Gwajima ni mjumbe asiye sahihi mwenye ujumbe sahihi

Ila Gwajima alishanusa nusa unyanganywaji wa jimbo lake ndio maana ya kufanya haya anayoyafanya, Angekuwa na uhakika wa kuchukua jimbo lake nina hakika kwa unafiki wa wanasiasa asingeyaongea haya
 
Mmanisaidie kujua tofauti ya ccm na interahamwe
 
Chawa ni mamako mzazi.
 
Tuachane na hayo yooote uliyoyasema kikubwa tujue kuna utekaji na uuaji na unaendelea sasa sifa ya Akili kubwa huwa inagundua mapema na kuchukua hatua,CCM usiwasingizie na kuwavisha kofia ya Akili kubwa ambayo hawana ndio maana nchi inayumba na mauaji yanaendelea na ww mwandishi unaesema CCM Wana Akili ww tu huoni sasa CCM wataona kweli?
 
Teheeee eti washughulikie , waache waendelee na walichozoea wameanza kulana wenyewe
 
Ulivyoandika tu umejidhihirisha kuwa wewe ni kenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…