Gwajima: Siwezi kujitetea kwa mahubiri yanayotoka kwa Roho Mtakatifu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

"Niliitwa na Kamati ya Maadili ya Bunge wiki iliyopita nilipotoka wengi mliniuliza kimejiri nini na nikasema sitosema hadi Kamati iseme kwanza na kwasababu Kamati imeshaongea acha nami nizungumze”

“Sababu ya kuongea ni kwasababu wameniongelea kama Mtu mbaya sana, Jitu baya sana ambalo kama lipo kama lilivyotajwa basi halitakiwi hata kuwa Kiongozi wa Kanisa”

“Mimi Mchungaji wa muda mrefu sana hapa tu Ubungo nipo kwa miaka 25, nilipoitwa kwenye Kamati yale niliyoitiwa ni kuhusu mahubiri ya Kanisani, Mimi nikawaambia sidhani kama Kamati mmefanya vizuri maana yote nimeongea Kanisani na hakuna mwenye Mamlaka ya kuuliza maswali juu ya Ibada ya Kanisani na imani za Watu na nikasema kwenye hili Kamati mmekosea”

“Niliwaambia Kamati mmesema mmesikia nimewaambia Watu wasichanjwe nikasema hiyo haibadiliki milele, nikaweka wazi kwamba sisi Ufufuo na Uzima chanjo ni hiari na sisi tumechagua hatuchanji sikupindisha nilisema hatutowaruhusu Waumini kuchanja na sababu zetu ni hatujapata taarifa za kutosha juu ya madhara ya chanjo ya muda mfupi, siku zijazo na siku nyingi”

“Kwahiyo kama nimeitwa mkorofi ukorofi wangu ni huo na kama huo ndio ukorofi basi ni ukorofi kwelikweli kwenye eneo hilo, wakaniambia jitetee nikasema sina la kujitetea, siwezi kujitetea kwa mahubiri niliyohubiri yanatoka kwa roho mtakatifu, nimefafanua ili mjue Gwajima sio mkorofi ”———-Askofu Gwajima

My Take
Bunge hapa lilichemka. Labda lingempiga pini kwenye chama
 
Huwezi kuyafanya mahubiri ya kanisani kama kichaka cha upotoshaji na wakati mhubiri mwenyewe wakati fulani ndiye pia alikuwa muumini wa kauli hii inayotumiwa mara nyingi na wanasiasa hata out of context: 'Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu' (Warumi 13:1). Waumini wengine ni askofu Gamanywa, Kakobe, Mzee wa Upako etc.
 
Huyo roho mtakatifu wake ndie alimwambia Corona haitakuja Tanzania halafu ikaja? sasa huyo roho wa uongo nani amwamini?

Huku anajiita mchungaji mara kule Askofu anajiokotea majina tu apendavyo, anasahau kuwa naye ni mwanasiasa, kwa zile kura alizoibiwa Kawe kupitia chama chake anakuwa binded na maamuzi ya vikao vya chama chake.

Kama hataki hilo ajiuzulu ubunge abaki na kanisa lake hakuna atakayeangaika nae, lakini kitendo cha kupingana na mwenyekiti wake ni uasi na zaidi ni udhaifu juzi alipata nafasi ya kusema msimamo wake mbele ya mwenyekiti akaishia kucheka cheka yu.
 
"Niliitwa na Kamati ya Maadili ya Bunge wiki iliyopita nilipotoka wengi mliniuliza kimejiri nini na nikasema sitosema hadi Kamati iseme kwanza na kwasababu Kamati imeshaongea acha nami nizungumze”

“Sababu ya kuongea ni kwasababu wameniongelea kama Mtu mbaya sana, Jitu baya sana ambalo kama lipo kama lilivyotajwa basi halitakiwi hata kuwa Kiongozi wa Kanisa”

“Mimi Mchungaji wa muda mrefu sana hapa tu Ubungo nipo kwa miaka 25, nilipoitwa kwenye Kamati yale niliyoitiwa ni kuhusu mahubiri ya Kanisani, Mimi nikawaambia sidhani kama Kamati mmefanya vizuri maana yote nimeongea Kanisani na hakuna mwenye Mamlaka ya kuuliza maswali juu ya Ibada ya Kanisani na imani za Watu na nikasema kwenye hili Kamati mmekosea”

“Niliwaambia Kamati mmesema mmesikia nimewaambia Watu wasichanjwe nikasema hiyo haibadiliki milele, nikaweka wazi kwamba sisi Ufufuo na Uzima chanjo ni hiari na sisi tumechagua hatuchanji sikupindisha nilisema hatutowaruhusu Waumini kuchanja na sababu zetu ni hatujapata taarifa za kutosha juu ya madhara ya chanjo ya muda mfupi, siku zijazo na siku nyingi”

“Kwahiyo kama nimeitwa mkorofi ukorofi wangu ni huo na kama huo ndio ukorofi basi ni ukorofi kwelikweli kwenye eneo hilo, wakaniambia jitetee nikasema sina la kujitetea, siwezi kujitetea kwa mahubiri niliyohubiri yanatoka kwa roho mtakatifu, nimefafanua ili mjue Gwajima sio mkorofi ”———-Askofu Gwajima

My Take
Bunge hapa lilichemka. Labda lingempiga pini kwenye chama
Huyu ni mkora tu hana lolote,asulubiwe barabara...
 
Tapeli la mitaani hili li Gwajima.
Atuonyeshe aliowafufua kwa roho mtakatifu wake.
 
