. Gwajima kuendelea kuwa sauti ya wananchi, na tunatoa wito kwa taasisi za kisiasa kuheshimu nafasi ya wabunge kama wawakilishi huru wa wananchi si watumwa wa itikadi.

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Isco silva"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/740/740958.jpg?1748515675[/IMG]

Isco silva​

Member​

wewe Gwajima ni mjumbe sahihi tena ana hoja sahihi kabisa katika taifa letu
huyu mwamba ni mtu kabisa wa haki na anajuwa kile anachokizungumza tupate wapi mtu kama huyu hapa Tanzania

Thanks Quote Reply
Report
[IMG alt="Erythrocyte"]https://www.jamiiforums.com/data/avatars/m/109/109263.jpg?1413023651[/IMG]

Erythrocyte​

JF-Expert Member​

Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na mzinzi mwandamizi linalojipatia hela za wajinga kwa kufanya ufufuo feki. Ikumbukwe alishindwa kumfufua mama yake. Lakini pamoja na ushenzi alio nao kwenye siasa hadi nje ya siasa bado kwa ujumbe alioutoa tunaweza sema ni "WRONG MESSENGER WITH A RIGHT MESSAGE".

Ujumbe wake kuhusu utekaji ni sahihi kwa wakati tuliopo. Hakuna mtu asiyejua au kusikia upoteaji wa watu kiholela. Mimi binafsi ninapinga kuteka au kupoteza mtu yeyote. Awe mtanzania au sio mtanzania. Hakuna sheria ya nchi au ya Mungu inayoruhusu hilo. Kama waliopotea walikuwa na tuhuma za makosa wangefikishwa mahakamani na sio kuwapora haki yao ya kuishi. Naunga mkono 100% ujumbe wa Gwajima kuwa hili sio suala la kukalia kimya.

Niikumbushe CCM kuwa hili suala la Gwajima ni la kuchukulia serious maana limetoka miongoni mwao. Gwajima ni mtu wa ndani hivyo hatuwezi kumpuuza kama tunavyowapuuza kina @Erythrocyte na wafuasi wengine wa CHADEMA. Mimi nitasikiliza ujumbe wa mlevi akiniambia usinywe pombe kuliko mchungaji kwa sababu mlevi anajua kiundani madhara ya pombe. Gwajima tunamzingatia kwa sababu ndo mwenye access ya mambo mengi ya nchi kuliko hawa wanaharakati uchwara wa CHADEMA.

Kinachosikitisha ni kuwa wenye akili waliopo CCM wamekaa tu kimya huku chawa wakijibu ushuzi mtupu kuhusu tamko la Gwajima. Kawaida, Tarimba na Muro ni miongoni mwa akili ndogo zilizoongea upuuzi. Hapa JF kuna chawa @Tlaatlaah, @Lucas Mwashambwa, @Shotocan, @MamaSamia2025 na wengine wamejibu utumbo. Kimsingi chawa wameegemea kumtaja Mama na kukwepa kabisa kutamka kishujaa kuwa Gwajima anadanganya na kama ana ushahidi auweke hadharani. Chawa wana akili ila wanazitumia kulinda ulaji wao.

Tafadhali akili kubwa za CCM zikae chini zishughulikie suala la utekaji na kukomesha mara moja badala ya kuhangaika na tapeli la madhabahuni Gwajima.
Click to expand...
Kunitaja mimi ulilenga kutuma ujumbe gani kwa nani ili iweje?

Thanks Quote Reply
Report
S

Son of Nuni​

New Member​

Ujumbe huu unaona wewe tu, unasubiri kupitiwa na moderators ili uonekane kwa umma!
Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na mzinzi mwandamizi linalojipatia hela za wajinga kwa kufanya ufufuo feki. Ikumbukwe alishindwa kumfufua mama yake. Lakini pamoja na ushenzi alio nao kwenye siasa hadi nje ya siasa bado kwa ujumbe alioutoa tunaweza sema ni "WRONG MESSENGER WITH A RIGHT MESSAGE".

Ujumbe wake kuhusu utekaji ni sahihi kwa wakati tuliopo. Hakuna mtu asiyejua au kusikia upoteaji wa watu kiholela. Mimi binafsi ninapinga kuteka au kupoteza mtu yeyote. Awe mtanzania au sio mtanzania. Hakuna sheria ya nchi au ya Mungu inayoruhusu hilo. Kama waliopotea walikuwa na tuhuma za makosa wangefikishwa mahakamani na sio kuwapora haki yao ya kuishi. Naunga mkono 100% ujumbe wa Gwajima kuwa hili sio suala la kukalia kimya.

