Gwajima sababu ya kanisa kufutwa ulishaelezwa, usitafute sympathy haitakusaidia nenda mahakamani kapambane

Gwajima sababu ya kanisa kufutwa ulishaelezwa, usitafute sympathy haitakusaidia nenda mahakamani kapambane

Friends and our enemies

Gwajima ameshabaini kuwa hatoboi,kanisa limefutwa na sababu za kufutwa ziko wazi...

Anajua fika anachokifanya,nacho ni kutafuta sympathy kwa wenzake na wana kondoo wake ili ionekane kuwa sababu ya kufutwa kanisa eti ni kukemea utekaji,huo ni upuuzi gwajima.

Viongozi wengi wa dini wa dini wakiwamo maaskofu wamekemea utekaji na hawajafanywa chochote,wewe ulichokifanya unakifaham na ndiyo maana ukatafuta bush laywer akutetee mahakamani.

Nenda kakate rufaa kwa waziri wa mambo ya ndani,hutaki rudi mbeya kalime parachichi.

Biashara ya kuokota sadaka kwa utaratibu huo unaotaka wewe basi itakuwa imeshajifia,kwani huwezi kubishana na dola.

Chochote utachofanya huwezi fanikiwa,dola haiyumbishwi na vilio vyako na hii siyo nchi ya kuendeshwa na udini kama huo.

KANISA LIMEFUTWA TAFUTA BIASHARA NYINGINE.

UKIJIFANYA NUNDA NENDA UONE MAMLAKA YA DOLA IKOJE,HUWEZI KUJA MBELE YA VYOMBO VYA HABARI NA USEME UTEKAJI UNA BARAKA YA MAMLAKA YA JUU TENA BILA USHAHIDI KISHA UACHWE UKIENDELEA KUTOA MAHUBIRI YA CHUKI KANISANI.
Nchi ina watu wengi sana wajinga wajinga hii na wewe ni mmoja wapo!? Mahakama zipi sasa aende?
Hizi zinazofanya maamuzi kwa maelekezo ya waliojuu? Hizi mahakama zinazolosea mpaka BARUA?
Unaishi nchi gani wewe
 
Kwa nchi yetu kwenye Siasa lolote linawezekana ila siyo kuishinda CCM kwa kura...
Sasa wewe kwa akili zako,unaweza chukua nchi ukawapa chadema eti lisu awe Rais na heche awe makamu wake.?

Aaah acha masihara wewe.
 
Mahakama hizi hizi za mlalamikaji kondoo kwenda kushitaki kwa hakimu simba kwamba kondoo wanaliwa na chui?
 
lisu yuko mahakamani na anaridhika na maamuz ya hakimu juu yake,mahakama zipo inategemea unataka kupigania haki gani.
marangapi lisu kulalamika?mahakama haitendi haki ingekuxa inatenda haki kesi ya lisu ingeshaisha
 
Nchi ina watu wengi sana wajinga wajinga hii na wewe ni mmoja wapo!? Mahakama zipi sasa aende?
Hizi zinazofanya maamuzi kwa maelekezo ya waliojuu? Hizi mahakama zinazolosea mpaka BARUA?
Unaishi nchi gani wewe
Sasa utaenda wapi,mahakama za wapi kenya au?

Mahakama ziko poa tuh,shida wewe unataka ikupe haki upande wako tuh
 
marangapi lisu kulalamika?mahakama haitendi haki ingekuxa inatenda haki kesi ya lisu ingeshaisha
Atafute mawakili wa maana wamtetee...we si umeona mwenyewe kawakataa na kuamua kujitetea mwenyewe?
 
Sasa wewe kwa akili zako,unaweza chukua nchi ukawapa chadema eti lisu awe Rais na heche awe makamu wake.?

Aaah acha masihara wewe.
Kwani tofauti na waliopo iko wapi??...
we unadhani Lissu akiwa rais anaweza akasema kuwa watanganyika tusilalamike sana kuhusu bei ya mafuta maana bei Tanzania ni ndogo kuliko Marekani?
 
Siku akitokea mtu wa hovyo kama huyu mnaye msapoti then akaanza kufunga misikiti yenu, akili itawarudia
 
Sasa utaenda wapi,mahakama za wapi kenya au?

Mahakama ziko poa tuh,shida wewe unataka ikupe haki upande wako tuh
Unajua maana ya haki lakini!
Kati ya haki na Amani kipi unakipendq wewe?
Nani anamiliki mahakama za Tanzania?
Nani aliamuru makanisa ya Gwajima yab9molewe ?
Nani aliyeamuru mzee kibao auwawe?
Nani aliyeamuru ???
 
Anazungumzia you tube,nadhani itakuwa walipanga mpango wao.vibaya...

Mara ajishikize kwa free lisu,sasa ameshindwa kaacha,kaja sasa eti kwenye reforms,yeye mwana ccm anataka reforms kwa niaba ya chadema na hapo hapo analilia kanisa lake...

TAABANI HAPO...BIASHARA ISHAKWISHA HIYOOO GWAJIMA,BIASHARA YA KUIBIA WANAKONDOO SADAKA IMESHAISHA
Atakuja Raisi mwenye akili atafungulia na kumlipa kwa usumbufu wote uliojitokeza kwa akili ya kijinga toka kwa Idd Amini Mama
 
Atakuja Raisi mwenye akili atafungulia na kumlipa kwa usumbufu wote uliojitokeza kwa akili ya kijinga toka kwa Idd Amini Mama
Halijafutwa na Rais,limefutwa kwa kukiuka taratibu za kuanzishwa kwake.
 
Ndo nimekuuliza tofauti ya waliopo na hao akina Lissu iko wapi?
Hawa waliopo kuna kitu kipi kipya cha kipekee walichokifanya ambacho akina Lissu hawawezi?
Hawana tofauti,wote ni wanasiasa...

Hao wanaotaka wawe mbadala wana njaa kuliko hawa waliopo na hawana utayari wa kuongoza nchi,wako disorganized
 
Hueleweki unafurahi kitu gani.
1.Gwajima kufungiwa kanisa??
2.Gwajima kukosa sadaka, ulaji - (Roho ya kimaskini hii)?
3.Gwajima kakomeshwa?
4.Gwajima alikosea aliyosema hivyo ana-haki ya kufungiwa kanisa?
Nini hasa unachotaka kusema au kinachokulalamisha??
 
Nafufahia anguko lake,sababu mtu kama gwajima hana tofauti na kibwetere
 
Back
Top Bottom