Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Tiss yule ametumwa.Jamaa ana confidence 1000%
Uzuri anasimamia ukweli
Tiss yule ametumwa.Jamaa ana confidence 1000%
Uzuri anasimamia ukweli
Kuzima ishu ya Lissu kuchaguliwa huko duniani???Tiss yule ametumwa.
Kwa hiyo wewe ni mmoja wao?Kumbe ninyi ndio mnatakaga watu watekwe, mnawajaza upepo alafu wakipotea mnakuja kulia kwenye keyboard.
Iddi Amina lazima ateme bungoNgoja tuone mwisho maana huyu bwana Huwa ana dharau fulani na kujikuta yeye ana akili kuliko watu wote.
Hii ndio sifa ya wasukuma nimejifunza Kupitia watu wao wenye mamlaka au vijisenti.
Kwenye mikungu sikuiona g nikasomq d. Samahani ila i kqma pia inaleta maanaMikungu ya CCm inawaza kuwaka moto
Jambo nalokuhakikishia, GWAJIMA ATAWATAJA KWA MAJINA WANAOTEKA NA GENGE LAO LOTE.
ENDAPO WATAPIGA HATUA KUSOGELEA MAISHA YAKE.
HUYU JAMAA SIO MWEPESI..... ALIMWMABIA LISSU, USIENDE DODOMA, UTAPIGWA RISASI.
ANAJUA ANACHOFANYA NA KM KIONGOZI ANA INTELIJENSIA KUBWA.
Kunywa nyagi usome tena.Kwenye mikungu sikuiona g nikasomq d. Samahani ila i kqma pia inaleta maana
Hicho cha mtoto zaidi kukimbia na kuwacha kanisa bila mchNarudia kusema tena kwa haya yanayoendelea humu ndani..Gwajiboy very soon atapigwa virungu vya ugoko mpaka aombee Malaika washuke kumsaidia,kakanyaga wire.Tusubiri pakuche tutasikia mengi.
We uko kishabiki Sana,,gwajima Hana ushahidi huo,,Sana anaweza kuitwa aonyeshe ushahidi alionao na Kama Hana anaweza kupambana na defamationJambo nalokuhakikishia, GWAJIMA ATAWATAJA KWA MAJINA WANAOTEKA NA GENGE LAO LOTE.
ENDAPO WATAPIGA HATUA KUSOGELEA MAISHA YAKE.
HUYU JAMAA SIO MWEPESI..... ALIMWMABIA LISSU, USIENDE DODOMA, UTAPIGWA RISASI.
ANAJUA ANACHOFANYA NA KM KIONGOZI ANA INTELIJENSIA KUBWA.
No. I think they mean businessKuzima ishu ya Lissu kuchaguliwa huko duniani???
Unsimamia kweli kwenye nchi ambayo ukweli ni uadui..Jamaa ana confidence 1000%
Uzuri anasimamia ukweli
Haya yeye anajua yanayoweza kutokea ,ila kachagua kusema ukweli na kuishinda hofu kama ulivo na hofu weweNarudia kusema tena kwa haya yanayoendelea humu ndani..Gwajiboy very soon atapigwa virungu vya ugoko mpaka aombee Malaika washuke kumsaidia,kakanyaga wire.Tusubiri pakuche tutasikia mengi.