Gwajima ni mjumbe asiye sahihi mwenye ujumbe sahihi

Ila Gwajima alishanusa nusa unyanganywaji wa jimbo lake ndio maana ya kufanya haya anayoyafanya, Angekuwa na uhakika wa kuchukua jimbo lake nina hakika kwa unafiki wa wanasiasa asingeyaongea haya
 
Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na mzinzi mwandamizi linalojipatia hela za wajinga kwa kufanya ufufuo feki. Ikumbukwe alishindwa kumfufua mama yake. Lakini pamoja na ushenzi alio nao kwenye siasa hadi nje ya siasa bado kwa ujumbe alioutoa tunaweza sema ni "WRONG MESSENGER WITH A RIGHT MESSAGE".

Ujumbe wake kuhusu utekaji ni sahihi kwa wakati tuliopo. Hakuna mtu asiyejua au kusikia upoteaji wa watu kiholela. Mimi binafsi ninapinga kuteka au kupoteza mtu yeyote. Awe mtanzania au sio mtanzania. Hakuna sheria ya nchi au ya Mungu inayoruhusu hilo. Kama waliopotea walikuwa na tuhuma za makosa wangefikishwa mahakamani na sio kuwapora haki yao ya kuishi. Naunga mkono 100% ujumbe wa Gwajima kuwa hili sio suala la kukalia kimya.

Niikumbushe CCM kuwa hili suala la Gwajima ni la kuchukulia serious maana limetoka miongoni mwao. Gwajima ni mtu wa ndani hivyo hatuwezi kumpuuza kama tunavyowapuuza kina Erythrocyte na wafuasi wengine wa CHADEMA. Mimi nitasikiliza ujumbe wa mlevi akiniambia usinywe pombe kuliko mchungaji kwa sababu mlevi anajua kiundani madhara ya pombe. Gwajima tunamzingatia kwa sababu ndo mwenye access ya mambo mengi ya nchi kuliko hawa wanaharakati uchwara wa CHADEMA.

Kinachosikitisha ni kuwa wenye akili waliopo CCM wamekaa tu kimya huku chawa wakijibu ushuzi mtupu kuhusu tamko la Gwajima. Kawaida, Tarimba na Muro ni miongoni mwa akili ndogo zilizoongea upuuzi. Hapa JF kuna chawa Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, Shotocan, MamaSamia2025 na wengine wamejibu utumbo. Kimsingi chawa wameegemea kumtaja Mama na kukwepa kabisa kutamka kishujaa kuwa Gwajima anadanganya na kama ana ushahidi auweke hadharani. Chawa wana akili ila wanazitumia kulinda ulaji wao.

Tafadhali akili kubwa za CCM zikae chini zishughulikie suala la utekaji na kukomesha mara moja badala ya kuhangaika na tapeli la madhabahuni Gwajima.
Chawa ni mamako mzazi.
 
Tuachane na hayo yooote uliyoyasema kikubwa tujue kuna utekaji na uuaji na unaendelea sasa sifa ya Akili kubwa huwa inagundua mapema na kuchukua hatua,CCM usiwasingizie na kuwavisha kofia ya Akili kubwa ambayo hawana ndio maana nchi inayumba na mauaji yanaendelea na ww mwandishi unaesema CCM Wana Akili ww tu huoni sasa CCM wataona kweli?
 
Huwezi kuwataja matapeli papa ya madhabahuni kama Mwamposa, Tony, GeorDavie, Mwamakula, Kuhani Musa, Malisa, Bagonza, na Suguye bila kumtaja tapeli papa Gwajima. Huyu ni tapeli la madhabahuni na mzinzi mwandamizi linalojipatia hela za wajinga kwa kufanya ufufuo feki. Ikumbukwe alishindwa kumfufua mama yake. Lakini pamoja na ushenzi alio nao kwenye siasa hadi nje ya siasa bado kwa ujumbe alioutoa tunaweza sema ni "WRONG MESSENGER WITH A RIGHT MESSAGE".

Ujumbe wake kuhusu utekaji ni sahihi kwa wakati tuliopo. Hakuna mtu asiyejua au kusikia upoteaji wa watu kiholela. Mimi binafsi ninapinga kuteka au kupoteza mtu yeyote. Awe mtanzania au sio mtanzania. Hakuna sheria ya nchi au ya Mungu inayoruhusu hilo. Kama waliopotea walikuwa na tuhuma za makosa wangefikishwa mahakamani na sio kuwapora haki yao ya kuishi. Naunga mkono 100% ujumbe wa Gwajima kuwa hili sio suala la kukalia kimya.

Niikumbushe CCM kuwa hili suala la Gwajima ni la kuchukulia serious maana limetoka miongoni mwao. Gwajima ni mtu wa ndani hivyo hatuwezi kumpuuza kama tunavyowapuuza kina Erythrocyte na wafuasi wengine wa CHADEMA. Mimi nitasikiliza ujumbe wa mlevi akiniambia usinywe pombe kuliko mchungaji kwa sababu mlevi anajua kiundani madhara ya pombe. Gwajima tunamzingatia kwa sababu ndo mwenye access ya mambo mengi ya nchi kuliko hawa wanaharakati uchwara wa CHADEMA.

Kinachosikitisha ni kuwa wenye akili waliopo CCM wamekaa tu kimya huku chawa wakijibu ushuzi mtupu kuhusu tamko la Gwajima. Kawaida, Tarimba na Muro ni miongoni mwa akili ndogo zilizoongea upuuzi. Hapa JF kuna chawa Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa, Shotocan, MamaSamia2025 na wengine wamejibu utumbo. Kimsingi chawa wameegemea kumtaja Mama na kukwepa kabisa kutamka kishujaa kuwa Gwajima anadanganya na kama ana ushahidi auweke hadharani. Chawa wana akili ila wanazitumia kulinda ulaji wao.

Tafadhali akili kubwa za CCM zikae chini zishughulikie suala la utekaji na kukomesha mara moja badala ya kuhangaika na tapeli la madhabahuni Gwajima.
Teheeee eti washughulikie , waache waendelee na walichozoea wameanza kulana wenyewe
 
Back
Top Bottom