Niikumbushe CCM kuwa hili suala la Gwajima ni la kuchukulia serious maana limetoka miongoni mwao. Gwajima ni mtu wa ndani hivyo hatuwezi kumpuuza kama tunavyowapuuza kina @Erythrocyte na wafuasi wengine wa CHADEMA. Mimi nitasikiliza ujumbe wa mlevi akiniambia usinywe pombe kuliko mchungaji kwa sababu mlevi anajua kiundani madhara ya pombe. Gwajima tunamzingatia kwa sababu ndo mwenye access ya mambo mengi ya nchi kuliko hawa wanaharakati uchwara wa CHADEMA.

Kinachosikitisha ni kuwa wenye akili waliopo CCM wamekaa tu kimya huku chawa wakijibu ushuzi mtupu kuhusu tamko la Gwajima. Kawaida, Tarimba na Muro ni miongoni mwa akili ndogo zilizoongea upuuzi. Hapa JF kuna chawa @Tlaatlaah, @Lucas Mwashambwa, @Shotocan, @MamaSamia2025 na wengine wamejibu utumbo. Kimsingi chawa wameegemea kumtaja Mama na kukwepa kabisa kutamka kishujaa kuwa Gwajima anadanganya na kama ana ushahidi auweke hadharani. Chawa wana akili ila wanazitumia kulinda ulaji wao.

Tafadhali akili kubwa za CCM zikae chini zishughulikie suala la utekaji na kukomesha mara moja badala ya kuhangaika na tapeli la madhabahuni Gwajima.
Click to expand...
Nilitenga muda wangu kufatilia ulichokiandika sasahivi najilaumu kuutumia muda wangu vibaya najuta ni afadhali ningeutumia muda huo kulala kuliko kusoma utumbo, na ujinga uliouandika hapa.
Hoja yako ya kwanza: wrong messenger right messege,kwa sababu wewe ni mpuuzi nianze kwa kukubalia kua mtoa ujumbe sio mtu sahihi ili usijione mjinga sana. Ikiwa ni hivo shida ipo wapi kwa sasa watanzania tunahitaji mtu mwenye sauti ya kutetea uma wa watanzania kwenye hili swala la utekaji maana kila mtu amenyamaza ukiwepo wewe hapo umekaa unanyonyesha makalio unasubiri mwanaume aseme ndio upate cha kuongea ulikua wapi kuongea kabla gwajima hajaongea utetee wananchi?
Pili si kweli kwamba gwajima si mtu sahihi ni wewe unamuona si mtu sahihi kwa sababu umeanza kumjua jana watu wanaomjua gwajima toka zamani wanatambua ni mtu ASIYEPINDA AMENYOOKA KUZIDI RULA. MAGUFULI AMEMPENDA NA KUMPA NAFASI YA KUGOMBEA UBUNGE KWA SABABU NI MKWELI KUPITILIZA NA AMENYOOKA SANA ALIMNYOOSHA MAGUFULI MWENYEWE NA BASHITE WAKE NA HIO NDIO SABABU YA MAGUFULI KUMKUBALI. SIO GWAJIMA ALIEMFATA MAGUFULI BALI NI MAGUFULI NDIE ALIEMUHITAJI GWAJIMA. KAA KWA KUTULIA WEWE PONJORO WA JF.
. Ametumia jukwaa lake si kwa faida binafsi, bali kuzungumzia hofu, matumaini, na changamoto za Watanzania waliomchagua. Hili ni jambo la kupongezwa, si kulaaniwa.

Katika nyakati ambapo viongozi wa kweli wanaadhibiwa kwa kusema ukweli, historia huwaandikia kuwa mashujaa wa kesho. Leo tunashuhudia ujasiri wa mtu mmoja, lakini kesho historia itamkumbuka kama aliyechagua kusimama upande wa wananchi badala ya mfumo wa hofu na kimya.

Kwa msingi huo, tunamtia moyo Mhe. Gwajima kuendelea kuwa sauti ya wananchi, na tunatoa wito kwa taasisi za kisiasa kuheshimu nafasi ya wabunge kama wawakilishi huru wa wananchi si watumwa wa itikadi.
 
Kwa tulipofikia sasa,hata shetani akijitokeza kupambana na dhulma na ukatili unaofanywa na watawala tutampa full support,njia pekee ya kumtenganisha gwajima na wananchi ni nyie sisiemu acheni kuteka na nmrudishe mliowachukua waungane na familia zao
 
Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na mzinzi mwandamizi linalojipatia hela za wajinga kwa kufanya ufufuo feki. Ikumbukwe alishindwa kumfufua mama yake. Lakini pamoja na ushenzi alio nao kwenye siasa hadi nje ya siasa bado kwa ujumbe alioutoa tunaweza sema ni "WRONG MESSENGER WITH A RIGHT MESSAGE".

Ujumbe wake kuhusu utekaji ni sahihi kwa wakati tuliopo. Hakuna mtu asiyejua au kusikia upoteaji wa watu kiholela. Mimi binafsi ninapinga kuteka au kupoteza mtu yeyote. Awe mtanzania au sio mtanzania. Hakuna sheria ya nchi au ya Mungu inayoruhusu hilo. Kama waliopotea walikuwa na tuhuma za makosa wangefikishwa mahakamani na sio kuwapora haki yao ya kuishi. Naunga mkono 100% ujumbe wa Gwajima kuwa hili sio suala la kukalia kimya.

Niikumbushe CCM kuwa hili suala la Gwajima ni la kuchukulia serious maana limetoka miongoni mwao. Gwajima ni mtu wa ndani hivyo hatuwezi kumpuuza kama tunavyowapuuza kina @Erythrocyte na wafuasi wengine wa CHADEMA. Mimi nitasikiliza ujumbe wa mlevi akiniambia usinywe pombe kuliko mchungaji kwa sababu mlevi anajua kiundani madhara ya pombe. Gwajima tunamzingatia kwa sababu ndo mwenye access ya mambo mengi ya nchi kuliko hawa wanaharakati uchwara wa CHADEMA.

Kinachosikitisha ni kuwa wenye akili waliopo CCM wamekaa tu kimya huku chawa wakijibu ushuzi mtupu kuhusu tamko la Gwajima. Kawaida, Tarimba na Muro ni miongoni mwa akili ndogo zilizoongea upuuzi. Hapa JF kuna chawa @Tlaatlaah, @Lucas Mwashambwa, @Shotocan, @MamaSamia2025 na wengine wamejibu utumbo. Kimsingi chawa wameegemea kumtaja Mama na kukwepa kabisa kutamka kishujaa kuwa Gwajima anadanganya na kama ana ushahidi auweke hadharani. Chawa wana akili ila wanazitumia kulinda ulaji wao.

Tafadhali akili kubwa za CCM zikae chini zishughulikie suala la utekaji na kukomesha mara moja badala ya kuhangaika na tapeli la madhabahuni Gwajima.
Click to expand...
Nilitenga muda wangu kufatilia ulichokiandika sasahivi najilaumu kuutumia muda wangu vibaya najuta ni afadhali ningeutumia muda huo kulala kuliko kusoma utumbo, na ujinga uliouandika hapa.

Hoja yako ya kwanza: wrong messenger right messege,kwa sababu wewe ni mpuuzi nianze kwa kukubalia kua mtoa ujumbe sio mtu sahihi ili usijione mjinga sana. Ikiwa ni hivo shida ipo wapi kwa sasa watanzania tunahitaji mtu mwenye sauti ya kutetea uma wa watanzania kwenye hili swala la utekaji maana kila mtu amenyamaza ukiwepo wewe hapo umekaa unanyonyesha makalio unasubiri mwanaume aseme ndio upate cha kuongea ulikua wapi kuongea kabla gwajima hajaongea utetee wananchi?

Pili si kweli kwamba gwajima si mtu sahihi ni wewe unamuona si mtu sahihi kwa sababu umeanza kumjua jana watu wanaomjua gwajima toka zamani wanatambua ni mtu ASIYEPINDA AMENYOOKA KUZIDI RULA.

MAGUFULI AMEMPENDA NA KUMPA NAFASI YA KUGOMBEA UBUNGE KWA SABABU NI MKWELI KUPITILIZA NA AMENYOOKA SANA ALIMNYOOSHA MAGUFULI MWENYEWE NA BASHITE WAKE NA HIO NDIO SABABU YA MAGUFULI KUMKUBALI.

