Mswahili wa ajabu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mswahili wa ajabu sana.
Ungeanzia kwenye kauli ya kamati ya Bunge ningekuelewa, lakini naona kama unahangaika na Gwajima. Bunge lilihusikaje na mambo anayoyafanya kanisani au mitaani? Yaani Bunge linawachunga wabunge kama watoto wa spika? Kama ni makosa kisheria alistahili kufikishwa mahakamani na siyo Bungeni; Hakuyasema bungeni.Huyu ni mpuuuzi, Low IQ katika ubora wake! Sasa huo ni utetezi?! Misukule yake itamwelewa!
Mbunge kusema raisi kapokea hela kuruhusu chanjo ni kosa la kibunge mpaka jinaiUngeanzia kwenye kauli ya kamati ya Bunge ningekuelewa, lakini naona kama unahangaika na Gwajima. Bunge lilihusikaje na mambo anayoyafanya kanisani au mitaani? Yaani Bunge linawachunga wabunge kama watoto wa spika? Kama ni makosa kisheria alistahili kufikishwa mahakamani na siyo Bungeni; Hakuyasema bungeni.
Ukiwa Dodoma, utawakuta wabunge wanahangaika na changudoa. Uchangudoa kisheria ni kosa hapa nchini, mbona hatujaona spika akiwaita bungeni? Akina Chenge waliwahi kugonga na kuaa mtu mitaani, mbnona hawakuitwa Bungeni? Kwa nini hili tu la chanjo ndo liwe jambo la kuhukumiwa Bungeni? Kamati yemnyewe... maamuma tu!
Suala lipo pale pale, kupata korona ni hiari ya kila mjinga.Unataka kusikia unachokita😅😅😅 Poleee
Tupo kwenye suala la tapeli aliyejidai hadharani anafufua watu.Tujulishe unakosali ili tukutembelee tuone kiongozi wako kama ni mtakatifu kama malaika.
Nisha chanja baada ya kuona rafiki yangu anakufa kwa mateso.Nyinyi mnaoikubali chanjo mbona hamchanji? Au unataka kutuambia kuwa watanzania karibia wote wakiwemo nyumbu wenu wanamsikiliza Gwajima? Hushangai idadi ya waliochanga haifikii laki nne?
Suala lipo pale pale, kupata korona ni hiari ya kila mjinga.
Walipe VIP treatment kama waliyompa Mtikila , wamalize kazi
Naomba kuuliza swali hili kwenye huo mstari. Wajerumani waliompinga Hitler walikuwa na dhambi ya kutotii mamlaka?Huwezi kuyafanya mahubiri ya kanisani kama kichaka cha upotoshaji na wakati mhubiri mwenyewe wakati fulani ndiye pia alikuwa muumini wa kauli hii inayotumiwa mara nyingi na wanasiasa hata out of context: 'Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu' (Warumi 13:1). Waumini wengine ni askofu Gamanywa, Kakobe, Mzee wa Upako etc.
Pata korona ujiridhishe!Endelea kujidanganya😂😂😂😂😂😂
Kumbee?!
Msijisahau nyie mkamuudhi Mwenyezi Mungu anatisha?!
Mwenyezi Mungu mkali!
Wako wapi watesi wake? [emoji2369]
Mbona awamu ile JPM alisema wazi chanjo hazifai?!
Matatizo yanayowakabili wananchi ni mengi sana zingatieni sana katika kutafuta ufumbuzi wa kuyaondoa kuliko kufikiria kumuangamiza Masihi wa Bwana.
Ifike mahala matatizo ya wananchi yawekere na kuwanyima usingizi hadi mpate ufumbuzi na siyo kukerwa na Mwana wa Mungu huyo!
huyo ndiye alofufuliwa na gwajima??Tujulishe unakosali ili tukutembelee tuone kiongozi wako kama ni mtakatifu kama malaika.
Nishapata siku nyingiPata korona ujiridhishe!
Mkuu Gwajima hajapotosha popote maana viongozi wakuu walishasema hadharani kuwa chanjo siyo lazima. Mimi nilishachanja lakini kwa hiari. Gwajima hana makosa bali Bunge limechemka. Ndugai hana busara.Huwezi kuyafanya mahubiri ya kanisani kama kichaka cha upotoshaji na wakati mhubiri mwenyewe wakati fulani ndiye pia alikuwa muumini wa kauli hii inayotumiwa mara nyingi na wanasiasa hata out of context: 'Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu' (Warumi 13:1). Waumini wengine ni askofu Gamanywa, Kakobe, Mzee wa Upako etc.
Yaani wewe una IQ kubwa kuliko Gwajima?Huyu ni mpuuuzi, Low IQ katika ubora wake! Sasa huo ni utetezi?! Misukule yake itamwelewa!
Hata Pope mwenyewe ni Mchungaji.Huyo roho mtakatifu wake ndie alimwambia Corona haitakuja Tanzania halafu ikaja? sasa huyo roho wa uongo nani amwamini?
Huku anajiita mchungaji mara kule Askofu anajiokotea majina tu apendavyo, anasahau kuwa naye ni mwanasiasa, kwa zile kura alizoibiwa Kawe kupitia chama chake anakuwa binded na maamuzi ya vikao vya chama chake.
Kama hataki hilo ajiuzulu ubunge abaki na kanisa lake hakuna atakayeangaika nae, lakini kitendo cha kupingana na mwenyekiti wake ni uasi na zaidi ni udhaifu juzi alipata nafasi ya kusema msimamo wake mbele ya mwenyekiti akaishia kucheka cheka yu.
Kwa hiyo Bunge lina mamlaka ya kusikiliza jinai? Shiiit!Mbunge kusema raisi kapokea hela kuruhusu chanjo ni kosa la kibunge mpaka jinai