Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kumchangia nyie si kawaona mafala.Hata kwenye Chama hana cha Kupoteza ana makusanyo zaidi ya Ubunge
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Kama Mbowe na ugaidi wake halafu anajifuchia kwenye kichaka cha katiba mpya,mjinga sana ,safari hii kanasa kiulaini sanaHuwezi kuyafanya mahubiri ya kanisani kama kichaka cha upotoshaji na wakati mhubiri mwenyewe wakati fulani ndiye pia alikuwa muumini wa kauli hii inayotumiwa mara nyingi na wanasiasa hata out of context: 'Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu' (Warumi 13:1)
"Niliitwa na Kamati ya Maadili ya Bunge wiki iliyopita nilipotoka wengi mliniuliza kimejiri nini na nikasema sitosema hadi Kamati iseme kwanza na kwasababu Kamati imeshaongea acha nami nizungumze”
“Sababu ya kuongea ni kwasababu wameniongelea kama Mtu mbaya sana, Jitu baya sana ambalo kama lipo kama lilivyotajwa basi halitakiwi hata kuwa Kiongozi wa Kanisa”
“Mimi Mchungaji wa muda mrefu sana hapa tu Ubungo nipo kwa miaka 25, nilipoitwa kwenye Kamati yale niliyoitiwa ni kuhusu mahubiri ya Kanisani, Mimi nikawaambia sidhani kama Kamati mmefanya vizuri maana yote nimeongea Kanisani na hakuna mwenye Mamlaka ya kuuliza maswali juu ya Ibada ya Kanisani na imani za Watu na nikasema kwenye hili Kamati mmekosea”
“Niliwaambia Kamati mmesema mmesikia nimewaambia Watu wasichanjwe nikasema hiyo haibadiliki milele, nikaweka wazi kwamba sisi Ufufuo na Uzima chanjo ni hiari na sisi tumechagua hatuchanji sikupindisha nilisema hatutowaruhusu Waumini kuchanja na sababu zetu ni hatujapata taarifa za kutosha juu ya madhara ya chanjo ya muda mfupi, siku zijazo na siku nyingi”
“Kwahiyo kama nimeitwa mkorofi ukorofi wangu ni huo na kama huo ndio ukorofi basi ni ukorofi kwelikweli kwenye eneo hilo, wakaniambia jitetee nikasema sina la kujitetea, siwezi kujitetea kwa mahubiri niliyohubiri yanatoka kwa roho mtakatifu, nimefafanua ili mjue Gwajima sio mkorofi ”———-Askofu Gwajima
My Take
Bunge hapa lilichemka. Labda lingempiga pini kwenye chama
Unapomtaja mtu kwa jina unamshambulia personally. Tujifunze uwasilishaji mzuri usioharibu taswira ya mtu machoni pa jamii. Haya uliyoyataka hapa siku nyingine yanaweza kukupata wewe. Hivyo, usidhani wewe ni salama.Kama Mbowe na ugaidi wake halafu anajifuchia kwenye kichaka cha katiba mpya,mjinga sana ,safari hii kanasa kiulaini sana
Mngetumia ustarabu huu kwa Sabaya ingependeza sanaUnapomtaja mtu kwa jina unamshambulia personally. Tujifunze uwasilishaji mzuri usioharibu taswira ya mtu machoni pa jamii. Haya uliyoyataka hapa siku nyingine yanaweza kukupata wewe. Hivyo, usidhani wewe ni salama.
Maada iliopo hapa ni kuhusu chanjo sio kwenda kusal kanisan kwake ... Labda waweke wazi kwamba ile hiari ya kuchanja ina ukomo usimwambie mwingine asichanje au sio bwanaKuna marehemu alipelekwa hapo kwake kwa siku nne Gwajima ana mfanya vitu vyake tapeli huyu.
Hadi marehemu kaanza kunuka.
Lini mtashituka ninyi kizazi kilicholaaniwa!
Mamlaka pia ndiyo imemwita kwenye kamati kumhoji na akikataa kuhojiwa na kamati na je anakuwa ametii mamlaka?Mamlaka ndio iliyosema chanjo ni hiari mtu atake kuchanjwa ama la. Kwa ujinga wako unadhani anae kataa anapingana na mamlaka kitu ambacho sio sahii.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mtu akiwa MUONGO yaani habitual liar, mtu mwenye akili timamu hawezi kuamini chochote anachosema.Maada iliopo hapa ni kuhusu chanjo sio kwenda kusal kanisan kwake ... Labda waweke wazi kwamba ile hiari ya kuchanja ina ukomo usimwambie mwingine asichanje au sio bwana
Hujasoma ukanielewa. Nimesema kuna wakati na yeye alikuwa muumini wa hiyo phrase ya mamlaka dhidi ya viongozi wenzake wa dini waliokuwa wakiikosoa serikali kuhusu demokrasia kipindi cha awamu ya 5. Ndiyo maana nikasema hii phrase inatumiwa vibaya na wanasiasa (out of context) kuhalalisha mambo wanayoyataka, lakini siyo fasili sahihi ya Biblia. Andiko la mamlaka kwenye Biblia halina maana mamlaka yoyote, bali 'mamlaka hahali' au 'mamlaka inayotenda haki' au inayowaunganisha watu au inayotimiza wajibu wake wa uongozi wa nchi kwa masilahi ya wote na siyo kwa masilahi ya kikundi fulani cha watu au eneo fulani la nchi. Yaani hakuna anayekuwa na ulazima wa kutii mamlaka mtu anayoona au anayoamini haitendi haki na kiongozi pekee katika kuamua ni 'certain conscience' (dhamiri yenye uhakika kuhusu jambo fulani). Hii ni aina ya dhamiri ambayo mbele ya jambo fulani na kwa wakati huo wa kuamua mtu anasikia sauti ya ndani mwake ikimwambia tenda au acha. Dhamiri ya aina hii kwa kadiri inavyokushawishi kutenda au kuacha matokeo yake huwa ni furaha (kama ukifuata dhamiri yako inavyokushawishi au huzuni kama ukifanya jambo kinyume na dhamiri yako inavyokushawishi). Baada ya kuamua kutenda au kuacha, mtu anatakiwa kujiridhisha (kujua) kama jambo alililolitenda au acha kutenda ni jema au la. Na kupata habari hapa maana yake ni kuwa na 'well-informed conscience' (dhamiri ya kweli - kuamua kutenda au kuacha kutenda jambo kwa vile unajua bila shaka ukweli au undani wake). Ukiwa na 'doubtful conscience' (dhamiri ya mashaka) hupaswi kufanya uamuzi wowote mpaka hapo utakapokuwa na uhakika wa jambo lenyewe (certain conscience). Na hapa kuwa na uhakika haina maana ya kuwa sahihi maana unaweza kuwa na uhakika wakati uko wrong pia.Huwezi tii Malamka ya Shetani au yenye mambo ya Kishetani. Usitumie neno vibaya