SIO GWAJIMA ALIEMFATA MAGUFULI BALI NI MAGUFULI NDIE ALIEMUHITAJI GWAJIMA. KAA KWA KUTULIA WEWE PONJORO WA JF.
 
Hizoi ni mbinu zake za maisha ili kufanikiwa, nawe tafuta za kwako. Napenda anavyocheza na kale kausemi ka kizungu kuwa "life is a game" angalia alivyoibuka kishujaa na kuwasemea Watanzania wanachotaka. Big up Gwagima! May the Lord bless you.
 
Nilitenga muda wangu kufatilia ulichokiandika sasahivi najilaumu kuutumia muda wangu vibaya najuta ni afadhali ningeutumia muda huo kulala kuliko kusoma utumbo, na ujinga uliouandika hapa.
Hoja yako ya kwanza: wrong messenger right messege,kwa sababu wewe ni mpuuzi nianze kwa kukubalia kua mtoa ujumbe sio mtu sahihi ili usijione mjinga sana. Ikiwa ni hivo shida ipo wapi kwa sasa watanzania tunahitaji mtu mwenye sauti ya kutetea uma wa watanzania kwenye hili swala la utekaji maana kila mtu amenyamaza ukiwepo wewe hapo umekaa unanyonyesha makalio unasubiri mwanaume aseme ndio upate cha kuongea ulikua wapi kuongea kabla gwajima hajaongea utetee wananchi?
Pili si kweli kwamba gwajima si mtu sahihi ni wewe unamuona si mtu sahihi kwa sababu umeanza kumjua jana watu wanaomjua gwajima toka zamani wanatambua ni mtu ASIYEPINDA AMENYOOKA KUZIDI RULA. MAGUFULI AMEMPENDA NA KUMPA NAFASI YA KUGOMBEA UBUNGE KWA SABABU NI MKWELI KUPITILIZA NA AMENYOOKA SANA ALIMNYOOSHA MAGUFULI MWENYEWE NA BASHITE WAKE NA HIO NDIO SABABU YA MAGUFULI KUMKUBALI. SIO GWAJIMA ALIEMFATA MAGUFULI BALI NI MAGUFULI NDIE ALIEMUHITAJI GWAJIMA. KAA KWA KUTULIA WEWE PONJORO WA JF.
View attachment 3353617
Nadhani utumbo huambatana na uharo. Umesahau kidogo kumwambia.
 
Asemaye kweli ameitendea nafsi yake haki na yupo upande sahihi na aliyechagua kuwa chawa ameamua kuwa upande wa ibilisi
 
Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na mzinzi mwandamizi linalojipatia hela za wajinga kwa kufanya ufufuo feki. Ikumbukwe alishindwa kumfufua mama yake. Lakini pamoja na ushenzi alio nao kwenye siasa hadi nje ya siasa bado kwa ujumbe alioutoa tunaweza sema ni "WRONG MESSENGER WITH A RIGHT MESSAGE".

Ujumbe wake kuhusu utekaji ni sahihi kwa wakati tuliopo. Hakuna mtu asiyejua au kusikia upoteaji wa watu kiholela. Mimi binafsi ninapinga kuteka au kupoteza mtu yeyote. Awe mtanzania au sio mtanzania. Hakuna sheria ya nchi au ya Mungu inayoruhusu hilo. Kama waliopotea walikuwa na tuhuma za makosa wangefikishwa mahakamani na sio kuwapora haki yao ya kuishi. Naunga mkono 100% ujumbe wa Gwajima kuwa hili sio suala la kukalia kimya.

Niikumbushe CCM kuwa hili suala la Gwajima ni la kuchukulia serious maana limetoka miongoni mwao. Gwajima ni mtu wa ndani hivyo hatuwezi kumpuuza kama tunavyowapuuza kina Erythrocyte na wafuasi wengine wa CHADEMA. Mimi nitasikiliza ujumbe wa mlevi akiniambia usinywe pombe kuliko mchungaji kwa sababu mlevi anajua kiundani madhara ya pombe. Gwajima tunamzingatia kwa sababu ndo mwenye access ya mambo mengi ya nchi kuliko hawa wanaharakati uchwara wa CHADEMA.

