Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #61
Unataka niniNani kawapa watoto wadogo hao bunduki?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka niniNani kawapa watoto wadogo hao bunduki?!
Asante kwa taarifa. Kama mnajua tunatakiwa kujivunia Utanzania wetu basi acheni kuua Watanzania wenzenu.Ndugu zangu Watanzania,
Tanzania na watanzania tuna kila sababu ya kujivunia utanzania wetu na utaifa wetu,tuna kila sababu ya kujiona fahari ya kuzaliwa Tanzania,tuna kila sababu ya kuona Taifa letu litaendelea kuwa salama na kisiwa cha Amani na kupigiwa mfano Barani Afrika na Duniani Kwote kwa ujumla wake.
Tuna kila sababu ya kuona Taifa la kesho lipo imara na madhubuti kwelikweli,tuna kila sababu ya kuona kuwa Taifa letu lina nguvu kazi ya kutosha kwa leo na hata kesho,tuna kila sababu ya kuona na kujivunia mipango endelevu ya kujenga uzalendo kuanzia kwa watoto mpaka wanakuwa katika kulilinda,kulitetea na kulipigania Taifa letu mpaka tone la Mwisho.
Leo Mkoani Kilimanjaro katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya jeshi la polisi. ambako mgeni Rasmi ni Mama yetu na RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kumetokea tukio la kugusa na kuteka mioyo ya mamilioni ya watanzania.ambapo imeshuhudiwa Gwaride la watoto likipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wetu kwa ukakamavu na umakini wa hali ya juu sana na mkubwa sana Utafikiri makomandoo na askari wa JWTZ au Mossad ya Israel au CIA kutoka Marekani.
Namna watoto hao wakike kwa wakiume walivyopita kishupavu na kikakamavu mbele ya Mama yetu kipenzi na Amiri Jeshi Mkuu imemfanya mpaka ainuke kwenye kiti chake cha heshima akiwa amejaa tabasamu na furaha ya hali ya juu sana. Furaha aliyokuwa nayo Rais wetu ilikuwa ni kubwa mpaka unaona namna akitamani aendelee kusimama kuendelea kuwaangalia watoto hao walioteka ,kukosha na kukonga mioyo ya wengi sana.
Kwa hakika Tanzania yetu ipo imara na itaendelea kuwa imara na salama kwa sababu kila anayezaliwa Tanzania na kupulizwa na upepo anajikuta yupo tayari kulipigania Taifa hili na kuwa na moyo wa uzalendo.ndio sababu huwezi wadanganya watanzania kulibomoa Taifa lao.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
PapaiKaa kwa kutulia dogo acha Mapepe.
Hakuna anayeua watanzania ndani ya serikali au CCM.ndio maana CCM na serikali yake imelaani sana na kuahidi kufanya uchunguzi wa kina na kuchukua hatua kali sana kwa wahusikaAsante kwa taarifa. Kama mnajua tunatakiwa kujivunia Utanzania wetu basi acheni kuua Watanzania wenzenu.
Aliyekuzaa alitukosea sana Watanzania!!Ndugu zangu Watanzania,
Tanzania na watanzania tuna kila sababu ya kujivunia utanzania wetu na utaifa wetu,tuna kila sababu ya kujiona fahari ya kuzaliwa Tanzania,tuna kila sababu ya kuona Taifa letu litaendelea kuwa salama na kisiwa cha Amani na kupigiwa mfano Barani Afrika na Duniani Kwote kwa ujumla wake.
Tuna kila sababu ya kuona Taifa la kesho lipo imara na madhubuti kwelikweli,tuna kila sababu ya kuona kuwa Taifa letu lina nguvu kazi ya kutosha kwa leo na hata kesho,tuna kila sababu ya kuona na kujivunia mipango endelevu ya kujenga uzalendo kuanzia kwa watoto mpaka wanakuwa katika kulilinda,kulitetea na kulipigania Taifa letu mpaka tone la Mwisho.
Leo Mkoani Kilimanjaro katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya jeshi la polisi. ambako mgeni Rasmi ni Mama yetu na RAIS wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kumetokea tukio la kugusa na kuteka mioyo ya mamilioni ya watanzania.ambapo imeshuhudiwa Gwaride la watoto likipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu wetu kwa ukakamavu na umakini wa hali ya juu sana na mkubwa sana Utafikiri makomandoo na askari wa JWTZ au Mossad ya Israel au CIA kutoka Marekani.
Namna watoto hao wakike kwa wakiume walivyopita kishupavu na kikakamavu mbele ya Mama yetu kipenzi na Amiri Jeshi Mkuu imemfanya mpaka ainuke kwenye kiti chake cha heshima akiwa amejaa tabasamu na furaha ya hali ya juu sana. Furaha aliyokuwa nayo Rais wetu ilikuwa ni kubwa mpaka unaona namna akitamani aendelee kusimama kuendelea kuwaangalia watoto hao walioteka ,kukosha na kukonga mioyo ya wengi sana.
Kwa hakika Tanzania yetu ipo imara na itaendelea kuwa imara na salama kwa sababu kila anayezaliwa Tanzania na kupulizwa na upepo anajikuta yupo tayari kulipigania Taifa hili na kuwa na moyo wa uzalendo.ndio sababu huwezi wadanganya watanzania kulibomoa Taifa lao.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Condom moja tu ingetuondolea huu udhiaAliyekuzaa alitukosea sana Watanzania!!
Watu Wana majonzi ujue
Toa ujinga wako hapa wewe.Aliyekuzaa alitukosea sana Watanzania!!
Watu Wana majonzi ujue
Una matatizo makubwa sana kichwani mwako.Condom moja tu ingetuondolea huu udhia
Hunaga akili kabisa wewe.Imagine siku Sufian au Luka kapata uteuzi magazeti yataandika " shoga/kunguni ateuliwa ukuu wa Kijiji" 😂😂😂😂😂😂