Gwajima sababu ya kanisa kufutwa ulishaelezwa, usitafute sympathy haitakusaidia nenda mahakamani kapambane

Friends and our enemies

Gwajima ameshabaini kuwa hatoboi,kanisa limefutwa na sababu za kufutwa ziko wazi...

Anajua fika anachokifanya,nacho ni kutafuta sympathy kwa wenzake na wana kondoo wake ili ionekane kuwa sababu ya kufutwa kanisa eti ni kukemea utekaji,huo ni upuuzi gwajima.

Viongozi wengi wa dini wa dini wakiwamo maaskofu wamekemea utekaji na hawajafanywa chochote,wewe ulichokifanya unakifaham na ndiyo maana ukatafuta bush laywer akutetee mahakamani.

Nenda kakate rufaa kwa waziri wa mambo ya ndani,hutaki rudi mbeya kalime parachichi.

Biashara ya kuokota sadaka kwa utaratibu huo unaotaka wewe basi itakuwa imeshajifia,kwani huwezi kubishana na dola.

Chochote utachofanya huwezi fanikiwa,dola haiyumbishwi na vilio vyako na hii siyo nchi ya kuendeshwa na udini kama huo.

KANISA LIMEFUTWA TAFUTA BIASHARA NYINGINE.

UKIJIFANYA NUNDA NENDA UONE MAMLAKA YA DOLA IKOJE,HUWEZI KUJA MBELE YA VYOMBO VYA HABARI NA USEME UTEKAJI UNA BARAKA YA MAMLAKA YA JUU TENA BILA USHAHIDI KISHA UACHWE UKIENDELEA KUTOA MAHUBIRI YA CHUKI KANISANI.
Anaemwambia Gwajima apambane yeye hata kupambania uenyekiti wa kijiji hawezi
 
Sawa tumekusikia na kukuelewa wewe ***** ,mtoto mpendwa wa bibi chaudere maushungi kutoka mchambawima
 
Hivi pale mliosikioiza moimuelewa? Kwamba kiuhakisia mzalenda no 1 ni mwanajeshi Ambae anapigana mstari wa mbele kufa kupona ,SS ugalatia unaingilia wapi ?
Jo usimtilie maanani.

Alichoomaanisha sicho unachozungumzia.
 
Friends and our enemies

Gwajima ameshabaini kuwa hatoboi,kanisa limefutwa na sababu za kufutwa ziko wazi...

Anajua fika anachokifanya,nacho ni kutafuta sympathy kwa wenzake na wana kondoo wake ili ionekane kuwa sababu ya kufutwa kanisa eti ni kukemea utekaji,huo ni upuuzi gwajima.

Viongozi wengi wa dini wa dini wakiwamo maaskofu wamekemea utekaji na hawajafanywa chochote,wewe ulichokifanya unakifaham na ndiyo maana ukatafuta bush laywer akutetee mahakamani.

Nenda kakate rufaa kwa waziri wa mambo ya ndani,hutaki rudi mbeya kalime parachichi.

Biashara ya kuokota sadaka kwa utaratibu huo unaotaka wewe basi itakuwa imeshajifia,kwani huwezi kubishana na dola.

Chochote utachofanya huwezi fanikiwa,dola haiyumbishwi na vilio vyako na hii siyo nchi ya kuendeshwa na udini kama huo.

KANISA LIMEFUTWA TAFUTA BIASHARA NYINGINE.

UKIJIFANYA NUNDA NENDA UONE MAMLAKA YA DOLA IKOJE,HUWEZI KUJA MBELE YA VYOMBO VYA HABARI NA USEME UTEKAJI UNA BARAKA YA MAMLAKA YA JUU TENA BILA USHAHIDI KISHA UACHWE UKIENDELEA KUTOA MAHUBIRI YA CHUKI KANISANI.

View: https://www.facebook.com/share/v/16utxyiduj/
 
Anaemwambia Gwajima apambane yeye hata kupambania uenyekiti wa kijiji hawezi
Gwajima atambue biashara imeshaisha paleee....biashara ya kuongopa watu kuwa anafufua wafu na kuiba sadaka zao imeshaisha muhuni yule
 
Back
Top Bottom