Gwaride la Watoto lamkosha Rais Samia mpaka kuinuka kwenye kiti na kusimama kwa tabasamu na furaha ya hali ya juu

Watoto wa makanyaboya hao
Wazazi wao wale pangu pakavu
Mzazi anayejielewa hawezi kumuweka mtoto wake hapo akawa anapiga ngondi

Ova
Kweli umeanza kupungukiwa maarifa kabisa kichwani mwako.
 
Mimi sisifii bali naongea ukweli tu.
 
Mbubujikwa unatuletea habari za watoto kufundishwa ugaidi wakingali wadogo
 
Nani kawapa watoto wadogo hao bunduki?!
 
Amesema chochote kuhusu utekaji?
 
Uhai alionao ndiyo umewezesha kufurahia hivyo otherwise angekuwa ametekwa na kuuawa kama Ally Kibao ingekuwa habari nyingine​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…