Gwajima sababu ya kanisa kufutwa ulishaelezwa, usitafute sympathy haitakusaidia nenda mahakamani kapambane

Gwajima sababu ya kanisa kufutwa ulishaelezwa, usitafute sympathy haitakusaidia nenda mahakamani kapambane

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,873
Reaction score
15,267
Friends and our enemies

Gwajima ameshabaini kuwa hatoboi,kanisa limefutwa na sababu za kufutwa ziko wazi...

Anajua fika anachokifanya,nacho ni kutafuta sympathy kwa wenzake na wana kondoo wake ili ionekane kuwa sababu ya kufutwa kanisa eti ni kukemea utekaji,huo ni upuuzi gwajima.

Viongozi wengi wa dini wa dini wakiwamo maaskofu wamekemea utekaji na hawajafanywa chochote,wewe ulichokifanya unakifaham na ndiyo maana ukatafuta bush laywer akutetee mahakamani.

Nenda kakate rufaa kwa waziri wa mambo ya ndani,hutaki rudi mbeya kalime parachichi.

Biashara ya kuokota sadaka kwa utaratibu huo unaotaka wewe basi itakuwa imeshajifia,kwani huwezi kubishana na dola.

Chochote utachofanya huwezi fanikiwa,dola haiyumbishwi na vilio vyako na hii siyo nchi ya kuendeshwa na udini kama huo.

KANISA LIMEFUTWA TAFUTA BIASHARA NYINGINE.

UKIJIFANYA NUNDA NENDA UONE MAMLAKA YA DOLA IKOJE,HUWEZI KUJA MBELE YA VYOMBO VYA HABARI NA USEME UTEKAJI UNA BARAKA YA MAMLAKA YA JUU TENA BILA USHAHIDI KISHA UACHWE UKIENDELEA KUTOA MAHUBIRI YA CHUKI KANISANI.
 
Siasa ni mchezo wa ku-win Sympathy kwa jamii ya watumwa inayotumika, kwahiyo yuko sawa...
Hatoboi..

CCM kawekwa kando,kanisa limefutwa na upinzani hatakiwi...akienda huko ni kifo cha moja kwa moja kwa upinzani wenyewe.
 
Wewe unae juwa tofauti na alichoongea kabla siku ya kufungiwa tuambie,maana ponjoro alikasirika mtoto wa mfalme kutolewa mfano kutekwa ,wakati watoto wa nyerere waliingia front kwenye vita halisi,riziwani alikwapuliwa china ,iweje abdul kutolewafano iwe nongwa
 
Go_wtOSWUAAASU6.jpeg
 
Kwanza yuko wapi..!?
Anazungumzia you tube,nadhani itakuwa walipanga mpango wao.vibaya...

Mara ajishikize kwa free lisu,sasa ameshindwa kaacha,kaja sasa eti kwenye reforms,yeye mwana ccm anataka reforms kwa niaba ya chadema na hapo hapo analilia kanisa lake...

TAABANI HAPO...BIASHARA ISHAKWISHA HIYOOO GWAJIMA,BIASHARA YA KUIBIA WANAKONDOO SADAKA IMESHAISHA
 
Ndugu yangu tanzania kuna mahakama?Mahakama zpo kwajili ya wezi wakuku na vitu vidogo vidogo.kesi km hzo za gwajima ni maelekezo toka juu jaji anapewa.rostam kashawahi kusema na pia mama amekiri katiba ni makaratasi tu kwamana hyo sheria haina kazi kwa madoni.
 
Maponjoro bwana! Gwajima asingeongelea utekaji kanisa lake lingeguswa? Eti ameingiza siasa kanisani hawatumii akili hata kidogo badala watumie hoja kujibu watu wao wanatumia nguvu. Ungetueleza sababu ya kanisa la gwajiboy kufutwa
 
GWAJI boy peleka moto mpk wapagawe. Machawa KAZI mnayo kumtetea chura a.k.a Dalali.
 
Ndugu yangu tanzania kuna mahakama?Mahakama zpo kwajili ya wezi wakuku na vitu vidogo vidogo.kesi km hzo za gwajima ni maelekezo toka juu jaji anapewa.rostam kashawahi kusema na pia mama amekiri katiba ni makaratasi tu kwamana hyo sheria haina kazi kwa madoni.
lisu yuko mahakamani na anaridhika na maamuz ya hakimu juu yake,mahakama zipo inategemea unataka kupigania haki gani.
 
Back
Top Bottom