Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
Sisi tunazidi kuchochea kuni..
Tunataka waendelee kukaza fuvu zao hivi hivi ili Mapigo yawashukie kama kipindi cha agano la kale!
Mwenzako H.P kakataa wahuni na Kamwaga unga na mboga vyote..
Haya ni zamu yako sasa..
Sisi tumeandaa bando na VPN tayari..
Nireteeeni Gwajmaaaa
Huyu Mzima switch anawanyima watu uhuru wa kujieleza kama unavyo ruhusiwa kwenye katiba yetu ya mwaka 1977 Ibara 18:Tulia, watu wanakwepa mzima switch. Ni vigumu kuongea wakati mzima switch yupo machoooooooπ±π±π±π±