Ongeza hata laki 7 nikuachie gariHii gari nimesoteaga toka december nikiamini itafika kwenye 4.5m niichukue... naona imegoma kushuka [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali gani nmesema iyo ni cc 2.5...unywaji wake mafuta wa kawaida sanaDada hujajibu swali!!!!!
Hakuna cc2.5 boss,ila kuna Cc 2500 au 2.5L.Swali gani nmesema iyo ni cc 2.5...unywaji wake mafuta wa kawaida sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza gari....kulingana na ugumu kwa kipindi hichi ...nmeamua kushusha bei ya gari
Gx 110
Cc 2.5
Vvti-beam
Unywaji wa mafuta ni kawaida tu sio kama watu wanavyotishana
Nasema hivi sababu nlishakua na vits ya cc1200 ivyo nikilinganisha matumizi nlivokua nikiweka mafuta kati ya gari hizi mbili tofouti ni kidogo sana
Bei ya sasa hivi 5.5M
Gari inapatikana Kimara Mwisho
0659781878View attachment 1434375View attachment 1434377View attachment 1434378View attachment 1434379View attachment 1434381
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo ndio bei zake kitambo sana.
Tena mbona hiyo ipo juu
Allah kariim
niachie chuma hicho 4m mfuko wa shati mama
Mkuu 4 inagoma kabisa mbali sana huko ongeza kidogo nikuachieniachie chuma hicho 4m mfuko wa shati mama