Kinachosikitisha ni kuwa wenye akili waliopo CCM wamekaa tu kimya huku chawa wakijibu ushuzi mtupu kuhusu tamko la Gwajima. Kawaida, Tarimba na Muro ni miongoni mwa akili ndogo zilizoongea upuuzi. Hapa JF kuna chawa Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, Shotocan, MamaSamia2025 na wengine wamejibu utumbo. Kimsingi chawa wameegemea kumtaja Mama na kukwepa kabisa kutamka kishujaa kuwa Gwajima anadanganya na kama ana ushahidi auweke hadharani. Chawa wana akili ila wanazitumia kulinda ulaji wao.

Tafadhali akili kubwa za CCM zikae chini zishughulikie suala la utekaji na kukomesha mara moja badala ya kuhangaika na tapeli la madhabahuni Gwajima.
gwajima ni mjumbe na wakala wa shetani gentleman :NoGodNo:
 
Anaweza kuwa anafanya mabaya kwenye macho yako ama ya kibinadamu. Ila kwa Mungu kwake anaona ya sirini. Kwenye hili sitashangaa Mungu kumteua Gwajima.

Watu tunaomba sana Mungu fanya jambo, imetokea mmoja kaamua kuvunja ukimya, wa hofu uoga wa wengi. Kasema kwa uwazi kuhusu kuteka na kuuwa. Mbona wewe unayejiona ni bora kuliko Gwajima, hukusimama na kusemea hili?
 
Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na mzinzi mwandamizi linalojipatia hela za wajinga kwa kufanya ufufuo feki. Ikumbukwe alishindwa kumfufua mama yake. Lakini pamoja na ushenzi alio nao kwenye siasa hadi nje ya siasa bado kwa ujumbe alioutoa tunaweza sema ni "WRONG MESSENGER WITH A RIGHT MESSAGE".

Ujumbe wake kuhusu utekaji ni sahihi kwa wakati tuliopo. Hakuna mtu asiyejua au kusikia upoteaji wa watu kiholela. Mimi binafsi ninapinga kuteka au kupoteza mtu yeyote. Awe mtanzania au sio mtanzania. Hakuna sheria ya nchi au ya Mungu inayoruhusu hilo. Kama waliopotea walikuwa na tuhuma za makosa wangefikishwa mahakamani na sio kuwapora haki yao ya kuishi. Naunga mkono 100% ujumbe wa Gwajima kuwa hili sio suala la kukalia kimya.

Niikumbushe CCM kuwa hili suala la Gwajima ni la kuchukulia serious maana limetoka miongoni mwao. Gwajima ni mtu wa ndani hivyo hatuwezi kumpuuza kama tunavyowapuuza kina Erythrocyte na wafuasi wengine wa CHADEMA. Mimi nitasikiliza ujumbe wa mlevi akiniambia usinywe pombe kuliko mchungaji kwa sababu mlevi anajua kiundani madhara ya pombe. Gwajima tunamzingatia kwa sababu ndo mwenye access ya mambo mengi ya nchi kuliko hawa wanaharakati uchwara wa CHADEMA.

Kinachosikitisha ni kuwa wenye akili waliopo CCM wamekaa tu kimya huku chawa wakijibu ushuzi mtupu kuhusu tamko la Gwajima. Kawaida, Tarimba na Muro ni miongoni mwa akili ndogo zilizoongea upuuzi. Hapa JF kuna chawa Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, Shotocan, MamaSamia2025 na wengine wamejibu utumbo. Kimsingi chawa wameegemea kumtaja Mama na kukwepa kabisa kutamka kishujaa kuwa Gwajima anadanganya na kama ana ushahidi auweke hadharani. Chawa wana akili ila wanazitumia kulinda ulaji wao.

Tafadhali akili kubwa za CCM zikae chini zishughulikie suala la utekaji na kukomesha mara moja badala ya kuhangaika na tapeli la madhabahuni Gwajima.

Jibuni hoja

Kwa hayo maoni yako means unakubaliana na Tanzania kuwa taifa la kuteka watu

Au taifa la.mtu akiongea kitu kuhusu serikali kupotezwa
 
Haya wewe mjumbe sahihi nenda kasema kuhusu utekaji askofu kaongea ukweli kama imekuuma sana kwa askofu kusema kuhusu utekaji basi utaumia sana ila ukwemi kashasema na ataendelea kusema
 
Back
Top Bottom