Car4Sale Gx 110 inauzwa, nimeishusha bei 5.5M

Car4Sale Gx 110 inauzwa, nimeishusha bei 5.5M

Ndugu Tumbo GX 110 huwezi kuuza ml.5,500,000 mark my words!!!Brevis namba DN,DG nk zimejaa tele mitaani kwa 4,000,000 mpaka 5,000,000,nani wa kununua GX 110 namba DD kwa 5,500,000??kubali kupokea ushauri,zaidi ya hapo utaitangaza nwaka mzima hakuna wa kuinunua kwa bei hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
Niunganishe na hao wanaouza brevis

Wewe nmefatilia koment zako ndio tabia yako kujifanya wewe unataka kupangia watu bei...nunua yako uuze kwa bei unayoitaka.. sababu hata nikikuambia uje ununue kwa mil 1 najua huwezi kutoa nahata nikitangaza miaka mi2 kwan wewe unapungukiwa na nini wakati gari yangu na bando ni langu huchangii chochote....badilika wanaume hawana tabia kama zako. ...tena narudia badirika ukipita kwenye uzi wa mtu sio lazima u koment chochote ili uonekane wewe ni mjuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kwa hiyo bei ni ndogo kulinganisha na aina ya gari, ni kasumba tu ya Watanzania kuogopa vitu. Lakini kwenye magari haya jamii ya Saloon, Gx Crown, Brevis, Mark X, Alteza n.k unaweza kuagiza kwa mil hata 20 lakini ukaja kuiuza mil 5 hapa Bongo maana watu wanatabia ya kuogopeshana eti zinabugia wese[emoji23][emoji23]walitaka zinywe sijui chai au supu!!!

Ni kweli kabisa mkuu wengi wanaogopeshana na wanapenda kufanya vitu eti sababu fulani amesema...hawana maamuzi katika kitu wanachokifanya ....wakitaka kufanya kitu hadi wakaulize kwanza....wakati maamuzi ya mtu hutoka ndani ya mtu mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Gari umelitangaza miezi 2 sasa haliuziki!!!!narudia tena hakuna anayeweza kununua GX 110 namba DD kwa ml.5.5!!ukiuza kwa bei hiyo njoo nikuongezee na milioni moja ya Eid

Hata nikilitangaza mwaka bado wewe halikuhusu .....kwan unaumia nn gari lako?? Mbona unatabia za kike.....nna mashaka na jinsia yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom