Msukule aliyerudishwa kutoka msukuleni akipitishwa na wachungaji katikati wa watu ili waweze kumuona vizuri ndani ya Nyumba ya Ufufuo na Uzima katika viwanja vya Tanganyika Packers, kawe jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa misukule fresh from shamba Mohamedi Mustapha, akioneshwa mbele ya maelfu ya watu na Mchungaji Josephat Gwajima katika ibada ya ijumaa ndani ya nyumba ya ufufuo na uzima.
: Binti, aliyefufuka kutoka kwa wafu akishuhudia uweza na nguvu za BWANA Yesu. Binti huyu mara baada ya kufa tu kaka yake alianza kuomba maombi ya kumrudisha akilitaja jina la Yesu akisema rudisha katika Jina la Yesu na kupambana katika maombi ya nguvu kwa muda wa masaa sita(6) na hatimaye dada yake alifufuka.
Ufufuo na Uzima