Jibu lako linapatikana katika biblia Methali 9.1umekichukia king'ora? au umemchukia alibebwa na ham'ma?
sijaona tatizo, ukiona hivyo si lazima uruhusiwe na mtu
kiongozi wa kiroho ni mkubwa kuliko, kiongozi wa kundi la wezi
hata ana kofia ya kuwa raisi, any way hii ni nchi yetu na wananchi ndiyo sisi,
hata mimi hakuna kitu kinachoniudhi kama makelele ya adhana
TZ hata kama umebeba bangi unaweza kupiga king'ora na polisi waka clear njia for you. as long as you are driving an expensive car.
Haa haa haa! Umenikumbusha habari ya juzi ambapo jamaa alikuwa na debe mbili za bangi akasimamisha gari kuomba lift, alipoingia akagundua ni gari la polisi na walikuwapo askari kadhaa huko nyuma, basi jamaa akawa hatulii na mwishowe wakamshtukia na kumkagua!
Msukule aliyerudishwa kutoka msukuleni akipitishwa na wachungaji katikati wa watu ili waweze kumuona vizuri ndani ya Nyumba ya Ufufuo na Uzima katika viwanja vya Tanganyika Packers, kawe jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa misukule fresh from shamba Mohamedi Mustapha, akioneshwa mbele ya maelfu ya watu na Mchungaji Josephat Gwajima katika ibada ya ijumaa ndani ya nyumba ya ufufuo na uzima.
: Binti, aliyefufuka kutoka kwa wafu akishuhudia uweza na nguvu za BWANA Yesu. Binti huyu mara baada ya kufa tu kaka yake alianza kuomba maombi ya kumrudisha akilitaja jina la Yesu akisema rudisha katika Jina la Yesu na kupambana katika maombi ya nguvu kwa muda wa masaa sita(6) na hatimaye dada yake alifufuka.
Ufufuo na Uzima
Dah mm hii sikuijua kabisa kha!
Kakobe nae huwa anapiga piga route za huko sijui atapewa helcopter au kondoo wamekimbia?
gctc bofya uone web yao,[/url]
Sehemu tu kati ya watu 400 waliokuwa misukule katika maeneo mbalimbali kama vile mashambani, mapangoni, kwenye misitu, mashimoni, chini ya uvungu, darini, nyuma ya kabati na milango, chini ya bahari, kuzimu, kwa wasoma nyota na sasa wamerudishwa na Bwana Yesu.Watu hawa katika picha wakishuhudia jinsi wachawi walivyowachukua na kuwatumikisha huko msukuleni. Pamoja nao katika picha ni Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima wa kanisa la Glory of Christ Tanzania (Maarufu kama Ufufuo na Uzima)
mtu kajinyonga,akafa eti wamemfufua...mweh!???!
Ala, sasa huu uwenda wazimu, haiwezekani mtu tu anajiamulia kupiga ving'ora kutokea kusikojulikana.
Usije ukadondoka kwa kijiba cha roho mwe!
umekichukia king'ora? au umemchukia alibebwa na ham'ma?
sijaona tatizo, ukiona hivyo si lazima uruhusiwe na mtu
kiongozi wa kiroho ni mkubwa kuliko, kiongozi wa kundi la wezi
hata ana kofia ya kuwa raisi, any way hii ni nchi yetu na wananchi ndiyo sisi,
hata mimi hakuna kitu kinachoniudhi kama makelele ya adhana
nhhhh!Pole we !
hiki ni kitu gani?wakrosto
mengine ni makundi ya shetanimaana dunia suiyo ya wakrosto mtu wapo waislam na wapagani pia.
Shukran Ngoshwe. U said it ALL!Kila mtu ana haki ya kutoa maoni na mtazamo wake hapa na sio kushambuliana mzee. Kama umeelewa somo, chukua hatua za kiuungwana.
Tuendelee kuchangia mada kwa amani na upendo mzee.
hiki kitu ni kigeni kwenye nchi hii, lakini nchi zingine ni kitu cha kawaida na wanalifurahia si kawaida...zoeeni, itafikia kipindi mtazoea tu...kama mmekwazika mpelekeni mahakamani, msipige kelele hapa..kama hamuendi mahakamani, kaeny kimyaaa