Gwajima ulitafakari mara 100 kabla ya kuitisha mkutano na Vyombo vya Habari

Gwajima hajawahi kutishwa, na nina hakika yako mengi anajua kukuzidi na bila shaka anafahamu kwamba watekaji hawafurahi na watataka kumuua.

Huwezi kumtisha kirahisi
Kumbe ninyi ndio mnatakaga watu watekwe, mnawajaza upepo alafu wakipotea mnakuja kulia kwenye keyboard.
 
Hakuna Nchi haiteki hata siku Moja,kwanza hapa Tanzania mnachekewa sana ingekuwa Russia au Iran au China nk hakuna mtu angethubutu kufanya huu mzaha mnaofanya.

Nadhani Rais awe radical zaidi.
Pumbavu

Unateka watu wakati unaiba Mali za nchi??

Njooni mniteke Mimi nifatue risasi tufe wote siwezi kutekwa kizembe Mimi na na magenge ya wezi na mafisadi.
 
Askofu Gwajima ni mlaghai.
Kila kiongozi hapaswi kufukuzwa kiholela.
Lakini yeye anataka kujipendezesha kwa viongozi wa Jeshi tu.
Kuhusu kiongozi,kwanza you must double - check anateuliwa vipi.
Halafu ndio uonger kuhusu kufukuzwa kwake.
Ndio ubishi wa No Reform,No Election.
Mtu mwingine aichague Tume ya Uchaguzi.
Mtu mwingine atatoka wapi kama Rais ndie kiongozi wa nchi?
 
Ametafakari kabla hajaja kusema...

Amepata kibali cha aliye juu [Mungu Yehova] kabla hajaja kusema...

Kila kitu Kiko set kabla hajaja unless uwe hujui au kusahau kuwa Gwajima unamwona kimwili yuko duniani, lakini hilo ni jitu la Mbinguni...

Aliye NDANI ya Askofu Gwajima ni mkuu kuliko aliye ulimwenguni hapa, kuliko falme na mamlaka zote za kidunia...

Moreover, amekuwa tipped na haohao aliowasemea (wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama) kwa sababu they trusted him kuwa is the only perfect person who can speak on their behalf. Angalia na fuatilia vyema presentation yake. Was so calm and professional with strong and undisputed message...

Ndugu hawa viongozi wa taasisi hivi haina shaka yoyote wamechoka kunyanyasika na kupelekeshwa na wanasiasa kutekeleza matakwa yao ya kisiasa...

Hebu fikiri juu ya Afande Muliro ambaye hulazimika kusema uongo wa wazi mchana kweupe mpaka dunia inamshangaa. Unadhani huwa haumii nafsini mwake..?

Wamechoka. Wanataka wawe huru kufanya kazi zao. Imekuwa kwamba, madaraka waliyonayo ni kwa ajili ya utumwa wa kumtumikia Abdul na kundi lake...

Bro they are tired...!!

It was God of Heaven himself was speaking through him - Gwajima about Samia Suluhu Hassan and her regime...

If they're not careful, haina shaka kuwa Jeshi laweza kuchukua nchi hii. I see this very clearly because👇

Mithali 22:3 SUV

"...Mwenye busara huyaona mabaya na kujificha; Bali wajinga huendelea mbele wakaumia.
.."

Bwana wa Mbingu na nchi asema na itakuwa hivyo... Amen🙏🙏🙏
 
Hakuna Nchi haiteki hata siku Moja,kwanza hapa Tanzania mnachekewa sana ingekuwa Russia au Iran au China nk hakuna mtu angethubutu kufanya huu mzaha mnaofanya.

Nadhani Rais awe radical zaidi.
Mkuu, ukiiweka hivi watu tunazidi kuogopa zaidi na kuuliza maswali zaidi.

Unavyosema ni kama vile una hakika rais ndiye anafanya. Hebu kuwa makini sana katika kauli zako.
 
Samia atajuta sana kuwasikiliza wahuni akina makonda na mchengerwa aliaza 2021 vizuri sana.
It’s too late
 
Aamen, Damu iliyomwagwa inatosha Sana, wote kwa pamoja tukatae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…