Mh Ghwajima nakupongeza kwa kujilipuwa na kusema mambo mazito na magumu ila kwa sisi wana wakuona yasio onekana kile kikao uwenda kikakutoa kamasi kama sio kupanda pipa nakutafuta makazi. Haya ndio hukuyatafakari.
Kwa kile kikao umewafungua macho wanakusadikika nani ako nyuma ya haya mambo yaani umepiga muhuri kwenye hisia za wana kusadikika.
Pili kile kikao kimewakwaza sana wana idara na uwenda kimeleta mnyukano mkali na man hunt yakufa mtu kwani walio kusikiliza wakiunganisha maneno inaonyesha unajambo zito la siri kutoka kwa wana siri wakati wana siri wanalinda siri je nani kakwambia?
Tatu kama ungemsikiliza bwana mmoja anaitwa Lema uwenda usinge thubutu kusogelea mic na kusema yale umesema Bwana Lema alisha tabiri leo na kwa sie tunamsikiliza tuna piga miluzi maana mwamba alisha tabiri mambo mazito.
Nne mh Gwajima labda uniambie una nguvu zaid ya ile ya president ila kwa hakika kama huna basi nakusihi uwingie kwenye maombi mazito na yakufunga nakuomba huku ukijificha kama Elisha baada yakuwauwa manabii wa Jezebel.
Tano Mh Gwajima kwa sasa hatupigani na vita ya nyama na dam kwa maana vita ya Tanzania ipo ktk ulimwengu wa roho na nguvu za giza. Mungu ndie ata amua wala sio mikutano na malele mnapiga kwa sasa mwachieni Mungu kwa maana kesho yaweza kuwa giza kwa kuongea sana.
Sita Mh Gwajima nakukumbusha wanawake wanaongozwa na hisia na sio vinginevyo hivyo ogopa kuzitibua hisia za kiti things will fall apart.
Saba na mwisho kuna tofauti gani kati ya mkutano wako na mapendekezo yaliomo ktk katiba mpya na harakati za Lisu no reform no election? Kama ipo basi naomba radhi sikukuelewa ila kama niyale yale Baba umeyakanyaga. I'm sorry 😞