Gwajima tunakuomba Using'ate maneno ile siku ni Leo hebu sema lile neno pole pole ameanza wewe Maliza!!

Gwajima tunakuomba Using'ate maneno ile siku ni Leo hebu sema lile neno pole pole ameanza wewe Maliza!!

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,366
Sisi tunazidi kuchochea kuni..
Tunataka waendelee kukaza fuvu zao hivi hivi ili Mapigo yawashukie kama kipindi cha agano la kale!

Mwenzako H.P kakataa wahuni na Kamwaga unga na mboga vyote..
Haya ni zamu yako sasa..

Sisi tumeandaa bando na VPN tayari..

Nireteeeni Gwajmaaaa
 
downloadfile-2.jpg
 
Tulia, watu wanakwepa mzima switch. Ni vigumu kuongea wakati mzima switch yupo machooooooo😱😱😱😱
 
Tulia, watu wanakwepa mzima switch. Ni vigumu kuongea wakati mzima switch yupo machooooooo😱😱😱😱
Huyu Mzima switch anawanyima watu uhuru wa kujieleza kama unavyo ruhusiwa kwenye katiba yetu ya mwaka 1977 Ibara 18:
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 Ibara ya 18 ndiyo inayotoa haki ya msingi ya uhuru wa maoni na kujieleza. Ibara hiyo inasema kuwa kila mtu:
  1. Ana uhuru wa kuwa na maoni na kueleza mawazo yake.
  2. Ana haki ya kutafuta, kupokea na kutoa taarifa bila kujali mipaka ya nchi.
  3. Ana uhuru wa kufanya mawasiliano, na pia kulindwa faragha yake.
  4. Ana haki ya kutozuiwa katika mawasiliano yake.
  5. Kwa hiyo, iwapo mtu au mamlaka (kwa mfano kiongozi, chama au serikali) wanapiga marufuku watu kutoa maoni yao, wanakuwa wanapingana moja kwa moja na Ibara ya 18 ya Katiba ya Tanzania. Mzima Switch na yeye ni Muhuni tu... Apingweeeeeeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom