Gwaride la kijeshi la China la Septemba 3 litaonyesha silaha na vifaa vilivyoboreshwa.

Gwaride la kijeshi la China la Septemba 3 litaonyesha silaha na vifaa vilivyoboreshwa.

Mimi nataka Wachina watuonyeshe muundo wa fighter jets silizo fanikiwa kuzilipuwa ndege za vita za Ufaransa kwa kitumia missiles zao hatari za fire and forget!! ie sio lazima Pilot azione ndege za adui zilipo jichimbia, vile vile nataka nione S-400 ambazo waziri mkuu wa India alikuwa anazisifia kwamba katika operation ya juzi hapa S-400 played a pivotal role, bila ya kusahau silaha nyingine za kisasa kutoka Uchina mfano: ICBMs, Hypersonic missiles, Glinde Vehicles vile vile na bomb lao la juzi juzi ambalo Wachina walilifanyia majaribio (non nuclear hydrogen bomb) hakuna Taifa lolote hapa Duniani waliwahi kufanyia majaribio bom la non nuclear hydrogen Bom lakini wanasayansi wa Uchina walifanikiwa kulipua na kuishangaza Dunia!!

Baada ya kushuhudia hayo yote sioni Trump na wapambe wake kama watakuwa na ubavu wa kuendelea kuwagasi gasi Wachina kuhusu suala la Taiwan huku wakijuwa kwamba Wachina wana ICBMs (DF1 na DF2) na Hypersonic missiles zenye uwezo wa kukwepa ADS na kwenda moja kwa moja kupiga designated targets popote Nchini Merikani bila ya kizuizi.

Ni wazi vita vya juzi juzi huko Iran sina shaka Merikani/Trump walijifunza mengi na hasa baada ya kambi yao ya kijeshi huko DOHA kushambuliwa na missiles za Iran licha ya Iran kuwapatia Trump na Mfalme wa Qatar tahadhali kwanza kwamba kambi hiyo itashambuliwa na missiles zitakazo vurumishwa kutoka Iran, na kweli Iran walifanya hivyo licha ya kambi hizo kulindwa na Patriot ADS zilishindwa kudhibiti missiles za Iran lakini cha ajabu Qatar na Merikani wanajibaraguza eti hakuna madhara yoyote yaliyo sababishwa na Missiles za Iran kwenye kambi ya kijeshi ya Merikani, swali hapa ni,je,hiyo ni kweli??
Umefuatilia mkuu ?
 
Ila Trump
20250903_070221.jpg
 
Back
Top Bottom