IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,503
- 2,426
Baada ya kumuita babu uyu onyango sasa wana mpunguza kasi clear goal anafunga linakataliwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umamzungumzia aliyewaletea mayai vizaWamlipe wapi, mpaka Mwamedi akope kwenye familia
Unamdai kwani?Hivi mshamlipa yule jamaa pesa zake?
Uchambuzi wako naudhamini.Kuhusu ubingwa!!!
Mpaka Sasa Yanga kabakiza Mechi 8.anatakiwa ashinde mechi zote huku akiombea simba apoteze mechi Tatu, msimamo unakuwa [emoji1313][emoji1313][emoji1313]
Yanga point 81
Simba 79
Azam 74
Azam kabakisha mechi 8, anatakiwa ashinde zote huku akiombea Yanga apoteze mechi tatu kati ya mechi nane na Simba apoteze Mechi tano kati ya mechi 11 alizobaki nazo
Msimamo unakuwa
[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
Azam point 74
Simba point 72
Yanga point 71
Simba amebakiwa na Mechi 11 mkononi, ili awe bingwa anatakiwa ashinde Mechi 9 na afungwe Mechi mbili.Wakati huo Yanga na Azam washinde game zote nane
Msimamo unakuwa [emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
Simba point 82✓
Yanga Point 81✓
Azam point 74✓
Mpaka Sasa Simba ana 89% ya kuwa bingwa..Mechi 11 mkononi Ni faida kubwa✓
Kabla ya mechi ya leo, apo tumebakisha mechi 10
Waoooh! kumbe sio mara zote natakiwa niziamini ndoto, jana niliota tumepigwa eti na Gwambina. Nikashtuka saa tisa nikaanza kusikitika ila nikakemea[emoji16][emoji3]
Bila Luis hakuna timu humo....subirini tarehe 8Nimesikia Luis na wawa wana kadi za njano, kama hivyo ndivyo wanatakiwa wakose mechi ngapi? Msaada tafadhali