Huwezi kuyafanya mahubiri ya kanisani kama kichaka cha upotoshaji na wakati mhubiri mwenyewe wakati fulani ndiye pia alikuwa muumini wa kauli hii inayotumiwa mara nyingi na wanasiasa hata out of context: 'Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu' (Warumi 13:1)
Huwezi tii Malamka ya Shetani au yenye mambo ya Kishetani. Usitumie neno vibaya
 
"Niliitwa na Kamati ya Maadili ya Bunge wiki iliyopita nilipotoka wengi mliniuliza kimejiri nini na nikasema sitosema hadi Kamati iseme kwanza na kwasababu Kamati imeshaongea acha nami nizungumze”

“Sababu ya kuongea ni kwasababu wameniongelea kama Mtu mbaya sana, Jitu baya sana ambalo kama lipo kama lilivyotajwa basi halitakiwi hata kuwa Kiongozi wa Kanisa”

“Mimi Mchungaji wa muda mrefu sana hapa tu Ubungo nipo kwa miaka 25, nilipoitwa kwenye Kamati yale niliyoitiwa ni kuhusu mahubiri ya Kanisani, Mimi nikawaambia sidhani kama Kamati mmefanya vizuri maana yote nimeongea Kanisani na hakuna mwenye Mamlaka ya kuuliza maswali juu ya Ibada ya Kanisani na imani za Watu na nikasema kwenye hili Kamati mmekosea”

“Niliwaambia Kamati mmesema mmesikia nimewaambia Watu wasichanjwe nikasema hiyo haibadiliki milele, nikaweka wazi kwamba sisi Ufufuo na Uzima chanjo ni hiari na sisi tumechagua hatuchanji sikupindisha nilisema hatutowaruhusu Waumini kuchanja na sababu zetu ni hatujapata taarifa za kutosha juu ya madhara ya chanjo ya muda mfupi, siku zijazo na siku nyingi”

“Kwahiyo kama nimeitwa mkorofi ukorofi wangu ni huo na kama huo ndio ukorofi basi ni ukorofi kwelikweli kwenye eneo hilo, wakaniambia jitetee nikasema sina la kujitetea, siwezi kujitetea kwa mahubiri niliyohubiri yanatoka kwa roho mtakatifu, nimefafanua ili mjue Gwajima sio mkorofi ”———-Askofu Gwajima

My Take
Bunge hapa lilichemka. Labda lingempiga pini kwenye chama
Hata kwenye Chama hana cha Kupoteza ana makusanyo zaidi ya Ubunge

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Huwezi kuyafanya mahubiri ya kanisani kama kichaka cha upotoshaji na wakati mhubiri mwenyewe wakati fulani ndiye pia alikuwa muumini wa kauli hii inayotumiwa mara nyingi na wanasiasa hata out of context: 'Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu' (Warumi 13:1)
Mamlaka ndio iliyosema chanjo ni hiari mtu atake kuchanjwa ama la. Kwa ujinga wako unadhani anae kataa anapingana na mamlaka kitu ambacho sio sahii.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo kama nimeitwa mkorofi ukorofi wangu ni huo na kama huo ndio ukorofi basi ni ukorofi kwelikweli kwenye eneo hilo, wakaniambia jitetee nikasema sina la kujitetea, siwezi kujitetea kwa mahubiri niliyohubiri yanatoka kwa roho mtakatifu, nimefafanua ili mjue Gwajima sio mkorofi ”———-Askofu Gwajima
 
"Niliitwa na Kamati ya Maadili ya Bunge wiki iliyopita nilipotoka wengi mliniuliza kimejiri nini na nikasema sitosema hadi Kamati iseme kwanza na kwasababu Kamati imeshaongea acha nami nizungumze”

“Sababu ya kuongea ni kwasababu wameniongelea kama Mtu mbaya sana, Jitu baya sana ambalo kama lipo kama lilivyotajwa basi halitakiwi hata kuwa Kiongozi wa Kanisa”

“Mimi Mchungaji wa muda mrefu sana hapa tu Ubungo nipo kwa miaka 25, nilipoitwa kwenye Kamati yale niliyoitiwa ni kuhusu mahubiri ya Kanisani, Mimi nikawaambia sidhani kama Kamati mmefanya vizuri maana yote nimeongea Kanisani na hakuna mwenye Mamlaka ya kuuliza maswali juu ya Ibada ya Kanisani na imani za Watu na nikasema kwenye hili Kamati mmekosea”

“Niliwaambia Kamati mmesema mmesikia nimewaambia Watu wasichanjwe nikasema hiyo haibadiliki milele, nikaweka wazi kwamba sisi Ufufuo na Uzima chanjo ni hiari na sisi tumechagua hatuchanji sikupindisha nilisema hatutowaruhusu Waumini kuchanja na sababu zetu ni hatujapata taarifa za kutosha juu ya madhara ya chanjo ya muda mfupi, siku zijazo na siku nyingi”

“Kwahiyo kama nimeitwa mkorofi ukorofi wangu ni huo na kama huo ndio ukorofi basi ni ukorofi kwelikweli kwenye eneo hilo, wakaniambia jitetee nikasema sina la kujitetea, siwezi kujitetea kwa mahubiri niliyohubiri yanatoka kwa roho mtakatifu, nimefafanua ili mjue Gwajima sio mkorofi ”———-Askofu Gwajima

My Take
Bunge hapa lilichemka. Labda lingempiga pini kwenye chama
CCM hamna kitu , bila polisi hawa ni watupu mno !
 
Back
Top Bottom