Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Hilo utajua ww, kama miradi yako haijasimama kwa kusupport uovu, fahamu kuwa umeukalia.Rais sio Gwajima.
Hilo utajua ww, kama miradi yako haijasimama kwa kusupport uovu, fahamu kuwa umeukalia.Rais sio Gwajima.
Wala siko kwenye line za kumpa Ushauri wanaohusika wapo.Umechelewa kumpa ushauri huo. Kibao kinaenda kugeuka.
Kumuua mdude?Wewe Kwa akili Yako kuna Utawala hauui Duniani hapa? Pengine hujui kitu ndio maana unaongea hivyo.
Nani kamuua?Kumuua mdude?
Hii ni moja ya code ngumu zaidi kule USA seal team wanasema "we do bad things to bad people "Sababu ni hii!
View attachment 3344439
Yaani nikae DLA ( Def Logistic Agency ) nisijue Nature ya National Security ?Wewe Kwa akili Yako kuna Utawala hauui Duniani hapa? Pengine hujui kitu ndio maana unaongea hivyo.
Mimi utanikuta Leo,kesho,keshokutwa kama nilivyokuwepo Toka juzi so.lonh as Niko hai.Hilo utajua ww, kama miradi yako haijasimama kwa kusupport uovu, fahamu kuwa umeukalia.
Kwa hiyo Huwa wanawapaka Mafuta si ndio?Yaani nikae DLA ( Def Logistic Agency ) nisijue Nature ya National Security ?
Wanapakwa Vibaraka wa LUMUMBA .Kwa hiyo Huwa wanawapaka Mafuta si ndio?
😁😁Wanapakwa Vibaraka wa LUMUMBA .
Kamuulize Gwajima kwenye mkutano wa ccm keshokutwa ana majibu.Nani kamuua?
Ngoja tusubirie hayo majibu yakeKamuulize Gwajima kwenye mkutano wa ccm keshokutwa ana majibu.
Sera za kubaka na kutesa watuMimi utanikuta Leo,kesho,keshokutwa kama nilivyokuwepo Toka juzi so.lonh as Niko huru.
Kila siku nawaambia humu jf kwamba Mimi sio mwana CCM Wala siishi Kwa bakshishi za CCM kama nyie mnahangaika na siasa ndio muishi.
So long as mswala awe na sera nazotaka nitakuwa upande wake ila akiwa kinyume nitampinga kama nilivyopinga Mwendazake.
Mimi.ni shabiko wa sera za Samia kindaki ndaki.