Ngoja tuone mwisho maana huyu bwana Huwa ana dharau fulani na kujikuta yeye ana akili kuliko watu wote.Mh Ghwajima nakupongeza kwa kujilipuwa na kusema mambo mazito na magumu ila kwa sisi wana wakuona yasio onekana kile kikao uwenda kikakutoa kamasi kama sio kupanda pipa nakutafuta makazi. Haya ndio hukuyatafakari.
Kwa kile kikao umewafungua macho wanakusadikika nani ako nyuma ya haya mambo yaani umepiga muhuri kwenye hisia za wana kusadikika.
Pili kile kikao kimewakwaza sana wana idara na uwenda kimeleta mnyukano mkali na man hunt yakufa mtu kwani walio kusikiliza wakiunganisha maneno inaonyesha unajambo zito la siri kutoka kwa wana siri wakati wana siri wanalinda siri je nani kakwambia?
Tatu kama ungemsikiliza bwana mmoja anaitwa Lema uwenda usinge thubutu kusogelea mic na kusema yale umesema Bwana Lema alisha tabiri leo na kwa sie tunamsikiliza tuna piga miluzi maana mwamba alisha tabiri mambo mazito.
Nne mh Gwajima labda uniambie una nguvu zaid ya ile ya president ila kwa hakika kama huna basi nakusihi uwingie kwenye maombi mazito na yakufunga nakuomba huku ukijificha kama Elisha baada yakuwauwa manabii wa Jezebel.
Tano Mh Gwajima kwa sasa hatupigani na vita ya nyama na dam kwa maana vita ya Tanzania ipo ktk ulimwengu wa roho na nguvu za giza. Mungu ndie ata amua wala sio mikutano na malele mnapiga kwa sasa mwachieni Mungu kwa maana kesho yaweza kuwa giza kwa kuongea sana.
Sita Mh Gwajima nakukumbusha wanawake wanaongozwa na hisia na sio vinginevyo hivyo ogopa kuzitibua hisia za kiti things will fall apart.
Saba na mwisho kuna tofauti gani kati ya mkutano wako na mapendekezo yaliomo ktk katiba mpya na harakati za Lisu no reform no election? Kama ipo basi naomba radhi sikukuelewa ila kama niyale yale Baba umeyakanyaga. I'm sorry 😞
Gwajima hajawahi kutishwa, na nina hakika yako mengi anajua kukuzidi na bila shaka anafahamu kwamba watekaji hawafurahi na watataka kumuua.Mh Ghwajima nakupongeza kwa kujilipuwa na kusema mambo mazito na magumu ila kwa sisi wana wakuona yasio onekana kile kikao uwenda kikakutoa kamasi kama sio kupanda pipa nakutafuta makazi. Haya ndio hukuyatafakari.
Kwa kile kikao umewafungua macho wanakusadikika nani ako nyuma ya haya mambo yaani umepiga muhuri kwenye hisia za wana kusadikika.
Pili kile kikao kimewakwaza sana wana idara na uwenda kimeleta mnyukano mkali na man hunt yakufa mtu kwani walio kusikiliza wakiunganisha maneno inaonyesha unajambo zito la siri kutoka kwa wana siri wakati wana siri wanalinda siri je nani kakwambia?
Tatu kama ungemsikiliza bwana mmoja anaitwa Lema uwenda usinge thubutu kusogelea mic na kusema yale umesema Bwana Lema alisha tabiri leo na kwa sie tunamsikiliza tuna piga miluzi maana mwamba alisha tabiri mambo mazito.
Nne mh Gwajima labda uniambie una nguvu zaid ya ile ya president ila kwa hakika kama huna basi nakusihi uwingie kwenye maombi mazito na yakufunga nakuomba huku ukijificha kama Elisha baada yakuwauwa manabii wa Jezebel.
Tano Mh Gwajima kwa sasa hatupigani na vita ya nyama na dam kwa maana vita ya Tanzania ipo ktk ulimwengu wa roho na nguvu za giza. Mungu ndie ata amua wala sio mikutano na malele mnapiga kwa sasa mwachieni Mungu kwa maana kesho yaweza kuwa giza kwa kuongea sana.
Sita Mh Gwajima nakukumbusha wanawake wanaongozwa na hisia na sio vinginevyo hivyo ogopa kuzitibua hisia za kiti things will fall apart.
Saba na mwisho kuna tofauti gani kati ya mkutano wako na mapendekezo yaliomo ktk katiba mpya na harakati za Lisu no reform no election? Kama ipo basi naomba radhi sikukuelewa ila kama niyale yale Baba umeyakanyaga. I'm sorry 😞
Wasafwa bhana 😂😂😂Ngoja tuone mwisho maana huyu bwana Huwa ana dharau fulani na kujikuta yeye ana akili kuliko watu wote.
Hii ndio sifa ya wasukuma nimejifunza Kupitia watu wao wenye mamlaka au vijisenti.
Uovu una mwisho. Haiwezekani watu watekwe kila mara, vyombo vya ulinzi visiwe na habari. Si kila mtu anashiriki uovu.Ngoja tuone mwisho maana huyu bwana Huwa ana dharau fulani na kujikuta yeye ana akili kuliko watu wote.
Hii ndio sifa ya wasukuma nimejifunza Kupitia watu wao wenye mamlaka au vijisenti.
Hakuna Nchi haiteki hata siku Moja,kwanza hapa Tanzania mnachekewa sana ingekuwa Russia au Iran au China nk hakuna mtu angethubutu kufanya huu mzaha mnaofanya.Uovu una mwisho. Haiwezekani watu watekwe kila mara, vyombo vya ulinzi visiwe na habari. Si kila mtu anashiriki uovu.
Umechelewa kumpa ushauri huo. Kibao kinaenda kugeuka.Hakuna Nchi haiteki hata siku Moja,kwanza hapa Tanzania mnachekewa sana ingekuwa Russia au Iran au China nk hakuna mtu angethubutu kufanya huu mzaha mnaofanya.
Nadhani Rais awe radical zaidi.
Mama Bashe unatamani kuona wenzio wakifa.Ngoja tuone mwisho maana huyu bwana Huwa ana dharau fulani na kujikuta yeye ana akili kuliko watu wote.
Hii ndio sifa ya wasukuma nimejifunza Kupitia watu wao wenye mamlaka au vijisenti.
Rais sio Gwajima.Umechelewa kumpa ushauri huo. Kibao kinaenda kugeuka.
Wewe Kwa akili Yako kuna Utawala hauui Duniani hapa? Pengine hujui kitu ndio maana unaongea hivyo.Mama Bashe unatamani kuona wenzio wakifa.
"Mti mkavu haudandiwi na Nyani"
Siwez mtisha ila nakushauri usome ufunguwe code ♥️Gwajima hajawahi kutishwa, na nina hakika yako mengi anajua kukuzidi na bila shaka anafahamu kwamba watekaji hawafurahi na watataka kumuua.
Huwezi kumtisha kirahisi