Gwaride la Watoto lamkosha Rais Samia mpaka kuinuka kwenye kiti na kusimama kwa tabasamu na furaha ya hali ya juu

Asante kwa taarifa. Kama mnajua tunatakiwa kujivunia Utanzania wetu basi acheni kuua Watanzania wenzenu.
 
Asante kwa taarifa. Kama mnajua tunatakiwa kujivunia Utanzania wetu basi acheni kuua Watanzania wenzenu.
Hakuna anayeua watanzania ndani ya serikali au CCM.ndio maana CCM na serikali yake imelaani sana na kuahidi kufanya uchunguzi wa kina na kuchukua hatua kali sana kwa wahusika
 
Aliyekuzaa alitukosea sana Watanzania!!

Watu Wana majonzi ujue
 
Imagine siku Sufian au Luka kapata uteuzi magazeti yataandika " shoga/kunguni ateuliwa ukuu wa Kijiji" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…